Namgegeda vizuri tu. Ila ni tabia,mi nataka nipige 2 anasema amechoka.Mtu anayekupenda hawexi kukusumbua kisa wazungu wanashuka baada ya dk 2. Kama ni mwanamke anayejielewa lazima atakushawishi mpambana upate suruhu
Tena mbaya zaidi business ya 2 niliuza kagaro kangu pendwa sana. Nikasema bora niungane na wananchi kujenga uchumi..Kwa maelezo yako ww umeshindwa kummiliki mkeo/unamsikiliza kupita maelezo kabsaa unaandika et mkeo anasema umeanua nguo afu hujakunja asee (what kind man are u???) biashara ya Kwanza ilikufa ilitakiwa uangalie uwezo wake na bora umrudishe shule kuliko kumfungulia tena biashara
Sure broKeshapata mteja wa kununua huo unyumba ndiyo maana...
Pata pesa tujue tabia zako...
nyani amelirudia poli lake la asiliHabari wanajamvi,
Nimeoa miaka 2 iliyopita. Changamoto kubwa niliyonayo ni huyu mwanamke nimemfungulia kaduka. Basi dharau zimezidi hatari, ananijibu anachotaka.
Nikimuuliza mahesabu kuhusu duka hataki kunipa, unyumba mpaka nimbembeleze. Inaweza kupita wiki 2 anatoa visingizio kibao.
Naombeni ushauri wenu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji23] [emoji23]Kwanini usimuwekee vikwazo vya kiuchumi mkuu?? Uchumi wake udolole na thamani ya shiling yake ishuke sana, lazima anyooke tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] pole mkuuNamgegeda vizuri tu. Ila ni tabia,mi nataka nipige 2 anasema amechoka.
Habari wanajamvi,
Nimeoa miaka 2 iliyopita. Changamoto kubwa niliyonayo ni huyu mwanamke nimemfungulia kaduka. Basi dharau zimezidi hatari, ananijibu anachotaka.
Nikimuuliza mahesabu kuhusu duka hataki kunipa, unyumba mpaka nimbembeleze. Inaweza kupita wiki 2 anatoa visingizio kibao.
Naombeni ushauri wenu.
yah kamwezesha njemba huyoKwahiyo jamaa ameiwezesha na minjemba ya mtaani kwake[emoji28] [emoji28] [emoji28]
hebu toa hiyo x hapo then uniqoute tena.Mtu anayekupenda hawexi kukusumbua kisa wazungu wanashuka baada ya dk 2. Kama ni mwanamke anayejielewa lazima atakushawishi mpambana upate suruhu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]yah kamwezesha njemba huyo
Upesi umrudishe jini kwenye chupa yakeHabari wanajamvi,
Nimeoa miaka 2 iliyopita. Changamoto kubwa niliyonayo ni huyu mwanamke nimemfungulia kaduka. Basi dharau zimezidi hatari, ananijibu anachotaka.
Nikimuuliza mahesabu kuhusu duka hataki kunipa, unyumba mpaka nimbembeleze. Inaweza kupita wiki 2 anatoa visingizio kibao.
Naombeni ushauri wenu.
Hahaha jamani nmechekaunatakiwa upewe tuzo kukaa wiki 2 bila kuonja papuchi,mm siwezi
Tungo tata kiongoziUpesi umrudishe jini kwenye chupa yake
Hivi unajua nilichoandika maana yake nini???Tungo tata kiongozi
umeona enhre[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sasa wewe ndio naona unataka kumuua huyu mleta uzi kwa presha