Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Meeen, I like this…

Ni kwamba mpaka naleta huu uzi, tuliongea akasema kama naweza kumruhusu aende kufanya kazi au la, so anasubiri uamzi kutoka kwangu, ndio nilikuwa naangalia possibilities hapa, ndoa haijafika miaka hiyo miaka 10. Nikalileta huku nikiamini kuna watu wanaweza kuwa na experience na hivo vitu.
Mkuu Kama unampenda mkeo asiende huko ni mbali sana hata kama mgumu vp itafikia atashindwa Kama unajiweza Bora mtafutie biashara ya kufanya hapa hapa
 
Si kwamba siwezi manage, anapata kila kitu kwangu ni vile tu anapenda kufanya kazi, hataki zile za “subiri mume kaenda kutafuta”
Mfungulie biashara kama unataka afanye kaz .. ila kitendo cha kwenda huko ndio mwanzo wa mafarakano ya ndoa.. trust me.. tena mashomire wanavyojua kutia saund.. ofisin lazma atapata mtu atakua anamtoa nyege zake akirud kwako mwepesii.. trust mee.. hakuna mwanamke anaeweza himil vishawish vya long distance.. vice versa pia ni kwel
 
Ndugu yangu hali nayopitia ni hayo mambo,mke analiwa dodoma kmmke.

Usije jaribu kumuacha aende.

Utaletewa hata gari kutoka kwa sponsor,utajua hujui ...
Kuna subaru nimeipasua vioo vyote hapa home kmmke.
Aisee watu wanakutombea tuu mbususu
 
Hamna mwanaume mbali kwa mkewe bwana...sema tuu uchumi mgumu. Sasa wee umeolewa na mzabzab unataka eti upate matunzo kama umeolewa na njemba inayopata mshahara mil 12
Wee usiseme hvyo, wa kwangu ni bahili hqswaa tena syo kwangu had kwa ndgu zake, hata mama yake nafanyaga tu kumpushi bora mm nisipewe lakin mama yake asisahaulike, kuna watu wana mikono ya birika hata kama anayo ya kutoa, miaka mitano hii nimeishi nae aisee ni bahili
 
Yaani ata ukimpea mbususu bado ni bahili? Wakati anakutongoza wee hukuona kuwa ni bahili🤔🤔🤔
 
Yaan unapewa buku hyohyo ya nyanya ahahaaaaa
Ehee tabu sana
Wee usiseme hvyo, wa kwangu ni bahili hqswaa tena syo kwangu had kwa ndgu zake, hata mama yake nafanyaga tu kumpushi bora mm nisipewe lakin mama yake asisahaulike, kuna watu wana mikono ya birika hata kama anayo ya kutoa, miaka mitano hii nimeishi nae aisee ni bahili
Na uwezo anao ?
 
Yaani ata ukimpea mbususu bado ni bahili? Wakati anakutongoza wee hukuona kuwa ni bahili[emoji848][emoji848][emoji848]
Mbususu hata ukitoa ya kwenye Dari la nyumba, ndo yuko hvyo. Nliliona lakin sikuwa na shida nalo sababu nlikuwa siyo mwombaji hela kwa boyfriend na sikutaka kumbana na matumizi wakat çyo mume nikajua jamaa akinioa atatunza. Alooo kumbe nlijidanganya. Lakin syo issue mwisho wa siku maisha yanasonga sijalala njaa ndani
 
Ah basi kama hujalala njaa yatosha...mengine ya dunia nikujilisha upepo tuu.
 
Aiiiiiiiii just say it again, kwamba anapata kila kitu kwako?abeeee!! Unamdanganya nani? Tuseme vyakula vipo mnakula nakushiba na vile tumbo halinga kioo hatutaki kujua mnakulaga nini.

Sema hapa hapa kama kweli unampa kila kitu.
1. Akisema anaomba 40000 za kusuka unampa bila masimango kuwa anapenda vya bei kali?

2: nguo unamnunulia nzuri nae anajihisi fresh?
3. Kwao wakitaka msaada unatoa bila kumrushia vijembe?

