Mke wangu ameanza dharau baada ya kumfungulia duka

Mke wangu ameanza dharau baada ya kumfungulia duka

No usiwaze kuacha kwanza!

Anza kumpotezea kabisa kuwa busy na mambo yako,usimpe chochote, usimuulize chochote uwe kuhusu duka wala nn,yaani piga kimya,ukitoka job ikiwezekana usirudi hom mapema na ukfika home busy unaoga unalala hakuna kumuuliza chochote!usitoe hela yako tena kuweka huko kwny duka,familia aihudumie yy,akikuomba hela mwambie huna achukue dukani!
Akikuuliza unajibu alichouliza basi,no story no kumbembeleza!
Utakuja kutuambia hapa km ataendelea ,unless ana kinachompa kiburi.

Mi mwanamke!
Najua lzm atajua umepata mchepuko ndo maana humjali,ila usiwe na mchepuko pls!
Sikilizia ss!
Na akianza kujifanya anakua mpole unajikaza mpk akili imkae sawa heshima irudi ajue we ni kichwa!
Pumbavu kabisa!

Hichi ulichokisema nimekikubali sana.It is a tested and proved tactic!It works much.
 
Tunatofautiana tunavyoyachukulia mambo.....na tofauti ya mitazamo hiyo ndio inayoleta mikingamo ndani ya nyumba.........inawezekana malalamiko ya mkeo yakawa sahihi lakini akili yako ikagoma kuukubali ukweli kutokana na hitaji la haja yako kwa wakati huo......

Jitahidi sana kuyasoma mazingira kabla ya kuulizia jambo fulani kwenye nyumba....hata kama ni la kawaida kwani hujui kuwa mwenzako wakati huo yupo kwenye hali kiakili na kimtazamo juu ya jambo hilo unaloliulizia.....

Kwanza nikupongeze kwa kufanya jambo la maana kwenye ustawi wa familia yako.....kasoro yako ni kuwa umeanzisha jambo ambalo wewe umeshindwa kulisimamia..........wakati unapanga jambo hilo ulitakiwa pia upange na mbinu za kulisimamia mapema mno.......

Kwa jinsi hali ilivyo ni kuwa kuna viashiria vya mabadiliko ya mkeo ambayo wewe ulishindwa kuyasimamia mapema........na kwa kuwa umeliacha muda mrefu na mkeo ameshalifanya kama sehemu ya maisha yenu mapya.......

Kwa hapo ilipofikia mabavu na maguvu hayawezi kutatua tatizo hilo hekima busara.......

Kutokana na mfumo mpya wa maisha ya familia yako ni wazi kuwa mkeo atakuwa anachoka sana kutokana pirika pirika za dukani......uchovu huo unamfanya awe mtu wa kisirani hata katika mambo ya kawaida....ambayo mwanzo alikuwa akiyafanya kwa hiyari yake.......

Tafuta siku moja ambayo hatakuwa na shughuli nyingi za dukani au hata kama ikiwezekana afunge kaisa duka.....kitendo cha yeye kukaa na wewe siku nzima.....kutamfanya akumbuke majukumu yake mengi aliyokuwa akikufanyia....ikifika usiku muda wa kupumzika....mueleze kwa mahaba ni jinsi mabadiliko hayo yanavyokufanya uwe mnyonge.......

Hadi kufikia hapo ndio muda muafaka wa wewe kusimamia kile ambacho ulikianzisha.......ikiwamo na suala la kumtafutia kijana wa kazi ili awe anamsaidia shughuli za dukani......hiyo itapelekea yye kupunguza uchovu na kurejea kwenye hali yake ya kawaida......,,

NB; unatakiwa uwe mvumilivu kwenye kipindi hiki kigumu...,,,
Yaani pekw yako umetoa ushauri wa kujenga
 
Habari wanajamvi,

Nimeoa miaka 2 iliyopita. Changamoto kubwa niliyonayo ni huyu mwanamke nimemfungulia kaduka. Basi dharau zimezidi hatari, ananijibu anachotaka.

Nikimuuliza mahesabu kuhusu duka hataki kunipa, unyumba mpaka nimbembeleze. Inaweza kupita wiki 2 anatoa visingizio kibao.

Naombeni ushauri wenu.
Kabla ya kumfungulia duka ulituomba ushauri ? Mpuuzi sana wewe
 
pengine wewe ndiye mwenye tatizo... ukute unaachia mzigo chini ya dakika 2..
dharau huwa inaanzia hapo.. ila kama unamkamata unampa mpaka mwisho.. lazima heshima iwepo.
usiombe unyumba tengeneza mazingira ya kupeana unyumba.
Na hapo ndio huwa pazito.
 
Wanawake huwa tuna njia za ajabu ajabu sana za kufikisha ujumbe, wakae chini wazungumze vizuri kwa upendo, wapembue palipoharibika warekebishe then wasonge mbele.
Si amwambie tu kuungwana. Mambo ya kumtia kihiro Kaka wa Watu ya nini. Kuna muda wanaume tunakuwa blind. Yaani hatuoni ata ishara mpaka mtu afunguke yake ya moyoni
 
Yaani wiki mbili jamaa hajagusanisha nyareee....[emoji15] [emoji15] [emoji15] alafu unamshauri wakae wazungumze kwa upendo.....[emoji34] [emoji34] [emoji34]. Sasa hapo upendo unatoka wapi wakati jamaa analala huku amekunja kumi kupooza pale kati....!???
Ebu acheni kufananisha unyumba na mambo ya kijinga aiseeeee
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Si amwambie tu kuungwana. Mambo ya kumtia kihiro Kaka wa Watu ya nini. Kuna muda wanaume tunakuwa blind. Yaani hatuoni ata ishara mpaka mtu afunguke yake ya moyoni
Kufunguka napo ni kipaji, wakati mwingine wakifunguka mnakuwa blind pia na kuchukulia in a negative way.
 
Wanawake wanajijua wao tuu. Ukijipendekeza sana shida, ukikaa mita mia mbili shida, ukikaba sana shida. Ili mradi hawaeleweki. Unaweza shinda ndani asikusalimie. Ukinyanyua tu mguu kwenda hapo jirani kwenye grocery ya Mangi sim kila baada ya dkk tano. Uko wapi,uko na nani, tule tukusubiri, utakunywa chai...heee. Ukirudi home keshavuta domo.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kuna mistake ulifanya kwenye unyumba na bado unaendelea kulifanya ndio maana unaona mabadiliko ya kitabia ila kwa kua mabadiliko hayo yanaambatana na duka ulilomfungulia ndio maana unafikiria ni sababu ya duka, kwa mtazamo wangu mbembeleze akikupa hiyo unayoita unyumba hakikisha unafanya kweli,mpaka afike dewpoint usiende na uchu wa jogoo!!! be different kwa maana anaweza kua amepata wa kumpa unyumba huyo katika kiwango ambacho hufikii lazima akudharau tu, msaprize kwa hilo kwanza alafu ndio utajua kua ni unyumba au duka. Kama haumini kua ni unyumba basi Ingia dukani siku moja na lita 2 za petroli then washa bila ye kujua kua we ndio chanzo cha moto, baada ya hapo subiri matokeo...
Ndo Dawa yake
 
pengine wewe ndiye mwenye tatizo... ukute unaachia mzigo chini ya dakika 2..
dharau huwa inaanzia hapo.. ila kama unamkamata unampa mpaka mwisho.. lazima heshima iwepo.
usiombe unyumba tengeneza mazingira ya kupeana unyumba.
Mtu anayekupenda hawexi kukusumbua kisa wazungu wanashuka baada ya dk 2. Kama ni mwanamke anayejielewa lazima atakushawishi mpambana upate suruhu
 
No usiwaze kuacha kwanza!

Anza kumpotezea kabisa kuwa busy na mambo yako,usimpe chochote, usimuulize chochote uwe kuhusu duka wala nn,yaani piga kimya,ukitoka job ikiwezekana usirudi hom mapema na ukfika home busy unaoga unalala hakuna kumuuliza chochote!usitoe hela yako tena kuweka huko kwny duka,familia aihudumie yy,akikuomba hela mwambie huna achukue dukani!
Akikuuliza unajibu alichouliza basi,no story no kumbembeleza!
Utakuja kutuambia hapa km ataendelea ,unless ana kinachompa kiburi.

Mi mwanamke!
Najua lzm atajua umepata mchepuko ndo maana humjali,ila usiwe na mchepuko pls!
Sikilizia ss!
Na akianza kujifanya anakua mpole unajikaza mpk akili imkae sawa heshima irudi ajue we ni kichwa!
Pumbavu kabisa!
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kufunguka napo ni kipaji, wakati mwingine wakifunguka mnakuwa blind pia na kuchukulia in a negative way.
Yaani hatua ya red flag ni ya mwisho kabisa. Akishindwa anaenda kwa Mzee wa kanisa au mtu yiyote anajua anajielewa waweze kutoa tifauti zao. Najua Kama ni mkristo anaweza nda kanisani na Kama ni muislam anaweza pata msaada Mahala pake pa kuswalia
 
Back
Top Bottom