Mke wa mtu.

hehehe mkuu mke wa mtu kweli mtamu na ninakubaliana na wewe kabisaaa ni mtamu haswa unajua hii inatokana na nini kwa sababu mnafanya penzi kwa kificho na kwa wizi na siku zote penzi la kificho yaani la kuibia iwa linakuwa taamu mpaka kupitiliza. Alafu huyo mke wa mtu kuna vitu unakuwa umevutiwa navyo labda mke wako hana alafu isitoshe wake za watu walio wengi maswala ya kujiexpress unajisevia tu tena bila bughudha kama kweli kakupenda yaani kakufia....hawa bada unamega kaskazini na kusi.
aarrrg mkuu huoni kinyaa? imagine unazamia na jamaa kaacha manii zake muda si mrefu ndio muda unajikuta mdomo unaongezeka kumbe tiyari zimejaa....
...siku hizi ukikamatwa unashikiswa ukuta na mtu kama 6 hivi na mapicha kibao unachukuliwa
 
yeah...ni mtamu kwa kweli......hasa hawa ambao tunawabenjua huku maofisini..very exciting!!!!!.....tatizo wengine tulikuwa nao mashuleni sasa tumekutana nao makazini kila mtu na ndoa yake....sasa mmhmm hakuna jinsi.....
 
yeah...ni watamu kwa kweli......hasa hawa ambao tunawabenjua huku maofisini..very exciting!!!!!.....tatizo wengine tulikuwa nao mashuleni sasa tumekutana nao makazini kila mtu na ndoa yake....sasa mmhmm hakuna jinsi.....
 
kaka ni watamu kwa ajili hawana gharama tu, lakini pande zetu huku mjomba watu wanakutia gonjwa la wasiwasi lazima ufe tu,kila ukitaka kukojoa inzi(mbun'go) anatoka kwenye kitundu mkojo ukikatika anarudi kabla ujavaa nguo,lazima uende mazee,kuweni makini msipende cheza na vitu ambavyo wahusika wamevifanya kua katika uhai wao,huku watu wananyooshwa,halafu saa nyingine kutembea na mke wa mtu ni uvivu au kukwepa majukumu ya kumfanya wako awe zaidi ya huyo unayemtamani,au tafuta ambaye yuko single umtengeneze unavyotaka wewe,
 
aarrrg mkuu huoni kinyaa? imagine unazamia na jamaa kaacha manii zake muda si mrefu ndio muda unajikuta mdomo unaongezeka kumbe tiyari zimejaa....
...siku hizi ukikamatwa unashikiswa ukuta na mtu kama 6 hivi na mapicha kibao unachukuliwa

hii mkuu ipo wazi sana
 
Mmh! si kweli...kinachoonekana hapa ni jinsi ya kumpata mke wa mtu ni kwa nadra na ukaonja ile tofauti si hamkutani kila siku? tofauti na unavyokutana na mkeo labda ni kila siku umemzoea.

Acheni mada hizi, itageuka "jamani eti mme wa mtu mtamu?"
 
Hi..
Tokea zamani kuna msemo kwamba mke wa mtu ni mtamu...Je kuna ukweli katika Jambo hilo? Kama ni kweli, ni kwa vipi anatofautiana na mamsap?

Utamu upi huoo unaoukosa kwa mkeoo?? wewe ni mlafi, mpendezeshe mkeo ili awe mtamu. We unataka walivyoviunda wenzako.

Hili jamaa linaoneka zembe kweli hata katika mchezo.

Nyumba ya jirani ni nzuri ujue ameigharamia, tengeneza yako naweee!!! Haya mambo ya used au second hand yameharibu watu kweli kweli. Yaani kwa hilo siyo second hand tena sijui itakuwa ....hand gani!

Pole sana.
 
mkuu siku hizi mjini ndio fashion wake za watu ni kama wamefungwa mashine huko chini zinawatekenya.......kuna mshikaji alikuwa kapanga kuoa kama wiki 2 baadae akawa bar si akaona mke wa rafiki yake anajivinjari na msela tena wamekaa pembezoni mamaa anashika mike ya msela kila wakati......jamaa alihairisha ndoa mpaka leo.....

vipi wewe ulipopata hizo habari still mpango wako wa "Goal: 2010 Marriage" upo? :D
 
Mapenzi ya wizi hayana raha wala radha na hayana msisimko wowote. Ila wenye vichwa kama vya kuku huwa wanapenda kwani wao mapenzi hayana thamani bali kujiridhisha tuu kama kuku wafanyavyo.

Mapenzi ya kufanyia maofisini au kwenye nyumba za wageni huku ukijua kuwa ukionekana umekwisha, raha yake iko wapi? Ile hali ya wasi wasi inayozunguka mapenzi ya wizi ni karaha tosha ya kuwa-put off watu wengi. Hakuna enjoyment yoyote isipokuwa ni zimamoto huku kila mmoja akitamani vurugu mechi iishe mapema aondoke zake haraka asionekane.

Ukiona mtu anashabikia eti mapenzi ya wizi mazuri, there is a problem. Hajui mapenzi na yeye anashida furani huko nyumbani kwake. Anakwenda kwenye mapenzi ya nje ili kujiridhisha kuwa na yeye wamo, hasa mme ambaye nyumbani mambo yanamshinda. Au ni mwanamke kicheche anayetaka kuchuna tuuu, anajua akimaliza ameshashindia cheo au mshiko!
 
MODS muwe mnachuja thread zinazotua hapa. Nyingine haziisaidii jamii hata chembe na hii ni mojawapo..sorry!

Mbona mnaleta mambo ya BSS, hakuna hoja isiyokuwa na msingi inategemea tu umeielewa, by the way jamii ni nani? kama sio pamoja na aliyeuliza?
Acha watu wamsaidie huwezijua ni yapi yanamsibu mdau au wangapi wapo katika mtego huo.
 
Ni kweli mtamu kwa sababu hakuna committment, mnamangana kila mmoja anaenda kivyake!
 
mke wa mtu ndo mwenyewe kaka!
uzuri wa mke wa mtu YUPO FREE SANA KWENYE HUDUMA TAKATIFU!tofauti na kidem chochote cha kitaa.mke wa mtu hakusumbui kuvua nguo wala KUJIACHIA MKIWA OLD-TRAFFORD!
yaani SHWAAAAAAAAAAAAAAAAAARI HAMNA SHARI.utakula vitu kwa nafasi bila migogoro ukimaliza huyooooo?tena anaweza akakutoa na mikwanja
 
Mbona mnaleta mambo ya BSS, hakuna hoja isiyokuwa na msingi inategemea tu umeielewa, by the way jamii ni nani? kama sio pamoja na aliyeuliza?
Acha watu wamsaidie huwezijua ni yapi yanamsibu mdau au wangapi wapo katika mtego huo.

Sielewi unachotetea ndugu.
 
Back
Top Bottom