Hii inanikumbusha historia ya jamaa mmoja, sikuzileee tulimuita Texas ambae kwasasa ni tajiri flani hivi mwanza.Mambo kama haya yalimkuta Anko wangu mke alipewa uhuru duka kubwa, anafunga mzigo mwenyewe akapewa hadi usafiri akaanza dharau akadanganyika pa dogo tu kudate na kakijana naona kalikuwa kanamkaza vizuri akakimbia hadi nyumba na kusepa na M 19 za kufungia mali kwa kujua atamkomoa mumewe..lakini Anko kwa vile nae alikuwa na mishe zake nyingine ikabidi achukue fedha ya huku kupeleka kwenye duka ili apush japo hakuwa vizuri kichwani mana alichanganywa sana na tabia ya mkewe ila kwa vile mwanamume ikabidi akomae,baada ya miezi 7 Mkewe kaishiwa anataka kurudi jamaa akafunga vioo mke kachoka hadi huruma..Anko ye bize na wanaye na biashara zake ila ana ka bimdogo kanamliwaza na maisha yanasonga.
Ushauri; hata huyo wako kama ni jeuri we mwache akomae mwenyewe usimsaidie tena we fanya mambo yako
Hahahaaaaa!! Kumbe zina balaa eeeh!![emoji85] [emoji85] [emoji85]Chezeya genye weye! Lol!
Wiki4 pia bado sio sababu, labda jamaa ndio tatizo.Wiki mbili hazikawii kuwa wiki nne njemba hiyooo ina mchepuko wake.
Sasa wewe ndio naona unataka kumuua huyu mleta uzi kwa preshaKampata mwenzio
Nna mtihani sana..!Mke hana tatizo mzima kabisa wa afya, mume akiomba papuchi mke anatafuta visingizio. Wiki mbili nyingi sana bhanaaa njemba itaishia kutafuta mchepuko lol!
Hahahaaaaa!! Kumbe zina balaa eeeh!![emoji85] [emoji85] [emoji85]
Wiki4 pia bado sio sababu, labda jamaa ndio tatizo.
Unaweza kumfungulia MTU kitu pasi na kuuliza mahesabu.mahesabu ya nini wakati ulimfungulia???
Kwa akili hizo za mkewe huko ndio atafundishwa uduwanzi zaidi, hizi salon acha kabisa, yaani inatakiwa awe anajitambua sana lasivyo ndio hivyo tena!!Atampangia ratiba kbs ya kulala naye
do we noma mkuuunatakiwa upewe tuzo kukaa wiki 2 bila kuonja papuchi,mm siwezi
Miss chaga utaniua mwenzio...Sasa wewe ndio naona unataka kumuua huyu mleta uzi kwa presha
Kwajinsi ulivyo jibu hapa.....Usawa mwenyewe wa braza Magufuli. Acha Masihara. No nipe ushauri mwingine mkuu.
Wanawake huwa tuna njia za ajabu ajabu sana za kufikisha ujumbe, wakae chini wazungumze vizuri kwa upendo, wapembue palipoharibika warekebishe then wasonge mbele.Umeona eeh! Halafu mbaya zaidi jamaa anaomba mke anamrusha. Unalala na mke ukimgusa mkali kama pilipili kichaa lol!
mahesabu ya nini tena ulimfungulia duka au darasa??Unaweza kumfungulia MTU kitu pasi na kuuliza mahesabu.
hebu jaribu kumfanyia hivyo shemSana.
Huu USHAURI NAFIKIR UTAMSAIDIA KUFUMBUA FUMBO LAKE COZ WOTE WAPO HIVYO HIVYOMambo kama haya yalimkuta Anko wangu mke alipewa uhuru duka kubwa, anafunga mzigo mwenyewe akapewa hadi usafiri akaanza dharau akadanganyika pa dogo tu kudate na kakijana naona kalikuwa kanamkaza vizuri akakimbia hadi nyumba na kusepa na M 19 za kufungia mali kwa kujua atamkomoa mumewe..lakini Anko kwa vile nae alikuwa na mishe zake nyingine ikabidi achukue fedha ya huku kupeleka kwenye duka ili apush japo hakuwa vizuri kichwani mana alichanganywa sana na tabia ya mkewe ila kwa vile mwanamume ikabidi akomae,baada ya miezi 7 Mkewe kaishiwa anataka kurudi jamaa akafunga vioo mke kachoka hadi huruma..Anko ye bize na wanaye na biashara zake ila ana ka bimdogo kanamliwaza na maisha yanasonga.
Ushauri; hata huyo wako kama ni jeuri we mwache akomae mwenyewe usimsaidie tena we fanya mambo yako
Nimemuoa kwa ndoa..!Mambo mengine inabidi ujiongeze filisi duka linalompa jeuri then piga chini
Kama umesema ulifungulia na akapata jeuri, sasa kwanini usimfugie ili jeuri ikwishe...[emoji69] [emoji69]Nafilisi VP.?
Hii ni biashara ya pili,ya kwanza hivyo hivyo ujanja ujanja wake ikafa. Sasa hii imenicost zaidi ya Mil 6 mpaka imetulia. Halafu analeta za kuleta.Wanawake huwa tuna njia za ajabu ajabu sana za kufikisha ujumbe, wakae chini wazungumze vizuri kwa upendo, wapembue palipoharibika warekebishe then wasonge mbele.
DuhMambo kama haya yalimkuta Anko wangu mke alipewa uhuru duka kubwa, anafunga mzigo mwenyewe akapewa hadi usafiri akaanza dharau akadanganyika pa dogo tu kudate na kakijana naona kalikuwa kanamkaza vizuri akakimbia hadi nyumba na kusepa na M 19 za kufungia mali kwa kujua atamkomoa mumewe..lakini Anko kwa vile nae alikuwa na mishe zake nyingine ikabidi achukue fedha ya huku kupeleka kwenye duka ili apush japo hakuwa vizuri kichwani mana alichanganywa sana na tabia ya mkewe ila kwa vile mwanamume ikabidi akomae,baada ya miezi 7 Mkewe kaishiwa anataka kurudi jamaa akafunga vioo mke kachoka hadi huruma..Anko ye bize na wanaye na biashara zake ila ana ka bimdogo kanamliwaza na maisha yanasonga.
Ushauri; hata huyo wako kama ni jeuri we mwache akomae mwenyewe usimsaidie tena we fanya mambo yako