Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Mwache aende akafanye kazi! Harafu akitulia anaweza kufanya taratibu za kuhama.
 
Yaan mnavosema akapambanie wanae utadhani iyo huwa inaonekana..hela ya mwanamke kama itasaidia familia basi kwa conditions nyingi na manyanyaso na maneno kibao,huwa hawatoi kwa moyo.

Mimi wife jukumu yake kubwa kutoka kwenye mshahara wake ni kumlipa dada wa kazi tu,tena mara nyingi tu anamcheleweshea naishia kutoa mimi.
Hata usipokufaa leo ukifa utawafaa wanao
 
[emoji23][emoji23]we jamaa
Nakusikitikia mkuu ndoa yako naiona inaelekea kwenye kina kirefu cha bahari muda wowote itazama na wakuwaokoa wapo mbali nchi kavu, jiandae kuogelea hadi kisiwani ila utafika umechoka sana. Pia unaweza usifike salama unaweza jeruhiwa na papa na kupotea kabisa kwa kufia baharini,hakika hutapata msaada maana dolphin watakuwa busy kuogelea na kucheza kwa kufurahia utulivu wa maji ya bahari."JIANDAE KISAIKOLOJIA UNAENDA KUTANA NA MZIGO WA MISUMARI AMBAO UTAUBEBA KICHWANI".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Ulipiga hesabu izo utazuia hata kufa sasa,ana kwao na ndugu pia anao wanamtegemea kwaiyo tulia kwanza.

Sent from my TECNO KB8 using JamiiForums mobile app
 
Oya,hamnaga Ndoa ya mbali !!


Kama una mkono mrefu ,muhamishe aje hapohapo Dar.

Ila ila ilaaaa, Akiwa mbali kama hivo , mwanzon mtawasiliana Sanaa sababu hajatongozwa.

Baadae Mawasiliano yatafifia Kisha ataanza kutombwaa.

Baada ya hapo magonvi yatakua mengiii sanaaaaasiwe

Na kwakua ana mshahara , ataanza kukudharau nahuenda asikuombe matunzo ....

Hali hiyo itakuoa wivu sana


Utafunga safari kwenda huko, utamfuma , utaua au utakufa weee .
Hii ni point sana tena huko akimkuta jamaa anakamkunja na kumkunjua sawa sawa ataona Huyo mume wake hana umuhimu tena KWAKE .Na dharau zitaanza au kuzidi pindi atakapoanza kushika Hela[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
 
Mimi nimeshuhudia walimu walioana na kukuishi pamoja ili baadaye sababu ya kikazi mwanamke akahamishwa .Leo hii naambiwa wameachana bado SIAMINI
 
Kwa maana ya chakula, matibabu nguo za watoto anatoa. Lakin atoe hela kukupa hata kama elfu 20 weeeee ni mgumu sana, anahakikisha had kiberiti kanunua yeye. Inachekeshaga japo inauma

Eheheee sasa pesa ya salon,perfume,ukitaka kutoka out labda inakuwaje
 
Kuna tofauti kubwa kati ya uhuru wa kuchepuka mwanaume na kuchepuka kwa mwanamke..

Mwanamme anaweza akawa anachepuka saana nje lakini HESHIMA kwa familia yake na mkewe ikawa PALE PALE.Yaani anaweza akawa daily anachepuka,akimaliza tu kukojoa akili inamjia hapo hapo.

Mwanamke,tena akiwa huru mbali na mumewe,akianza kupigwa,HUWA ANAMILIKISHA MWILI NA AKILI YOOTE,so taratibu anaanza dharau kwa mumewe.Wengi wao hawawezi ku manage emotions,tofauti kbsa na wanaume.

Besides,hiyo hela anayoifuata Bukoba itakua na msaada mdogo sana kwa familia yako.Zaidi zaid atasema anasaidia familia yake,na SIO ada kwa watoto wenu wala chakula,ambavyo utaendelea kutoa wewe,ipo hivyo,ndo wanawake walivyo.

Mbaya zaidi hata kodi yake kule bukoba utalipa ww,na hela ya kula pia utamtumia.
Point kubwa sana Mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom