Mke wangu ameanza dharau baada ya kumfungulia duka

Mke wangu ameanza dharau baada ya kumfungulia duka

Mambo kama haya yalimkuta Anko wangu mke alipewa uhuru duka kubwa, anafunga mzigo mwenyewe akapewa hadi usafiri akaanza dharau akadanganyika pa dogo tu kudate na kakijana naona kalikuwa kanamkaza vizuri akakimbia hadi nyumba na kusepa na M 19 za kufungia mali kwa kujua atamkomoa mumewe.

lakini Anko kwa vile nae alikuwa na mishe zake nyingine ikabidi achukue fedha ya huku kupeleka kwenye duka ili apush japo hakuwa vizuri kichwani mana alichanganywa sana na tabia ya mkewe ila kwa vile mwanamume ikabidi akomae,baada ya miezi 7 Mkewe kaishiwa anataka kurudi jamaa akafunga vioo mke kachoka hadi huruma..


Anko ye bize na wanaye na biashara zake ila ana ka bimdogo kanamliwaza na maisha yanasonga.
Ushauri; hata huyo wako kama ni jeuri we mwache akomae mwenyewe usimsaidie tena we fanya mambo yako
 
Mie yalinikuta. Nilitengana na wafi. Baadaye nikapata mwingine nikamfungulia duka la vykula kariakoo. Ni wa Tanga. Marafiki wakaaza kushinda dukani jitihada za kuonya zikashindikana. Nikiwa sipo kaamua kuhama nyumbani baada ya kukaa naye miaka 6. Sasa ni mwaka keshafunga duka, gari kauza na simu kabadili.
 
Ila hapa kuna funzo hutakiwi kukimbilia kuoa tu sshv,miye naona kaa na demu/mchumba bila kumuoa 4 up to 5yrz bila kumuoa utakuwa ushajua kila kitu kumuhusu yeye cyo kukurupuka kuoa tu maana hyo 5yr utakuwa umejua mpk undan wke wote ndg rafiki n.k na tabia zke kiujumla,hapo sasa ndyo unamtangazia ndoa halafu baada ya miaka miwili ndyo unaoa jumla,cjui atakuzingua nn hapo ukimweka ndani sababu kila kitu unakijua kuhusu yy,cyo kukurupuka tuu,ndy madhara yake hayo,nimeongea kimuhemko hapa sababu kuna mdogo wangu yamemkuta haya kukimbilia kuoa kisa umemaliza chuo umepata kikazi kinakuingizia 1m/month bas unataka kuoa
 
Ujasriamali na changamoto za familia (Ndoa) Jitahidi siku zoote kadri iwezekanavyo kiashara kujitenga / kujitegemea mbali na family anagalau kwa 50% sio 100% kutegemea mke au mtu mmoja tu kosa kubwa, NDOA kwanza inafuata Pesa/biashara kwani msingi wa wa biashara yeyote ni Ndoa IMARA, km Ndoa legelege hata biashara ingekuwa au kuzalisha kiasi gani vyoote VITAPOROMOKA SIKU MOJA TU
 
Funga hilo duka linalompa jeuri na kila kitu kitakuwa sawa
 
Back
Top Bottom