Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,891
- 20,135
Haelewi hilo,, huko maofisini pia wanachapika balaa....hapo ni tabia ya mtu tu sio kusema akiwa huku itakua hiviBoss, Malaya hachagui location, hakuna haja ya kuishi kwa hofu, kama umekosea kuoa rekebisha hakuna namna.