Mbona Inaonekana milage zinasoma nyingi, yaani ni Mzee mtarajiwaHako kabinti ni miongoni mwa vidada vilivyo kula shavu vikiwa havijui lolote kiutendaji,yaani kalimaliza tu Degree UDOM kakapewa Ukurugenzi Wilaya ya Chemba kisha kakahamishiwa huko Geita,ni katoto ka Muhidin Issa Michuzi
Sio kabinti mbona ni mzeeHako kabinti ni miongoni mwa vidada vilivyo kula shavu vikiwa havijui lolote kiutendaji,yaani kalimaliza tu Degree UDOM kakapewa Ukurugenzi Wilaya ya Chemba kisha kakahamishiwa huko Geita,ni katoto ka Muhidin Issa Michuzi
Hako kabinti ni miongoni mwa vidada vilivyo kula shavu vikiwa havijui lolote kiutendaji,yaani kalimaliza tu Degree UDOM kakapewa Ukurugenzi Wilaya ya Chemba kisha kakahamishiwa huko Geita,ni katoto ka Muhidin Issa Michuzi
Kwenye siasa huyu bado binti tuuView attachment 2797218
Sasa huyu ni wa kumuita kabinti?? Huyu anaonekana ana sugu ya viwembe vya kunyolea zivu kila sehemu ya mwili wake.
Huyu ni mshangazi sio kabinti.
....Kuumbee !!...Hako kabinti ni miongoni mwa vidada vilivyo kula shavu vikiwa havijui lolote kiutendaji,yaani kalimaliza tu Degree UDOM kakapewa Ukurugenzi Wilaya ya Chemba kisha kakahamishiwa huko Geita,ni katoto ka Muhidin Issa Michuzi
Wilaya ameiacha Geita halafu yeye anakwenda kujifunza China. Huyu DED ni bwegeMkurugenzi wa halmashauri ya mji wa Geita amefunga Safari kwenda China kujifunza namna ya kuendesha mji huo, jambo ambalo limeleta maswali mengi kwa wananchi kwa matumizi mabaya ya Pesa za walipa kodi ambao kimsingi ndio wananchi.
Hata hivyo Mkuu wa wilaya ya Geita Mh. Cornell Magembe ameiagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoani humo kuchunguza Fedha zilizotolewa na halmashauri hiyo ya mji wa Geita, kumpeleka Mkurugenzi wa halmashauri hiyo Bi. Zuhura Michuzi kwenda China kwa ziara ya kujifunza namna ya kuendesha halmshauri hiyo ya mji wa Geita.
Atupe Pdf UsikuBi Zuhura
Wewe ndiye DED mwenyewe au DED wa Geita ni ndugu yako!habari imeandikwa kiushabiki, wanao changia wanachangia kiushabiki ukweli ukija kuwekwa watu watakataa kwa kuwa tayari wana imani na uwongo ulio tangulia
🤣🤣🤣Bi. Zuhura kaenda kufunga mzigo wa Boutique yake kwa kutumia pesa ya halmashauri.
Kweli ukiipata itumie😂😂
Majizi Tutalala Nayo Mbelehabari imeandikwa kiushabiki, wanao changia wanachangia kiushabiki ukweli ukija kuwekwa watu watakataa kwa kuwa tayari wana imani na uwongo ulio tangulia