Code Breaker
JF-Expert Member
- Mar 2, 2014
- 1,019
- 446
Sweet Mangi
*Nimechukua hatua ya kwanza kwamba duka lijitegemee kuanzia kulipa Umeme kodi,hela ya kula mchana. Mi ntawajibika na masuala ya nyumbani tu. Nilivyomwambia analeta,eti wachaga hawatoi hata 100 kwa ajili ya kula,kumuhudumia mtoto na kumlipa msichana wa kazi.*Hahaaaa, kaka acha duka lijifie,,,,yaani ukitaka life vizuri wewe samehe hata mauzo usimuulize,,,
AsantePole kaka.
Hili ni jibu sahihi.. nimepita humo na nikayapata majibu. .... ingawa mimi haikuwa dukaHilo duka linajitegemea?
kama bado unata hela kwa hilo duka acha
usilipie chochote liache life....halafu utapata majibu
The boss nataka kuja PM tuongee kidogokama kaolewa na boya labda
Tena kama anafanya kazi hakikisha anaacha mara moja.Hawa watu wanafaa kubakia hivo hivo
Ukiwawezesha wengine wanakuwaga kama wehu vile
Hahaaa!! Binadamu yoyote hatabiriki bwana,sio wanawake tu.Nimefuatilia comments zako nyingi unaonekana una akili saana...lakini kwavile bado ww n mwanamke...nakuweka kwenye kundi lenu hili hili (hamtabiriki)
Imeandikwa "Ninyi waume kaeni na wake zenu kwa akili na kumpa mke heshima kama chombo kisicho na nguvu"hayo ni maneno ya Mungu 1Petro.3:7Habari wanajamvi,
Nimeoa miaka 2 iliyopita. Changamoto kubwa niliyonayo ni huyu mwanamke nimemfungulia kaduka. Basi dharau zimezidi hatari, ananijibu anachotaka.
Nikimuuliza mahesabu kuhusu duka hataki kunipa, unyumba mpaka nimbembeleze. Inaweza kupita wiki 2 anatoa visingizio kibao.
Naombeni ushauri wenu.
Hahaaa!! Naona mpo kwenye mpango mkakati.Tena kama anafanya kazi hakikisha anaacha mara moja.
Ndo manaake ss hiyo faida utajuaje km kila kitu unalipa out of bness?*Nimechukua hatua ya kwanza kwamba duka lijitegemee kuanzia kulipa Umeme kodi,hela ya kula mchana. Mi ntawajibika na masuala ya nyumbani tu. Nilivyomwambia analeta,eti wachaga hawatoi hata 100 kwa ajili ya kula,kumuhudumia mtoto na kumlipa msichana wa kazi.*
wewe jamaa mchochezi kabisa teh teh. . .unatakiwa upewe tuzo kukaa wiki 2 bila kuonja papuchi,mm siwezi
Mi ntawajibika masuala ya nyumbani,sitawajibika kwa suala lolote kuhusu duka kuanzia kodi,kula mchana,Umeme n.k Yeye anasema wachaga wakiwa wanauza duka au biashara yoyote. Hawali chakula ili msingi ukue. Nikamwambia huo ndo msimamo wangu.*Nimechukua hatua ya kwanza kwamba duka lijitegemee kuanzia kulipa Umeme kodi,hela ya kula mchana. Mi ntawajibika na masuala ya nyumbani tu. Nilivyomwambia analeta,eti wachaga hawatoi hata 100 kwa ajili ya kula,kumuhudumia mtoto na kumlipa msichana wa kazi.*
Hili ni jibu sahihi.. nimepita humo na nikayapata majibu. .... ingawa mimi haikuwa duka