Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Unawafahamu wahaya vizuri kweli?
 
Nimepitia comment hapa naona mnamwambia et hata dar anaweza akachapiwa,, hapa naona mleta maada ameangalia ndoa yake kwa sababu mwanamke akienda huko mbali kunavitu mwanamke atavikosa ndo hapo sasa itabidi apate vya ziada hapo ndo picha litakapoanza

hata kama ni mtulivu kwa umbali huo atamegwa tu

cha kukushauli hilo la kushawishiwa na kumegwa lipo tudanganyane hakuna mwanamke mwenye msimamo kwa hili kulingana na madhingira sema anaweza akamegwa na asibadilike chochote na hapa mtamuita ana msimamo kumbe anamegwa kukidhi haja zake tu ila ndoa akaiheshim

na anaweza akamegwa abadilike tabia

Muache afanye kazi kama hofu yako ni kumegewa hilo weka100%
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Raia wananipasua akili kiasi nachoka sana hata kuingia huku kusoma mabandiko mbalimbali.
Ila nitajitahidi nisipotee sana.
Kuna Uzi wa Selfika wa mshana nimekutag muda huu
Raia wakkupasua unakuja kule kupunguza stress na kucheka
 
Hiyo kazi kapata serikalini au Sekta Binafsi?Acha aende then unaweza kufanya utaratibu wa uhamisho baadae na kama ni serikalini ni rahisi zaidi.
 
Mimi mke wangu hajawahi kwenda kokote, ila najua kabsa jilani yangu huwa anamto...a tu.
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Kwa hiyo mkeo kapata mume halafu unataka sisi tukushauri aolewe ama la? Kazi ni mume, wewe unakuwa mchepuko tu, kuwa tayari kwa matokeo. Huyo ni mkeo na wewe ndiye mwenye maamuzi sahihi. Kama unampenda utamlinda. Siku njema.
 
Hivi kulowanisha godoro ni vyakula au ni miili yenyewe tu ilivyo??? Inabidi unzi mpyauanzishwe juu ya hii kitu....
ni vyakula wanavyokula.... nipo bukoba hapa kwa mia ka itatu so hizo habari nazijua sanaaaaa...... kuna muda wanawake wakipungukiwa na hzo habari huwa wanatumia nyanya chungu ili mambo yakae sawa...
 
Aende tu hakuna namna kama huna uwezo wa kureplace anachoenda kupata huko, achana na hofu za kugongewa kama ni malaya ni malaya tu hata ukimfungia.
kusema kwamba ni malaya tu ndio wanaoliwa baasii wake za watu wanaofanya kazi mbali na wenzi wao karibia wote malaya, mkuu wanapigwa wake za watu dom mpaka mungu hapend....
 
Kitu kikubwa ulichotakiwa kufanya nikumuwezesha wkt hana kazi km vile kumfungulia hata kaduka iloapate vitu vyakumfanya awe busy...ndo mana anataka kwendakwakua hstakikua tegemezi kwako
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom