Mke wa mtu.

mke wa mtu ndo mwenyewe kaka!
uzuri wa mke wa mtu YUPO FREE SANA KWENYE HUDUMA TAKATIFU!tofauti na kidem chochote cha kitaa.mke wa mtu hakusumbui kuvua nguo wala KUJIACHIA MKIWA OLD-TRAFFORD!
yaani SHWAAAAAAAAAAAAAAAAAARI HAMNA SHARI.utakula vitu kwa nafasi bila migogoro ukimaliza huyooooo?tena anaweza akakutoa na mikwanja


Najipa mamlaka ya kukulaani kwa kuiba mke wa mtu,kufanya naye mapenzi na kushare experience yako bila kujuta.SIO UUNGWANA HATA KIDOGO.
 
Najipa mamlaka ya kukulaani kwa kuiba mke wa mtu,kufanya naye mapenzi na kushare experience yako bila kujuta.SIO UUNGWANA HATA KIDOGO.

Nakuunga mkono na mguu kusindikiza hizo laana! Huo ni uzinifu, Muumba wetu amekataza!
 
Suala sio kumlaani babaJ, kaeni na wake zenu tatueni kero ndani ya nyumba zenu ili muwaache wake zenu wakiwa wenye furaha muda wote. hii ndo itaondoa tatizo.

Mwanamke ni mvumilivu sana ktk ndoa na ikitokea mpaka anatoka nje nujue hana furaha na amani katika ndoa yake.

Wapeni furaha wake zenu.
 
Ah nimeoa mie
kila nikitembelea thread hii moyo unapiga kwa kasi
sichangii kitu hapa labda enzi zile nilipokuwa bachela... otea ningesemaje?
am out
 
Ah nimeoa mie
kila nikitembelea thread hii moyo unapiga kwa kasi
sichangii kitu hapa labda enzi zile nilipokuwa bachela... otea ningesemaje?
am out
Nakushauri mkulu jiandae kwa LOLOTE.
Ukiishi kwa jinsi hiyo, utakufa siku siyo zako.

Ukipata iliyokaribu GONGA.
Ukirudi nyumbani, SHEM ANAKUWA MTAMU ZAIDI.
Si unajua mambo ya kubadili taste.
 
ukisikia uchokozi ndo huo sasa.
Ah haya mambo yaache tu.
unajua ukiwa nje hauna hasara kurusha mawe kwenye glass house. ila ikuwa mmiliki wa glass house lazma presha iwe juu.
We acha tu
Msanii,
Presha itapanda..presha itashuka....ila cha msingi angalia usitende usichotaka kutendewa tu.
 
MUME AVIMBISHWA TUMBO


image001.jpg


Mtu huyo ambaye ni mkazi wa Tabata darajani, Wilaya ya Ilala jijini Dar es Salaam aliyefahamika kwa jina la Ally Gulam, inadaiwa alivimbishwa tumbo kwa dawa maalum baada ya kutembea na mke wa mtu hadi kumpa mimba.
Tukio hilo la aina yake lililothibitishwa na mama mzazi na dada wa mgonjwa huyo, limetokea hivi karibuni na inasemekana kuwa mwanaume aliyefanya mambo hayo ametoweka na mkewe na hawajulikani walipo.

Akibainisha tukio hilo kwa mwandishi wetu wiki iliyopita, Bi. Chausiku Gulam ambaye ni dada wa Bw. Ally alisema kuwa mdogo wake huyo kwa sasa ana mwezi mmoja tangu akumbwe na mkasa huo ambao umemsababishia tumbo kuwa kubwa mithili ya mwanamke mwenye mimba.

Aidha, Bi. Chausiku alisema kuwa mdogo wake huyo amehangaika naye sehemu mbalimbali kwa matibabu lakini hali yake inazidi kudhoofu na hivi sasa hawezi kuzungumza kutokana na maumivu yanayompata.

“Mdogo wangu Ally mwanzoni alipoanza kukumbwa na tatizo hilo la tumbo kuwa kubwa tulimkimbiza katika Hospitali iliyopo Buguruni kwa Mnyamani kuangalia anasumbuliwa na nini ili apatiwe matibabu lakini Daktari baada ya kumfanyia uchunguzi alitueleza kuwa hajaona kitu chochote tumboni kinachomsumbua,”alisema Bi. Chausiku.