4: tuseme mama yake ana shida unatoaga bila kuvuta mdomo na kushinda bar unaangalia mpira ila asikuombe?

5: sikukuu za pasaka Christmas au eid uwa unampa pesa za kutuma kwao hata kama hajakuomba? Yaani unamwambia hii làki moja tuma kwenu wanunuwe ka nyama?

6: tuseme mdogo wake kamwamba ada unamchangia kwa moyo safi bila kinyongo?

7.tofauti na mahali ulotoaga wakati ule kuna siku unatumaga hata vijizawadi kwao?

8: je kuna wakati unampa vimatumizi pembeni hata amnunulie kijizawadi mama yako bila wewe kujua? Maana mama mkwe huyu ndo aliye mzalia mme so anastahili ampe vijizawadi ma vitenge na mazagazagq mengine.

Kama haya yote unafanya basi mzuie asiende kama hufanyi pambana na hali yako, haya ndo yalimfanya akaombe kazi.

Na kama ungekuwa na hela miaka mitano anasota kwako ungelikuwa ushamfunguliaga hata kijiduka.

N.b nipo hapa msibani kwa queen eliza nasoma comments

Rip queen.
Dad angu juzi katoka kunitumia pesa laki moja nzima kabsa Ni mtu anafanya Kaz katk ofc moja kubwa San ya serekali hii mwazo alikuwa mbali na mume wake na alikuw anaangaika kutafuta Kaz pmj na kwamb mume wake anakaz nzuri ila sikuwa kupata chochote kutoka kwake Leo hii dad angu Ana Kaz nzuri kbs na mm napata pesa kupitia yeye je ingekuta mzee wangu hakumsomesha nin kingetokeaa aise mm nasema mpe ruhusa tu akapige Kaz as long Ana elimu isje tu kuwa Ni hz Kaz usafi maofisoni hapna iyo kataa

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Aiiiiiiiii just say it again, kwamba anapata kila kitu kwako?abeeee!! Unamdanganya nani? Tuseme vyakula vipo mnakula nakushiba na vile tumbo halinga kioo hatutaki kujua mnakulaga nini.

Sema hapa hapa kama kweli unampa kila kitu.
1. Akisema anaomba 40000 za kusuka unampa bila masimango kuwa anapenda vya bei kali?

2: nguo unamnunulia nzuri nae anajihisi fresh?
3. Kwao wakitaka msaada unatoa bila kumrushia vijembe?

4: tuseme mama yake ana shida unatoaga bila kuvuta mdomo na kushinda bar unaangalia mpira ila asikuombe?

5: sikukuu za pasaka Christmas au eid uwa unampa pesa za kutuma kwao hata kama hajakuomba? Yaani unamwambia hii làki moja tuma kwenu wanunuwe ka nyama?

6: tuseme mdogo wake kamwamba ada unamchangia kwa moyo safi bila kinyongo?

7.tofauti na mahali ulotoaga wakati ule kuna siku unatumaga hata vijizawadi kwao?

8: je kuna wakati unampa vimatumizi pembeni hata amnunulie kijizawadi mama yako bila wewe kujua? Maana mama mkwe huyu ndo aliye mzalia mme so anastahili ampe vijizawadi ma vitenge na mazagazagq mengine.

Kama haya yote unafanya basi mzuie asiende kama hufanyi pambana na hali yako, haya ndo yalimfanya akaombe kazi.

Na kama ungekuwa na hela miaka mitano anasota kwako ungelikuwa ushamfunguliaga hata kijiduka.

N.b nipo hapa msibani kwa queen eliza nasoma comments

Rip queen.
So nakubalina nae wee kbsa ktk hoja ulizozileta hapa luckyline

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Yani kiukweli iko ivi mwanamke sio kiumbe chakuachia huru na kuacha kijiongoze kama umeoa, ni lazima awe owned (wala sio kwa ubaya wala simaanishi kua hakiwezi kujiongoza) ila akili za mwanamke ziko complicated kuzielewa ila njia rahisi siku zote kwenye ndoa nikheri ukosee ukiwa umefanya maamuzi magumu yenye kujipendelea kwanza wewe na familia kuliko mepesi yenye democrasia ili uonekane unampenda mke na unapenda ajishughulishe.

