Ila hapa kuna funzo hutakiwi kukimbilia kuoa tu sshv,miye naona kaa na demu/mchumba bila kumuoa 4 up to 5yrz bila kumuoa utakuwa ushajua kila kitu kumuhusu yeye cyo kukurupuka kuoa tu maana hyo 5yr utakuwa umejua mpk undan wke wote ndg rafiki n.k na tabia zke kiujumla,hapo sasa ndyo unamtangazia ndoa halafu baada ya miaka miwili ndyo unaoa jumla,cjui atakuzingua nn hapo ukimweka ndani sababu kila kitu unakijua kuhusu yy,cyo kukurupuka tuu,ndy madhara yake hayo,nimeongea kimuhemko hapa sababu kuna mdogo wangu yamemkuta haya kukimbilia kuoa kisa umemaliza chuo umepata kikazi kinakuingizia 1m/month bas unataka kuoa