Aliendelea kusema kuwa baada ya kuona hali hiyo inaendelea kuwa mbaya, baadae walimchukua mgonjwa wao hadi kwa mganga wa kienyeji ambaye aliwaeleza kuwa, amefanyiwa dawa na mwenye mke ambaye Bw. Ally alimpa mimba.
Hata hivyo, mganga huyo alisema ni rahisi Bw. Ally kupona endapo atamtafuta mwanaume aliyemfanyia dawa hiyo na ampigie magoti ili amnusuru kutokana na matatizo hayo.

Huku akizungumza kwa masikitiko makubwa, Bi.Chausiku alisema kuwa walimchukua mgonjwa na kumpeleka mwingine ambaye pia alisema hawezi kumtibu bali atafutwe mwanaume aliyemfanyia kitendo hicho ndipo waliamua kumrudisha nyumbani.

Dada huyo alikiri kuwa mdogo wake alikuwa na uhusiano na mke wa mtu kwa muda mrefu hadi kumpa mimba lakini cha ajabu ni kuwa siku chache baada ya mdogo wake kuanza kuumwa mume na mke huyo walitoweka na hawajulikani walipo.

Bi. Chausiku alisema kutokana na ugonjwa unaomsumbua, hivi sasa mdogo wake hana hamu ya kula badala yake anakunywa uji tu ambao pia amekuwa akiutapika.

Kutokana na hali hiyo inayotishia maisha ya ndugu yake, wamemuomba mwaume aliyemfanyia dawa ajitokeze ili aombwe msamaha.

“Hali ya ndugu yangu ni mbaya, anamuomba mwanaume aliyemfanyia dawa ajitokeze ili amuombe msamaha,” alisema Chausiku.

Aidha, mama mzazi wa Ally, alipohojiwa na mwandishi wetu juu ya ugonjwa wa mwanae, alishindwa kusema chochote kufuatia kukabiliwa na tatatizo la kutosikia vizuri.
 
Wana Jamii,

Hii ni kali kuliko

Faida unapata kitambi bila kunywa mabiabia ovyo ovyo!

Ni hatari!

Mpelekeni Muhimbili, wengine wanapelekwa south afrika!
 
Wana Jamii,

Hii ni kali kuliko

Faida unapata kitambi bila kunywa mabiabia ovyo ovyo!

Ni hatari!

Mpelekeni Muhimbili, wengine wanapelekwa south afrika!

...faida? ha ha... unacheza wewe. Huyo mwanaume asubiri tu miezi tisa ajifungue.
 
"...Ni hatari!"

Siajona pale panaposema amepelekwa hospitali ya rufaa! Yaani Muhimbili.

...akaanze kliniki au? eti wanasema hawaoni kitu tumboni,...mwezi mmoja mimba bado changa sana, wasubirie mwezi wa tano (kwenye ultrasound) wataona kitoto tumboni!
 
...akaanze kliniki au? eti wanasema hawaoni kitu tumboni,...mwezi mmoja mimba bado changa sana, wasubirie mwezi wa tano (kwenye ultrasound) wataona kitoto tumboni!
Unataka kutuambia kuwa ujauzito umeamishiwa kwake!?
 
Yep, nimeipenda hiyo..

Manake kama jamaa alijua kuwa yule ni mke wa mtu kwanini alikuwa anafanya naye ufirauni?

Pia kama hata huyo dada mtu amekiri kuwa jamaa alikuwa na tabia hiyo kwanini hawakumkanya mapema..

Binafsi sioni sababu ya kumuoneea huruma mtu kama huyu manake amejitakia mwenyewe na mitamaa yake ya kijinga kwa wake za watu, cha muhimu avumilie miezi tisa ikitimia ajifungue mtoto wake na yeye aitwe mama...
 
Kuna story sijui Kigoma jamaa alipanda mke wa jamaa akaonywa hakusikia...alikuwa akikojoa dagaaa....sijui kama ni kweli! Binafsi sitaki wala kutamani mke wa mtu...
 
Kuna story sijui Kigoma jamaa alipanda mke wa jamaa akaonywa hakusikia...alikuwa akikojoa dagaaa....sijui kama ni kweli! Binafsi sitaki wala kutamani mke wa mtu...

...yap! unachagua tu namna gani umtie mdoezi wako adabu.

kuna jamaa yeye akitaka kukojoa dondola hilo linatoka 'tunduni', mkojo ukianza kuishia na kabla jamaa haujarudisha 'mkwaju' -dondola linarudi tena (ndani) kwa kasi ya ajabu!

au, ukianza kukojoa tu unyuzi nao unatoka, ukimaliza mkojo inabidi uukate unyuzi ulipoishia...
 
Back
Top Bottom