Statistics
JF-Expert Member
- Sep 22, 2013
- 3,173
- 6,514
Lipeni Kodi acheni janja janja.
Ikiuzwa bandari kelele, wakisafirisha tumbili kelele, migodi kubinafsishwa yoweee.
Kodi ni lazima, tena inawachekea sana serikali. Magu alipotangaza 20,000 machinga walimwagika Kwa sababu alikuwa mtata kwenye kudili na anayemkwamusha.
Mauzo Hadi 3,999,999 Kwa mwaka hulupi Kodi(tax) lakini utalipa tozo(levy) sh 20,000 na kuanzia 4,000,000 to 7,500,000 unalipa Kodi 150,000 na tozo 20,000.
Serikali isipokaza kukusanya Kodi Kwa damu, machozi na jasho Kila siku deni la taifa litakuwa linaongezeka.