Geita: Mkuu wa Wilaya aagiza TAKUKURU kuchunguza safari ya China aliyofanya Mkurugenzi

JanguKamaJangu

JF-Expert Member
Feb 7, 2022
2,309
5,464
Mkuu wa Wilaya ya Geita, Colnery Magembe ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita kuhakikisha inachunguza safari za Mkurugenzi wa Halmashauri Ya Mji Geita, Zahara Michuzi kama zina tija kwa Halmashauri na Serikali kiujumla.

Hatua hiyo imekuja kufuatia Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Geita kulalamikiwa kutoonekana kwenye vikao muhimu na badala yake kukaimisha Maofisa wanaoshindwa kutoa majibu sahihi katika vikao hivyo.

Magembe ametoa maagizo hayo katika kikao cha Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya mji Geita ambapo amehoji sababu za kutokuwepo Mkurugenzi wa Halmashari na kufahamishwa yupo nchini China “Nawashukuru Mwenyekiti na Madiwani kama mnaweza kumtuma Mkurugenzi kwenda China kujifunza kwa ajili ya kuja kufundisha lakini elimu atakayoipata ije ioneshe kweli, isiwe sasa kichaka eti kwasababu wewe ni Mkurugenzi unaweza ukaamua leo ukafanya safari ya kwenda tu, kwa matumizi ya kutumia hela ya Halmashauri”

“Na hili ninaomba TAKUKURU mfuatilie hiyo safari kama ilikuwa ni kwa maslahi ya Halmashauri na kwamba kuna hela ilitumika kwa maslahi ya Halmashauri kama safari ile haikuwa kwa maslahi ya Halmashauri na zimetumika fedha za Halmashauri kwa maslahi ambayo siyo ya Halmashauri fedha zile zirudishwe zikafanye kazi nyingine.”
 
Jipimieni...
Jipimieni..
Jipimieni....
 
@AyoTV_ inaendelea kufanya jitihada za kumpata DED huyo ili kusikia kauli yake baada ya agizo hilo la Mkuu wa Wilaya yake.
 
Viko vyombo vya uchunguzi kama ofisi ya CAG, kwanini aagize TAKUKURU? Hawa wakuu wa wilaya wanapenda sana mambo ya kijeshi jeshi tu.

Angetumia mamlaka za uchunguzi kama CAG, Internal Audit general n.k then taarifa yao ndio iwe base ya TAKUKURU kuona kama inaingia kwenye majukumu yao.

Hapo lazima kuna ugomvi kati ya Mkurugenzi na mkuu wa wilaya na kwavile mkuu wa wilaya ni mwenyekiti wa kamati ya usalama anatoa maagizo kihuni tu kutumia TAKUKURU kuchunguza safari za Mkurugenzi.

Vipi Mkuu wa Mkoa nae akiamka kesho akaagiza TAKUKURU mkoa wachunguze safari za mkuu wa wilaya? Hao TAKUKURU si watakuwa wanaagizwa kihunihuni tu.

Halmashauri ina taratibu zake, kuna madiwani wenye mamlaka, kama kuna taratibu zimekiukwa zipo njia ya ku deal nazo sio kuagiza tu vyombo dhidi ya Mkurugenzi.
 
Mkuu wa Wilaya ya Geita, Colnery Magembe ameagiza Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) Mkoa wa Geita kuhakikisha inachunguza safari za Mkurugenzi wa Halmashauri Ya Mji Geita, Zahara Michuzi kama zina tija kwa Halmashauri na Serikali kiujumla.
Huyu DC hajipendi!, badala ya kumyenyekea Mkurugenzi, yeye anamsagia kunguni!. Ma DC ni apeche alolo, Wakurugenzi ndio mambo yote!.
Sijui hapa Geita kuna shida gani?. Ni Geita RC alimshitaki Mkurugenzi kwa kununua ndinga kali kuliko ya RC!. Sasa leo DC anamsagia kunguni DED kwa Takukuru!.

Hebu kwanza mcheki Mkurugenzi mwenyewe wa Geita Mji,
View: https://youtu.be/SZA8vmoryrQ?si=WBGXr-Eri-tN6hHB
Mkurugenzi ni single!, sasa usikute DC amejaribu kubisha hodi kujaribu bahati yake, akabamiziwa mlango akafie mbele!, sasa hizi ni hasira za mkosaji!.
Siku za huyu DC hapo Geita, zinahesabika!.
P
 
Siku za huyu DC hapo Geita, zinahesanabika!.
P

Bro na wewe umeamua kumsagia kunguni mkuu wa wilaya jamvini hapa sababu yeye ni apeche alolo sio!
 
Back
Top Bottom