Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Achana na mawazo ya kugongewa, acha akafanye kazi kama kugongwa anaweza kugongwa hapa hapa dar
Mawazo ya kugongea hayapo kichwani kaka, kilichopo kichwani ni kukaa mbali na familia, maana nawaza akiondoka maana yake anaondok na mtoto, unajua vile familia changa zinavuokuwa. Napenda afanya kazi, issue ni hiyo distance tu
 
Rejea Uzi wangu
"Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti"
Ukitaka kuthibitisha hili wewe kaa miezi 6 tu. Utanipa jibu.
Wewe mwenyewe ndiye utaanza kugonga nje na yeye huko atagongwa nje then.
Then hatari zaidi ni kwamba amepata kazi ambayo ataweza kujisimamia.
All in all hapo hakuna ndoa.
Chukua screen shot hii post.
 
Mkuu acha akafanye kazi, wewe na mkeo bado wote ni wapambanaji. Mnaweza panga vizuri namna ya kuishi kama familia katika hali ya umbali. Kuna watu waume zao wapo USA wake TZ
 
Rejea Uzi wangu
"Hakuna ndoa ya mume na mke kuishi sehemu tofauti"
Ukitaka kuthibitisha hili wewe kaa miezi 6 tu. Utanipa jibu.
Wewe mwenyewe ndiye utaanza kugonga nje na yeye huko atagongwa nje then.
Then hatari zaidi ni kwamba amepata kazi ambayo ataweza kujisimamia.
All in all hapo hakuna ndoa.
Chukua screen shot hii post.
acha roho mbaya, wanabukoba tumekukosea ninii, mbususu hatujazaliwa nazo tumezikuta humu humu, yeye alipokuwa kabla ya daslam wangeamua kumshikilia angempata?
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lkn kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi, ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.

Mkuu usiruhusu mkeo aondoke na kama utamruhusu kufuatilia uhamisho iwe jambo priority kama ni serikalini.

WHY? Pesa ya mwanamke haiongezi thamani yoyote kwenye ndoa huwezi kuipima na umuhimu wa ndoa na watoto kama anataka kujisgughulisha jibane uanzishe biashara hapa hapa Dar huku akiendelea kuomba kazi zingine kama anapenda sana kufanya kazi.

Kama anakichwa kizuri tafuta her areas of interest anzisha biashara msupport
 
Oya,hamnaga Ndoa ya mbali !!

Kama una mkono mrefu ,muhamishe aje hapohapo Dar.

Ila ila ilaaaa, Akiwa mbali kama hivo , mwanzon mtawasiliana Sanaa sababu hajatongozwa.

Baadae Mawasiliano yatafifia Kisha ataanza kutombwaa.

Baada ya hapo magonvi yatakua mengiii sanaaaaasiwe

Na kwakua ana mshahara , ataanza kukudharau nahuenda asikuombe matunzo ....

Hali hiyo itakuoa wivu sana

Utafunga safari kwenda huko, utamfuma , utaua au utakufa weee .
 
Mkuu usiruhusu mkeo aondoke na kama utamruhusu kufuatilia uhamisho iwe jambo priority kama ni serikalini.

WHY? Pesa ya mwanamke haiongezi thamani yoyote kwenye ndoa huwezi kuipima na umuhimu wa ndoa na watoto kama anataka kujisgughulisha jibane uanzishe biashara hapa hapa Dar huku akiendelea kuomba kazi zingine kama anapenda sana kufanya kazi.

Kama anakichwa kizuri tafuta her areas of interest anzisha biashara msupport
Ahsante Mkuu kwa Ushauri!
 
Si maisha mazuri sana kwa watu mliozoea kuishi pamoja kama wanandoa kukaa mbali kiasi hicho,usimuazie tu yeye kuingia majaribuni ,hata wewe mwenyewe unaweza kuingia mtegoni,muache aende,ila pambana sana kwa kadiri utakavyoweza ili ahamishiwe ulipo.Kikawaida wanaume wazinzi wako kama majogoo,mwanamke mgeni anapokuja mahali,hata bila ya kujua tabia zake au kama ni mke wa mtu,kila mtu lazima ajaribu kete yake ili awe wa kwanza,sasa mwanamke asipokuwa stable unaweza kusikia mengine...
 
Huyo kwa haraka haraka ataishi nje ya mkoa kwa miaka kibao.

Kama ni muislamu we mruhusu tu aende ongeza mke wa pili,,, kama ni ile dini nyingine wanafata sheria za viongozi badala ya maandiko yaliyoruhusu kuongeza mke basi vumilia usingo ama utafte mahusiano nje ya ndoa takatifu.
 
Mwanamke anajichunga mwenyewe,mwache aende,hiyo ni mipango ya MUNGU kumpima kama ni mwaminifu kwako akiwa mbali,kubali aende sasa na wewe ufanye kama kipimo juu ya mapenzi yenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom