The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,654
The boss nataka kuja PM tuongee kidogo
Karibu sana
The boss nataka kuja PM tuongee kidogo
Nilimpa kusimamia mradi fulani na awe anakusanya hela... matokeo yake hela alokiwa anaificha ndani kama anaishi na mwizi... nikaona makusanyo yahamie kwangu...ilikuwaje?
haya mahusiano shida sana maana wanawake wakipata wataka kushindana na mwanaume
habari ndo hiyoo. tena na kupewa company ya kufata mzigo atapewa. hatoenda pekee. hahahawapo watu watakaodhamini hadi nauli ya kwenda china kufata mzigo.duka halifi kamwe
Huyo mkeo ulimchukua au ulipewa?Habari wanajamvi,
Nimeoa miaka 2 iliyopita. Changamoto kubwa niliyonayo ni huyu mwanamke nimemfungulia kaduka. Basi dharau zimezidi hatari, ananijibu anachotaka.
Nikimuuliza mahesabu kuhusu duka hataki kunipa, unyumba mpaka nimbembeleze. Inaweza kupita wiki 2 anatoa visingizio kibao.
Naombeni ushauri wenu.
Kumbe kuna kupewa pia!!Huyo mkeo ulimchukua au ulipewa?
Naa pia kuna kusogezaKumbe kuna kupewa pia!!
Mkuu tujuzeHabari wanajamvi,
Nimeoa miaka 2 iliyopita. Changamoto kubwa niliyonayo ni huyu mwanamke nimemfungulia kaduka. Basi dharau zimezidi hatari, ananijibu anachotaka.
Nikimuuliza mahesabu kuhusu duka hataki kunipa, unyumba mpaka nimbembeleze. Inaweza kupita wiki 2 anatoa visingizio kibao.
Naombeni ushauri wenu.
Ww umeoa? au unamahusiano ya kudumu?unatakiwa upewe tuzo kukaa wiki 2 bila kuonja papuchi,mm siwezi
Kwahiyo hamuwezi kuishi kabisaaa bila papuchi?Ww umeoa? au unamahusiano ya kudumu?
Hujawahi kuwa single kwa zaid ya miez6?
Na kama ulikuwa kuwa single ulikuwa unapata wapi papuchi? Au unanunua malaya?
Kuna kitu hakiko sawa Sana Sana upande wako. Hivi inakuaje unaanzisha biashara nyingine wakati ya kwanza alifeli.. Na kwa kuuza usafiri?Tena mbaya zaidi business ya 2 niliuza kagaro kangu pendwa sana. Nikasema bora niungane na wananchi kujenga uchumi..
Nilipewa..Huyo mkeo ulimchukua au ulipewa?
Kipindi Niko msela nilikaa miezi 12 bila papucho baada ya kukutana na majanga zaidi ya Snura.Ww umeoa? au unamahusiano ya kudumu?
Hujawahi kuwa single kwa zaid ya miez6?
Na kama ulikuwa kuwa single ulikuwa unapata wapi papuchi? Au unanunua malaya?
Nipo kwenye tathmini ya mwenendo wangu na maamuzi yangu then nijipange kivingine hii sasa ishakuwa tatizo kwa upande wangu. Mrejesho ntauleta kwa wakati.Kuna kitu hakiko sawa Sana Sana upande wako. Hivi inakuaje unaanzisha biashara nyingine wakati ya kwanza alifeli.. Na kwa kuuza usafiri?
Unaweza,kuna kipindi nilikaa miezi 12 bila hiyo kitu. Michepuko sijazoea,ningekuwa mzee wa hizi kazi hata nisingeleta malalamiko huku.Kwahiyo hamuwezi kuishi kabisaaa bila papuchi?
Watadhamini mpaka Ukimwi!wapo watu watakaodhamini hadi nauli ya kwenda china kufata mzigo.duka halifi kamwe