Mke wangu ameanza dharau baada ya kumfungulia duka

Habari wanajamvi,

Nimeoa miaka 2 iliyopita. Changamoto kubwa niliyonayo ni huyu mwanamke nimemfungulia kaduka. Basi dharau zimezidi hatari, ananijibu anachotaka.

Nikimuuliza mahesabu kuhusu duka hataki kunipa, unyumba mpaka nimbembeleze. Inaweza kupita wiki 2 anatoa visingizio kibao.

Naombeni ushauri wenu.
Cha msingi mwambie akusanye mauzo ili ukamfungie mzigo mwingine na kumwongezea zingine. Akifanya hivo hakika mzigo dukani utapungua kwa kiasi kikubwa na mauzo yote akupe, then nunua kitu ambacho kitakuwa cha muhimu kwa familia.
 
Asante kwa ushauri..!
 
Pole sana mkuu. ...huyo dawa yake ni kumtafutia msaidizi tu alafu nawewe miezi ya kutosha bila kumuomba utamu. .....endelea kumuonyesha sura ya furaha tu kama kawaida......mambo yako yote unamaliza kwa msaidizi wake asikupasue kichwa hawa watu ni wahivihivi. ....Ponda Mali kufa kwaja.....
 
Vyema kumfuatilia kwa kina chake tunaweza kudhania ni Duka kumbe Wale sio sabab

Kiuhalisia wanawake ni wajivuni sana wanapokuwa wamepiga hatua
 
Muhimu ni kumnyoosha kwa kutompa pesa kuzidi kuendeleza duka hilo, acha life ajitambue.

Pia kuwa na duka lazima anakutana na wateja na wanaume wanampa bichwa la maneno anayoambiwa.

Pole kama hana kazi ya kuajiliwa muache akae akipata shida then akae nyumbani, fungua biashara ingine wewe.
Duka halitokufa kamwe,tayari keshapata mabuzi yanagharamia,huyo bwana atafute mke mwingine,.,.,.,...perioooood.
 
chukua mahtaji yako yote kwa hiyo duka mpaka lifilisike
 
Pole sana mkuu. ...huyo dawa yake ni kumtafutia msaidizi tu alafu nawewe miezi ya kutosha bila kumuomba utamu. .....endelea kumuonyesha sura ya furaha tu kama kawaida......mambo yako yote unamaliza kwa msaidizi wake asikupasue kichwa hawa watu ni wahivihivi. ....Ponda Mali kufa kwaja.....
Kuna uhaba wa ARVs nchini jamani
 
Cha msingi mwambie akusanye mauzo ili ukamfungie mzigo mwingine na kumwongezea zingine. Akifanya hivo hakika mzigo dukani utapungua kwa kiasi kikubwa na mauzo yote akupe, then nunua kitu ambacho kitakuwa cha muhimu kwa familia.
Nimekusanya mauzo ya mwezi mzima nikamwambia ntamnunulia mzigom nimeenda kuweka bank,amenyooka. Nakula vyangu kiulani..
 
Back
Top Bottom