scolastika
JF-Expert Member
- Jan 26, 2019
- 3,863
- 5,736
kwa nini baba Jasmine ama jina ndo limekuchanganya?
kwa nini baba Jasmine ama jina ndo limekuchanganya?
miezi mitatu yote mnatafta hela ya nini kila mwezi napeleka mboga mimiWazee na wenye hekima waliona mbali waliposema wanandoa wasitengane zaidi ya miezi 3; zaidi ya hapo kila mmoja ajiandae kwa maumivu
Nakazia ✍️✍️✍️Basi mfungulie biashara na abaki hapo. Kama uwezo wa kumuhudumia upo kwanini aende mbali?
Ndugu yangu hali nayopitia ni hayo mambo,mke analiwa dodoma kmmke.
Usije jaribu kumuacha aende.
Utaletewa hata gari kutoka kwa sponsor,utajua hujui ...
Kuna subaru nimeipasua vioo vyote hapa home kmmke.
Mnataka tufanyaje,? Tuwaombe Kitu mwaka mzima mtusubirishe utafikiri tunaomba kazi UN!? Big No
Ati mke hachungwi? Thubutuuuu... Hilo ndo kosa alifanya adam kutokumchunga eva na hakujua yupo na nani na wanafanya nin mwisho wakafukuzwa eden, abiria chunga mzigo wakoAlubati huyo anayeliwa dodoma sio sababu ya distance ni sababu ya kutokujitambua tuu. Tena inawezekana hata mlipokua pamoja alikua analiwa ila sababu ya imani kwamba unamchunga hukuwa unajua.
Mimi kwa miaka 6 niliishi jirani na wanandoa nikishuhudia mume anaagwa kwa bashasha na mabusu ya kutosha na kubebewa bag ya vitendea kazi kila asubuhi anapoenda kazini; na akishaondoka tuu mke analiwa..... anarudi anpokelewa kwa bashasha na massage ananyiwa. Yule mwanaume hata ungemwambia anachapiwa alikua haelewi tena waweza ishià kuwa adui wa ndoa yake
Wewe mwenzio keshasema mke yupo desperate sababu ya kukosa kazi ina maana hata amani hana. Wacha akafanye kazi kwa maendeleo ya familia
Mtu mzima hachungwi
Ukweli mtupu. Kama umeoa mwanamke mwenye usomi wake kubaliana na haya mambo ya yeye kwenda mbali kufanya kazi. Wala usilete maneno mengi. Hutaki hizo stress chuku form four failure maisha yaende.Na hi ndo hofu ya wengi! Nashauri anaetaka kuoa aoe standard seven maana hawa wasomi mkiwaoa mnataka vile vyeti vyao na hustles zao wazibwage chini
Kwa kweli kama mwanamke umesomeshwa mwanaume asikuletee ujinga nenda kapige kazi.Mnataka tufanyaje,? Tuwaombe Kitu mwaka mzima mtusubirishe utafikiri tunaomba kazi UN!? Big No
Wewe dada nimefurahi kukuona tena jukwaani.Mnataka tufanyaje,? Tuwaombe Kitu mwaka mzima mtusubirishe utafikiri tunaomba kazi UN!? Big No
Milele amina shangazi ake, asante sana kwa fundisho.Ndoa haina utukufu, ila ndoa njema na ndoa sahihi inampa Mungu utukufu
Tumsifu Yesu Kristo
Kila mtu afanye kazi awe na pesa yakeWanawake bhana!!
Yaani hapa mambo yoote umeelezea kwenu tu.
Sasa unaolewa ukawe kitega uchumi Cha ndugu zako?
Wakitaka uwe kitega uchumi Chao wasikuoze basi.
Uendelee kuwa singo
Unaweza kuwa na kazi na hiyo hela yako ndugu zako wasiionje kabisa.
Ati mke hachungwi? Thubutuuuu... Hilo ndo kosa alifanya adam kutokumchunga eva na hakujua yupo na nani na wanafanya nin mwisho wakafukuzwa eden, abiria chunga mzigo wako
Acha mwanamke akafanye kazi awe na hela yake hata siku ikitokea asichepuke kisa kupewa elfu 50 ya kikoba, bora akichepuka achekupuke kwa kupewa hata laki 5 aongezee kodi ya nyumba au akusanye ntaji wa kiwanja.Mpaka hapa nina 60% tu kwenye mtihani wako Mkuu 😊😊 Sema anaweza suka hata 60k, ila Akisuka huwa hela inamuuma 🤣
Mkuu,Meeen, I like this…
Ni kwamba mpaka naleta huu uzi, tuliongea akasema kama naweza kumruhusu aende kufanya kazi au la, so anasubiri uamzi kutoka kwangu, ndio nilikuwa naangalia possibilities hapa, ndoa haijafika miaka hiyo miaka 10. Nikalileta huku nikiamini kuna watu wanaweza kuwa na experience na hivo vitu.