Mke wangu ameanza dharau baada ya kumfungulia duka

Mke wangu ameanza dharau baada ya kumfungulia duka

atoto ukiona jamaa mpaka kayaleta huku ujue yameshamshinda. Kajaribu kuwa muungwana na mstaarabu bila mafanikio. Mke kibri kwa sana na papuchi anabania wiki mbili njemba inang'aa macho tu. Hebu niambie afanye lipi ili kuinusuru ndoa yao!?

We hebu wacha bwana!
 
Nyumba ndogo si suluhisho la ndoa!!!!. Ondoa mawazo finyu kama ushauri wa wengine kuhusu kuruhusu uwe na nyumba ndogo
 
atoto ukiona jamaa mpaka kayaleta huku ujue yameshamshinda. Kajaribu kuwa muungwana na mstaarabu bila mafanikio. Mke kibri kwa sana na papuchi anabania wiki mbili njemba inang'aa macho tu. Hebu niambie afanye lipi ili kuinusuru ndoa yao!?
Sasa wiki mbili tu jamani!![emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
  • Thanks
Reactions: BAK
dah yani kaduka tu hako amekuwa mgumu hadi kutoa papuchi af ni mke wako kabisa,.mfungulie saloon ya wadada
 
Mke hana tatizo mzima kabisa wa afya, mume akiomba papuchi mke anatafuta visingizio. Wiki mbili nyingi sana bhanaaa njemba itaishia kutafuta mchepuko lol!
Akitafuta mchepuko ni kayataka mwenyewe. Wiki mbili chache sana, mbona linazungumzika tu hilo.
 
Hilo duka linajitegemea?
kama bado unata hela kwa hilo duka acha
usilipie chochote liache life....halafu utapata majibu

kwa hiyo hela aliyowekeza ipotee bure ni kutimua tu mwanamke mjinga huvunja ndoa yake kwa mikono yake mwenyewe fukuzaaaaaa
 
Mkuu unapoomba akupe mahesabu halafu anakuzungusha hakuna tena uaminifu hapo kwenye biashara. Anakuficha nini Mkuu? Ongea naye myamalize kistaarabu.
Labda mwenzetu ana tafsiri tofauti ya uaminifu.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom