Ww ni me au ke? Ukinijb ntakuja tuongee kuhusu avatar ako.Hilo nalo jipu!!!!!!!!!
[emoji13] eti km lipumba!
Hayo ndo madhara ya zinaa!
Zinaa ikishaingia kwny ndoa trust mi kila kitu kinakufa!
Uchumi unayumba yaani kila kitu!
Na ndo shida wana ndoa wengi hawajajua,zinaa ni mbaya!