(Najua upo katikati ya hutaki aondoke pia hutaki akulaumu kwanini unambana na kumkatalia kwenye vitu vya maendeleo) ila mwanamke yeye mwenyewe anaelewa kilakitu na vyote vitakavyotokea hakiwa hayupo apo sema tu anakupima akili yako na ukimpa ruksa ya kuondoka jua umeruhusu ndoa yako kufua taratiibu na amsure utakuja na uzi apa jamvini baada ya muda ya kueleza mambo yalokukuta baada yakumruhusu mke wako.

( Na ndo maana anataka pia aondoke na mtoto sababu roho ya mwanamke ni mwanae jua akishaondoka na mtoto kwake iyo ndo familia sio wewe) bro hataserikali inajua umuhimu wa mtu alie kwenye ndoa na mwenye familia kwa upande wa kazi ndo maana zipo haki zao kikatiba kama kutohamishwa au kuamishwa wote wakiwa pamoja na jiulize kwanini wake za viongozi hua hawaruhusiwi kua na kazi? Ukishajua ndo utatambua nin namanisha hapa.

Mwisho..
Mwanamke hawez kua owned marambili chunga sana ndugu yangu wanawake wanauwezo mkubwa wakufikiri kuliko sisi na wanatumia mdomo wao kama siraha umetaka kua mume basi elewa umekua kiongozi mojakwamoja na kama ni mume na unasitasita kusema HAPANA,SITAKI,HAIWEZEKANI, jua upo kwenye mtihani mkubwa.
......
Ulisema experience kwamim sitokuambua yangu ila kwa reference nakupa mbili tu katika nyingi moja kasome historia ya BIBI TITI NA MUME WAKE aliyemruhusu wakachukue kadi za chama cha mapinduzi na akamruhusu ashiriki kwenye harakati za kupigania uhuru mwisho wake ndoa yao ilishia wapi na bibi titi alimwambia nini mmewake.
Pia chukua ya ADAM na HAWA maybe zitakuasadia katika maamuzi yako.
Hii stori ya bibi titi tunaiomba kwa manufaa ya kizazi kipya.
 
Muache aje tu, kama hakuna mwenyeji wake ninajitolea mkuu, atakula na kulala hadi atakaposeto vizuri, si atakuja mwenyewe?
 
Kati ya zile ndoa 300 zinazodaiwa kuvunjika kila mwaka na hii ipo inakuwa ya 301 mzee hapo hakuna ndoa na wanawake wakiwa hawana kazi wanakuwa na heshima ila wakiwa na kazi wanaanza jeuri hapo ndo utaanza kuona makucha yake.
 
Kukaa bila mishe inachosha saba
Muache akapambanie wanae...Leo upo kesho haupo
Yaan mnavosema akapambanie wanae utadhani iyo huwa inaonekana..hela ya mwanamke kama itasaidia familia basi kwa conditions nyingi na manyanyaso na maneno kibao,huwa hawatoi kwa moyo.

Mimi wife jukumu yake kubwa kutoka kwenye mshahara wake ni kumlipa dada wa kazi tu,tena mara nyingi tu anamcheleweshea naishia kutoa mimi.
 
Mbususu hata ukitoa ya kwenye Dari la nyumba, ndo yuko hvyo. Nliliona lakin sikuwa na shida nalo sababu nlikuwa siyo mwombaji hela kwa boyfriend na sikutaka kumbana na matumizi wakat çyo mume nikajua jamaa akinioa atatunza. Alooo kumbe nlijidanganya. Lakin syo issue mwisho wa siku maisha yanasonga sijalala njaa ndani

Ahhha lakin anawahudumia vizuri au ubahili wake upoje?sipati picha kuishi na limtu lichoyo ndani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom