Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Yani huo uzungu wako unaoigiza

Huo uzungu unaoigiza, I promise you UTAKUGHARIMU PAKUBWA.

Uzungu gani Mkuu, sina UZUNGU… mim Kanda ya ziwa moja, nimeshare hii kitu kupata mawazo mbadala ila unajua vile tulivyo, nishapata uamzi tayari!
 
Ndugu yangu hali nayopitia ni hayo mambo,mke analiwa dodoma kmmke.

Usije jaribu kumuacha aende.

Utaletewa hata gari kutoka kwa sponsor,utajua hujui ...
Kuna subaru nimeipasua vioo vyote hapa home kmmke.
Pole sana kaka, hehehe sasa unajuaje kama analiwa asee? 😁😁😁
 
Meeen, I like this…

Ni kwamba mpaka naleta huu uzi, tuliongea akasema kama naweza kumruhusu aende kufanya kazi au la, so anasubiri uamzi kutoka kwangu, ndio nilikuwa naangalia possibilities hapa, ndoa haijafika miaka hiyo miaka 10. Nikalileta huku nikiamini kuna watu wanaweza kuwa na experience na hivo vitu.
Hapana kaa na mke wako na endeleeni kutafuta kazi hapo mlipo, kazi atapata tuu ni swala la muda tuu au jaribuni ajiajiri, Kagera- Dar mbali sana, mtaleta stress kwenye ndoa yenu na mtoto wenu na wala sio swala la kugongewa
 
Wewe ushindwe🤣
Niite Santa Anna Marie😂
Tuntufye tuliache Tukuyu.


Wanaume sijui mnatuonaje wanawake yaani.
Hahahaha okey okey tuachane na tukuyu...nyie ni rahisi kua influenced kutokana na mazingira...🤣🤣🤣
 
Huu Uzi ufutwe, hauna msaada wowote kwa muomba ushauri Wala kwa jamii. Umejaa mawazo potofu na ya kubomoa jamii na familia kuliko kujenga. Zaidi sana, watu wanatoa mawazo mepesi kwa mambo mazito, wanashusha hadhi na utukufu wa ndoa kwa kulinganisha na umalaya na tamaa za kimwili. Watu wanajitoa ufahamu mradi waonekane tu wanaongea Ila ukweli wanaujua na kuuficha makusudi, wengine hawajui lolote kuhusu ndoa na maisha ya familia lkn ndio wanaojitokeza kuwa washauri wakubwa wa ndoa. Wengine maisha hayo yalishawashinda, hukai kwa mke Wala mume hata kwa mwezi mmoja kwa tabia zako mbaya, Leo hii unataka kutoa ushauri jinsi ya mwenzako atakavyodumu kwenye ndoa milele. Na sisi wanandoa tupunguze mitandao tunajianika sana hadi kwa mashetani, namna ya kuishi na kutatua changamoto zetu itokee ndani ya ndoa yenyewe, kutafuta suluhu ya matatizo ya ndoa nje ya ndoa ni "kutoka nje ya ndoa" kitu ambacho ni dhambi kubwa katika ndoa. Tatizo la kijana kutafuta mke mitandaoni, kuchumbia mitandaoni, mahari kwa mtandao, ndoa kwa mitandao, mtoto akizaliwa wa kwanza kujua ni mtandao, chakula Cha mke mtandao ndo unaambiwa ni kizuri au kibaya, hizi ndoa za mitandaoni kila kitu mitandao Mimi nilivyofundishwa mafundisho ya ndoa na katekista wangu "ni ndoa batili tangu mwanzo" hivyo hata zikivunjika ni sawa na "hazikuwahi kuwepo".
Mkuu umeongea kwa hisia sana, hii mitandao usiichukulie katika upande mmoja wa negativities tu, kuna namna inaelimisha hasa hasa kwa kuangalia life la watu wengine, we are human beings kuomba ushauri ni jambo la kawaida regardless ya kule ushauri unakotoka, kikubwa ni kuangalia comments za watu walio serious and good enough some of them have huge experience kwa maada/hoja zinazokuwa posted kwenye mitandao. Huwezi ukaikimbia mitandao kwa sasa, kikubwa lazima uclassfy taarifa unazoshare na mitandao. Hata hiki nilichopost might not be 100% correct ila kuna namna utawasaidia na wengine.

Point mhimu ni kuwa huwezi kuikimbia mitandao ya kijamii
 
Mnatuonea.
Halafu hao wanaotuinfluence si ni nyie wenyewe?
Kumbe umeshakubali...mtu amejipinda amekufungulia duka la watoto huko mitaa ya sinza..umeanza kujibrand na kuoga vizuri anakuja bwana mdogo muuza nguo za wasichana anafremu karibu na wewe mnaanza mambo yenu...mara don huyu nae hivyo hivyo inakua tabu tupu..unasahau malengo unaanza dharau...🤣🤣🤣
 
Mkuu,
Kama kweli kasema anasubiri utakachoamua basi mwenzetu umebahatika, umepata mke anayejitambua na kutambua nafasi yako.
Nakushauri umruhusu tu aende, hana shida huyo.

Ila ingekuwa wale wanakomaa lazima niende hapo ndo ungekuwa na wasiwasi.
Yeah, Mke wangu hana hizo za ubishani. Anajitambua sana
 
Anaenda kwa Nshomile wenye kugambira wives za watu? Uneumia..!
 
Kwa maana ya chakula, matibabu nguo za watoto anatoa. Lakin atoe hela kukupa hata kama elfu 20 weeeee ni mgumu sana, anahakikisha had kiberiti kanunua yeye. Inachekeshaga japo inauma
Huyo mme wako kiboko...anapima hadi utamu wa mbususu kama unaendana na hela anayoacha 🤣🤣🤣🤣
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Muache aende akaliwe mbali kidogo. We mwenyewe si unasafiri na sometime unakula mizigo huko huko... Bukoba na hali ya hewa ilivyo...
 
Kumbe umeshakubali...mtu amejipinda amekufungulia duka la watoto huko mitaa ya sinza..umeanza kujibrand na kuoga vizuri anakuja bwana mdogo muuza nguo za wasichana anafremu karibu na wewe mnaanza mambo yenu...mara don huyu nae hivyo hivyo inakua tabu tupu..unasahau malengo unaanza dharau...🤣🤣🤣
Hakuna kitu kama hicho🤣
Punguzeni wivu wanaume mfike Mbinguni.
Mbona hamjiamini lakini?
 
Mshahara
Piga gharama za yeye kupanga nyumba ,kula ,kunywa
Gharama za usafiri wewe kwenda na yeye kuja kila mwezi , plus risk ya kupata ajali na kufa

Kuna mda mtatamani kutumia ndege kurahisisha kufika weka hilo pia

Je inalipa?
 
Rejea Uzi wangu
"Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti"
Ukitaka kuthibitisha hili wewe kaa miezi 6 tu. Utanipa jibu.
Wewe mwenyewe ndiye utaanza kugonga nje na yeye huko atagongwa nje then.
Then hatari zaidi ni kwamba amepata kazi ambayo ataweza kujisimamia.
All in all hapo hakuna ndoa.
Chukua screen shot hii post.
Jawabu hili hapa. Case closed
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Kama ni ajira ya Serikali mwache aende huku ukishughulikia taratibu za uhamisho maana ni jambo ambalo lipo Kisheria. Ila kama ni ajira katika idara binafsi na wewe upo Serikalini na umejiridhisha inalipa vizuri basi huna budi wewe ndiyo uombe uhamisho wa kumfuata Mke.

Sent from my TECNO KC6 using JamiiForums mobile app
 
Angalia kama unaweza kuulipa huo mshahara anaoupata mwisho wa mwezi, basi mwache akae tu.

Ila kama huwezi na unaona umuhimu wa hio kazi unauona,

let her go to work...

Halafu kama wasiwasi wako ni kuchapiwa, kumbuka hata hapo ulipo bado kuna nafasi ya kuchapiwa.

kama tatizo ni distance, angalia namna ya kuhamia BK kule mkaishi kwa kula ndizi na senene.

mwisho kabisa,
mkeo akienda huko atachukua.miezi 6 tu akirudi atakua analoanisha godoro balaa😂😂😂
Vyakula vya wahaya vinatengeneza maji mengi sana mwilini
Hivi kulowanisha godoro ni vyakula au ni miili yenyewe tu ilivyo??? Inabidi unzi mpyauanzishwe juu ya hii kitu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom