Mke wangu ameanza dharau baada ya kumfungulia duka

Mke wangu ameanza dharau baada ya kumfungulia duka

Duh
Hivi kwann jmn!
Akome tu kwakweli!
Mwambie anko aoe tu ss!
Ana ka bi mdogo kanamliwaza hawezi funga ndoa tena si unajua imani zetu za kikristo hizi..ila alitingwa sana kipindi mkewe yupo juu maana akiambiwa hiki hasikii ila sasa ni zamu yake anajuta hadi huruma huwezi amini kama ni mtu ambaye alikuwa hana shida yoyote usafiri,nyumba,duka vipo na aliruhusiwa kufungua kitega uchumi chochote ambacho kingewaingizia pesa sababu Anko ye alikuwa anadili na mambo yake mengine so mke akawa huru ila masikini ya mungu kijana wamjini baada ya kumuonjesha tamu Anti akachanganyikiwa japo Anko alikuwa anajua lakini alibaki kimya akajua labda mwenzie alipitiwa ila kumbe mwenzie aliona haitoshi akaamua akimbie familia kabisa(kama alivyofanya Lipumba) baada ya muda anarudi anataka kuwa mke halali kwa mara nyingine
 
Mkuu, una mawe ya kutosha kama mimi? kama jibu ni ndiyo basi ondoka hapo nyumbani, mwache aishi maisha aliyoyachagua, ikiwezekang asipajue hata ulipo, ushauri tu lakini, akili za kuambiwa..
 
Demu wangu ananijua mi huwa sipendagi ujinga mimi, wala sijaribiwi, yaani nikimwambia tu njoo au nakuja ananiambia njoo maana anajua nataka nini na kama yupo kwenye siku zake yupo radhi kunionyesha, SIPENDI UJINGA KABISAAAA
sasa ndo ubaniwe wiki mbili tena mnalala kitanda kimoja!!
 
Mkuu, una mawe ya kutosha kama mimi? kama jibu ni ndiyo basi ondoka hapo nyumbani, mwache aishi maisha aliyoyachagua, ikiwezekang asipajue hata ulipo, ushauri tu lakini, akili za kuambiwa..
Hiyo ngumu.!
 
kuna mistake ulifanya kwenye unyumba na bado unaendelea kulifanya ndio maana unaona mabadiliko ya kitabia ila kwa kua mabadiliko hayo yanaambatana na duka ulilomfungulia ndio maana unafikiria ni sababu ya duka, kwa mtazamo wangu mbembeleze akikupa hiyo unayoita unyumba hakikisha unafanya kweli,mpaka afike dewpoint usiende na uchu wa jogoo!!! be different kwa maana anaweza kua amepata wa kumpa unyumba huyo katika kiwango ambacho hufikii lazima akudharau tu, msaprize kwa hilo kwanza alafu ndio utajua kua ni unyumba au duka. Kama haumini kua ni unyumba basi Ingia dukani siku moja na lita 2 za petroli then washa bila ye kujua kua we ndio chanzo cha moto, baada ya hapo subiri matokeo...
 
ukimwezesha mwanamke ni sawa na kuwezesha jamii nzima mkuu
 
Wanawake wanajijua wao tuu. Ukijipendekeza sana shida, ukikaa mita mia mbili shida, ukikaba sana shida. Ili mradi hawaeleweki. Unaweza shinda ndani asikusalimie. Ukinyanyua tu mguu kwenda hapo jirani kwenye grocery ya Mangi sim kila baada ya dkk tano. Uko wapi,uko na nani, tule tukusubiri, utakunywa chai...heee. Ukirudi home keshavuta domo.
Yaani umejua kunichekesha leo!
Nimecheka sn hii comment!
Duh
[emoji13] [emoji23]
Eti ukitoka tu cm
 
Ana ka bi mdogo kanamliwaza hawezi funga ndoa tena si unajua imani zetu za kikristo hizi..ila alitingwa sana kipindi mkewe yupo juu maana akiambiwa hiki hasikii ila sasa ni zamu yake anajuta hadi huruma huwezi amini kama ni mtu ambaye alikuwa hana shida yoyote usafiri,nyumba,duka vipo na aliruhusiwa kufungua kitega uchumi chochote ambacho kingewaingizia pesa sababu Anko ye alikuwa anadili na mambo yake mengine so mke akawa huru ila masikini ya mungu kijana wamjini baada ya kumuonjesha tamu Anti akachanganyikiwa japo Anko alikuwa anajua lakini alibaki kimya akajua labda mwenzie alipitiwa ila kumbe mwenzie aliona haitoshi akaamua akimbie familia kabisa(kama alivyofanya Lipumba) baada ya muda anarudi anataka kuwa mke halali kwa mara nyingine
[emoji13] eti km lipumba!

Hayo ndo madhara ya zinaa!
Zinaa ikishaingia kwny ndoa trust mi kila kitu kinakufa!

Uchumi unayumba yaani kila kitu!
Na ndo shida wana ndoa wengi hawajajua,zinaa ni mbaya!
 
pengine wewe ndiye mwenye tatizo... ukute unaachia mzigo chini ya dakika 2..
dharau huwa inaanzia hapo.. ila kama unamkamata unampa mpaka mwisho.. lazima heshima iwepo.
usiombe unyumba tengeneza mazingira ya kupeana unyumba.
 
Nimeshaapa nikiacha sioi hadi kufa kwangu
No usiwaze kuacha kwanza!

Anza kumpotezea kabisa kuwa busy na mambo yako,usimpe chochote, usimuulize chochote uwe kuhusu duka wala nn,yaani piga kimya,ukitoka job ikiwezekana usirudi hom mapema na ukfika home busy unaoga unalala hakuna kumuuliza chochote!usitoe hela yako tena kuweka huko kwny duka,familia aihudumie yy,akikuomba hela mwambie huna achukue dukani!
Akikuuliza unajibu alichouliza basi,no story no kumbembeleza!
Utakuja kutuambia hapa km ataendelea ,unless ana kinachompa kiburi.

Mi mwanamke!
Najua lzm atajua umepata mchepuko ndo maana humjali,ila usiwe na mchepuko pls!
Sikilizia ss!
Na akianza kujifanya anakua mpole unajikaza mpk akili imkae sawa heshima irudi ajue we ni kichwa!
Pumbavu kabisa!
 
Back
Top Bottom