Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Mke wangu kapata kazi Mkoani!

Yani kiukweli iko ivi mwanamke sio kiumbe chakuachia huru na kuacha kijiongoze kama umeoa, ni lazima awe owned (wala sio kwa ubaya wala simaanishi kua hakiwezi kujiongoza) ila akili za mwanamke ziko complicated kuzielewa ila njia rahisi siku zote kwenye ndoa nikheri ukosee ukiwa umefanya maamuzi magumu yenye kujipendelea kwanza wewe na familia kuliko mepesi yenye democrasia ili uonekane unampenda mke na unapenda ajishughulishe.

(Najua upo katikati ya hutaki aondoke pia hutaki akulaumu kwanini unambana na kumkatalia kwenye vitu vya maendeleo) ila mwanamke yeye mwenyewe anaelewa kilakitu na vyote vitakavyotokea hakiwa hayupo apo sema tu anakupima akili yako na ukimpa ruksa ya kuondoka jua umeruhusu ndoa yako kufua taratiibu na amsure utakuja na uzi apa jamvini baada ya muda ya kueleza mambo yalokukuta baada yakumruhusu mke wako.

( Na ndo maana anataka pia aondoke na mtoto sababu roho ya mwanamke ni mwanae jua akishaondoka na mtoto kwake iyo ndo familia sio wewe) bro hataserikali inajua umuhimu wa mtu alie kwenye ndoa na mwenye familia kwa upande wa kazi ndo maana zipo haki zao kikatiba kama kutohamishwa au kuamishwa wote wakiwa pamoja na jiulize kwanini wake za viongozi hua hawaruhusiwi kua na kazi? Ukishajua ndo utatambua nin namanisha hapa.

Mwisho..
Mwanamke hawez kua owned marambili chunga sana ndugu yangu wanawake wanauwezo mkubwa wakufikiri kuliko sisi na wanatumia mdomo wao kama siraha umetaka kua mume basi elewa umekua kiongozi mojakwamoja na kama ni mume na unasitasita kusema HAPANA,SITAKI,HAIWEZEKANI, jua upo kwenye mtihani mkubwa.
......
Ulisema experience kwamim sitokuambua yangu ila kwa reference nakupa mbili tu katika nyingi moja kasome historia ya BIBI TITI NA MUME WAKE aliyemruhusu wakachukue kadi za chama cha mapinduzi na akamruhusu ashiriki kwenye harakati za kupigania uhuru mwisho wake ndoa yao ilishia wapi na bibi titi alimwambia nini mmewake.
Pia chukua ya ADAM na HAWA maybe zitakuasadia katika maamuzi yako.
 
kizuri kula na nduguyo, kwa wanabukoba nyie wadaslam ni ndugu zetu kabisa hadi tuna mtaa wetu huko magomeni unaitwa Kagera.. Namsubiri pia Natanguliza shukrani [emoji120] .

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama mm tu siombi ruhusa nakutaarfu, nakuaga kwa amani then naenda. Maisha hayaishii kuolewa na kula tu ugali wa mume

[mention]crushed [/mention] Kama ndo ivo basi ulitaka KAZI na sio NDOA, kwanini humpotezee mwenzako direction kwa kukubali ndoa nae? Maana ndoa ni kitu kingine na kina princple zake sa kama huitaji maamuzi na ushauri wa mume wako kwanini uliruhusu akasumbuka na mahari ndoa mpaka kuzaa pamoja? maana kabla ya ndoa unaweza kutafuta kazi na ukajighalamia kilakitu unachotaka na mume akikukuta kwenye kazi ni ngumu kukuzuia usifanye kazi maana kakukuta nayo.
 
Acha kuwa na mawazo mfu mwisho utakuja kuua mwache aende huku nyuma tafuta goma endelea kunchapa rungu yeye kama akiamua kutombwa huko kagera atombwe tu. Ila wanawake sio wagawaji kirahisi kama tunavyowachukulia pale tunapoishi mbali nao
 
Huwezi kumchunga mume au mke kama unamchunga ng'ombe mkuu

Kilichomkwamisha Adam sio kushindwa kumchunga Eva kwa kufanya kuwa nae kila mahala.
Adam alipoteza fellowship yake na Mungu kwa kumpa Eva priority na kusahau hadi muda wa ibada.

Ukitumia macho yako hayo ya mwilini kutafuta mke au mume ukayatumia hayohayo kumchunga utachemka tuu

Utalala nae usiku na mchana atalala na wengine

Sijakataa kwamba kuna umuhimu wanandoa kuishi pamoja ila pia hamuwezi kuishi pamoja kwa kisingizio cha ndoa huku mambo ya uchumi yamegoma. Raha ya ndoa ni pale mnapobarikiwa kwa uzao na Mali. Ndani ya ndoa mapenzi hayaliwi
Tamaa ya mali isisababishe familia kusambaratika, mali huja na kuondoka, wapo waliofanya kazi mpaka ikulu ila leo wana madeni so familia ndio kipaumbele namba moja mengine nyongeza
 
Ati mke hachungwi? Thubutuuuu... Hilo ndo kosa alifanya adam kutokumchunga eva na hakujua yupo na nani na wanafanya nin mwisho wakafukuzwa eden, abiria chunga mzigo wako
Hivi unawajua vyema wanawakebwewe .kwanza umeoa? Humu wengi hata wachumba wanaojulikana hawana lakini kutwa kubwabwaja..mwanamke hachungwi fullstop
 
Habarini wana jamvi!

Ebhana wife kapata kazi Mkoa wa Kagera na kazi ni nzuri, amekaa muda mrefu bila kazi takriban 5 yrs. Lakini kwa sasa ana mtoto mdogo, binafsi si kwamba sipendi akafanye kazi ila naona kama ni mbali sana na nyumbani, Kagera to Dsm ni parefu mno.

Naomba maoni yenu aende ama atulie tu, kwa sasa ni mama wa nyumbani na yuko desperate kweli kupata kazi.

Funguka Mdau, Hapa matusi si pahala pake.
Mtafutie kazi mtaaani, ili asiende mkoani.
 
Acha mwanamke akafanye kazi awe na hela yake hata siku ikitokea asichepuke kisa kupewa elfu 50 ya kikoba, bora akichepuka achekupuke kwa kupewa hata laki 5 aongezee kodi ya nyumba au akusanye ntaji wa kiwanja.

Unajuwa mwanamke akiwa na pesa yake hababaishwi na wanaume wenye vijisent vya njaa? Yaani hata akichepuka basi achepuke na mtu anaekuzidi uwezo sio hivi vitoto visimamia kucha mfukoni havina hela.
Hili hata wanangu ntawaambia wakikua ifanyiwe lamination .ngumu sana kumla mwanamke mwenye hela zake..labda aamue tu
 
Kama umeridhika nanpesa unayoingiza na unaona inaendesha familia basi anaweza akaendelea kukaa nyumbani...

Lakini kama mna njaa ya kufanikiwa, basi muache aende alikopata ajira baadaye mtajua namna ya kusogea na kuishi karibu...

Tazama maisha yenu yanahitaji nini kwa sasa
 
Tamaa ya mali isisababishe familia kusambaratika, mali huja na kuondoka, wapo waliofanya kazi mpaka ikulu ila leo wana madeni so familia ndio kipaumbele namba moja mengine nyongeza

Kazi ni msingi wa maendeleo mkuu

Unaweza kuwa unafanya kazi inayokutaka kusafiri pia na mke akabaki nyumbani, wakati umeondoka utamfunga cctv cam?

Mtoa maada ameweka wazi kabisa kwamba mwenzie yuko desperate sababu ya uhitaji wa kazi. Hapo ni wazi kabisa Yapo yanayokosekana ambayo hata yeye anaona yanhitaji support ya mke

Hayo ya kufanya kazi mipaka ikulu na kuishia na madeni ipo lakini pia kubali au kataa hata mpendane vipi hamuwezi kaanga mapenzi mkayala na watoto, au mkachukukua marriage certificate mkaipeleka shule ikalipe ada za watoto au sababu mnapendana mpite madukani mgawiwe mavazi na kulipiwa bills
 
Mshahara anaoufuata I think ni 1.5m hivi, though ni unconfirmed. Lkn I can afford her needs and my family, ni vile tu naiona push ya ndg zake pia, si unawajua wabongo, kwamba walimsomesha so they expect ahudumie pia, mim sina neno sana na hilo ila Distance… It is too far away from home. Na bad enough ni kazi za private hata hawana branch maeneo ya karibu!
Private..! hiyo kazi ni permanent basis au mkataba wa muda maalum
 
Je ingekua ni wewe umepata kazi nje ya nchi na huwezi kusafirisha familia ungefanyeje??kuna madereva wa malori kwenye nyumba zao ni adimu lakini wake zao wameishi fresh na watoto.

Tusichojua ndoa ya kila mtu ina uniqueness. Ndoa hazifanani. Wewe kama unamjua mkeo kama mwanamke bora maana miaka 5 ushamjua pima...kama itafaa abaki basi wekeza investment ya kumfanya aingize nusu ya mshahara ambao angeupata kagera.

Watu weng hatujui kuwa upendo ndo unatakiwa uwe kipimo cha maamuzi. Kama mnapendana kaeni mweigh options. Communication muhimu sana. Kaeni kama wanandoa wewe mueleze doubts and questions na yeye umsikilize what she has to say. Panahitaji hekima sana baina yenu. Ushashauriwa huku na wadau sasa mada iwekwe mezani muongee muelewane. Ikawe kheri katika maamuz mtakayofanya.

Wewe acha kua mpuuzi tofautisha mwanaume anapoacha kwake akaenda kutafuta na mwanamke anapoacha kwake na kwenda kutafuta. Sikuzote mwanamke unapomuoa inabidi awe anakuona wewe ndo mwongoza njia yake ndo maana hao unaowasema madereva maroli kumbuka wameenda kutaftia mke na watoto na ndo maana kawaacha kwenye nyumba alojenga yeye iyo inampa mwanamke kumbukumbu kua niko kwenye nyumba ya mume wangu

Hiko ivi mwanamke sikuzote ni mtu wa familia kama nia ni kumkomboa kiuchumi basi hakikisha kama ni kazi unamtafutia wewe, pia office anapoenda kufanyia kazi nawewe unamamlaka au hapo ulipounamamlaka makubwa kias kwamba iyo kazi yake mwanamke kwako ni kama mbuyu na muembe apo still heshima yako itakuepo kwake ila ikiwa kazi anayoenda kufanya inakuzid credibility zaidi trust me hawez hata kukuomba ruhusa na hutokaa upate heshima yako kama baba. Sa naomba uache kabisa upuuzi wa kulinganisha mwanaume anayejielewa anapotoka kwenda mbali kuitaftia familia na mwanamke anapotoka kwenda mbali kuitftia familia.

Inshot hata mwenye mada keshafail pakubwa ukiona mpaka mke anakumbia anataka akafanye kazi sehem fulani bas ujue ishakula kwake, kama mwanaume angekua na kazi nzuri na cheo kizuri kamwe mwanamke hawez kukumbia nataka nikafanye kazi sijui wapi zaidi atakumbua naomba unitaftie nafasi kwenye biashara yako, kampuni yako, taasisi yako, au naomba mtaji baas. Ila kama kafikia hatua ya kutaka kufanya away from mume wake basi jua hana chakubakiza apo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom