Mke wa mtu.

Msanilo umesema ...Binafsi sitaki wala kutamani mke wa mtu...
Masanilo,Omba Mungu tu. Ukimpata yote hayo hutoyasema. Na sijui kwanini watu wote wanafikiri huyu bwana ndie kamatani huyo mama,vipi kama mama ndie alimtani bwana mwenye kitambi-ahaaaaaaaaaha.
 
Nasikia Tanga wameenda mbali zaidi ukitembea na mke wa mtu wanakushusha busha.
Kuna mabusha ya kuanzia buku na kuendelea.
Personally kutembea na mke wa mtu ni sawa na kumzarau mwenye mke kuwa hawezi wewe ndio kidume.
Mbona mafreelancer wako wengi jamani kwani mpaka wake za watu,ebu tuwe wastaarabu kidogo katika ilo please!
 
Looo!! hii inatisha sana nampa pole ALLY GULAM najua wanawake ni mama zetu lakini nikiungo cha pekee hakina mfano wake.namsikitikia pengine mke wa mtu ndio muanzilishi mtihani huo .au walipanga na mume wake kwani?.kama walikua majirani huwezi jua nauswahilini kuna majaribu mengi tumuombee mungu amsamehe pia amponeshe haraka ili atubie madhambi yake
 
Si tabia njema kwa pande zote ingekuwa mimi ninauwezo wa kuwavimbisha TUMBO watu wa aina hiyo ningemvimbisha na huyo mwanamke.
 
Hii iwe fundisho kwa wezi wa wake za watu, lakini vip kuhusu wezi wa maume za watuuuuuuuuuuu?? wanajamii nisaidieni!
 
WAPENZI wawili jana walijikuta wakiwa kwenye wakati mgumu baada ya kumaliza shughuli zao za kimapenzi [kujamiiana] kushindwa kuachiana baada mwana baba huyo kushindwa kutoa nyeti zake kutoka kwenye nyeti za mpenzi wake.

Tukio hilo la ajabu na la mwaka lilitokea jana majira ya saa 12:45 jioni huko maeneo Tandale katika nyumba ya kulala wageni iitwayo Hans Gest.

Tukio hilo la kusisimua ambalo watu wengi walioshuhudia tukio hilo waliliita ni la mwaka kwa kuwa watu wengi waliouwa wakisikia lakini jana walijionea wenyewe kwa macho watu hao wanaita [live].

Chanzo cha kuaminika cha habari hii kilisema kuwa watu hao waliingia kwenye nyumba hiyo wageni majira ya saa 10 jioni na walichukua chumba kimoja kwa ajili ya kupumzika kwa ajili ya wikiendi.

Inasemekana kuwa baada ya wapenzi hao wawili kutimiza azma yao iliyowapeleka hapo walijikuta wameshindwa kuachiana baada ya baba huyo kushindwa kutoa uume wake kutoka kwenye uke wa mpenzi wake na kusababisha aombe msaada kwa wahudumu ili waje kumsaidia.

Inasemekana baada ya kujitahidi kila aina ya ujanja wake alishindwa kujinasua kwa mwanamke huyo na kuamua kuchukua umamuzi wa kupiga kelele ili wahudumu waingie waje kumnasua.

Wahudumu walisikia mayowe yakitokea katika chumba hicho na kukimbilia na kukuta mlango umefungwa, wapenzi hao walipotakiwa kuufungua mlango huo kwa ndani walishindwa mana hakuna aliyeweza kuinuka mahali hapo na kwenda kufungua mlango huo mana walikuwa wameng’anga’niana.

Wahudumu hao walichofanya ni kuvunja mlango huo na kukuta baba huyo akishindwa kujinasua kutoka kwa mwanamke huyo.

Wahudumu hao wakijikuta wamepatwa na kigugumizi cha ghafla na kushindwa la kufanya.

Kadri muda ulivyozidi kwenda hali ilizidi kuwa mbaya kwa baba huyo ilibidi wahudumu hao watoe taarifa kituo cha polisi ili kuja kuwachukua watu hao na kuwakimbiza hospitali.

Pindi polisi walipofika mahali hapo walijaribu kuwauliza wapenzi hao ilikuwaje na kujielezea na mwanamke huyo alipojaribu kuwaeleza alisema yeye ni mke wa mtu na inawezekana atakuwa ametegewa na mume wake akitembea nje ya ndoa ajue.

Alisema amehisi hivyo baada kukumbuka kuwa siku moja mumewe huyo aliwahi kumtamkia kuwa asimuige yeye na kutembea na mwanaume mwingine nje mana akifanya hivyo yeye atajua tu, alishindwa kumuelewa na kujua ni mkwara tu wa wanaume walio wengi.

Alisema labda inawezekena mumewe huyo atakuwa amemfanyia madawa ya kiswahili akikutana na mwanaume ashindwe kutoka ili amkomoe ingawa na yeye anafanya vitendo hivyo kwa kuwa wanawake wa nje.

Askari waliofika katika tukio hilo walimuamuaru dada huyo kutoa namba ya simu ya mumuwe na kuonekana kutokuwa tayari lakini aliamua kutoa ili aweze kujinasua na dhahama hilo.

Askari walimpigia mume wa dada huyo na kumuuliza mahali alipo alisema yuko nyumbani, walipomuuliza mkewe yupo alijibu kuwa mke wake hayupo amemuaga amekwenda kwenye sherehe za akina mama yaani “Kitchen Party” atarudi baadae.

Polisi walimwambia mke wako anaumwa yuko hapa na kumuelekeza mahali hapo na mwanaume huyo kufika na kukuta umati wa watu wakiwa wamezunguka eneo hlo bila kujua kilichotokea, na kuingizwa kwenye chumba hicho na kukuta mke wake akiwa kitandani na mwanaume mwingine akiwa wamegandiana.

Alipoulizwa ni kwa nini ilitokea hivyo hakuwa na jibu na kudai kuwa amedhalilishwa na mke wake huyo na kudai yeye hajui ni kwa nini na kusema kuwa kwa kuwa ameshaona mwenyewe kwa macho yake alitaka apewe ruhusa aende nyumbani baada ya muda wataweza kuwa huru.

Inasemekana baada ya masaa matatu watu hao waliweza kujinusuru na kuachiana na kila mmoja akiwa na aibu tele ya kile kilichowakuta.

Baadae majira ya saa 5 ya usiku mtu wa karibu na mwanamke huyo alisema kuwa watu hao waliweza kuachiana na tukio hilo la ajabu na la mwaka lilitokea jana majira ya saa 12:45 jioni huko maeneo Tandale katika nyumba ya kulala wageni iitwayo Hans Gest.

 
...Baadae majira ya saa 5 ya usiku mtu wa karibu na mwanamke huyo alisema kuwa watu hao waliweza kuachiana na tukio hilo la ajabu na la mwaka lilitokea jana majira ya saa 12:45 jioni huko maeneo Tandale katika nyumba ya kulala wageni iitwayo Hans Gest.

...saaafi sana, na wale wasioamini wala kusikia muendelee tu, ila mkumbuke baada ya siku ya 39, siku ya 40 tunaadhimisha sikukuu!...
 
Duh, hii ni cooked story...uchawi.....ushirikina.....tego.....ama nini?
 
hehehehe hii sumaku lakini niliwahi waambia hata Njombe imewahi tokea watu mkabisha sijui mwenye mali anaweka software ndani?
 
Ha ha ha haa. Hii ni kali sana. Ushauri wangu kwa wakuu wote ni huu: Tuachane na wake za watu. Tena afadhali hiyo ya kugandana, waweza kufumaniwa na kupoteza maisha bure. Mbona wanawake wasioolewa ni wengi sana!
 
Nimeshuhudia kwa macho yangu mtu akigadishwa pale Lutheran Hostel Moshi pale kale na stand ya mabasi. Nyie acha tu anayebisha aendelee. Hii ilikuwa mwaka 1987.
 
jamani nawashauri mnaofuata vya wenyewe mtumie zana pengine mtego hautanasa.hahahaha.ukinaswa usinilaumu.
 
Hi..
Tokea zamani kuna msemo kwamba mke wa mtu ni mtamu...Je kuna ukweli katika Jambo hilo? Kama ni kweli, ni kwa vipi anatofautiana na mamsap?

Inaonekana kuwa kuna watu wanakata kufanya vitu vyao halafu wanakuja hapa JF kutest watu wanasemaje. Inawezekana kabisa bwana Mwalyambi umemtamani mke wa jirani yako na unakuja hapa kutafuta mawazo ya watu. Nakushauri ndugu yangu mwache huyo mke wa jirani yako. Ni dhambi kwa MUNGU na itakuharibia uhusiano wako mzuri na huyo jirani yako (mwenye mke). Na kumbuka kipimo utakachowapimia wengine ndicho utakachopimiwa na wewe pia (yaani ukifanya hivyo hautapita muda mkeo naye atafanyiwa hivyo hivyo).
 
Ndugu yangu..wanawake wapo wengi sana, achana kabisa suala la kuzungumzia mke wa mtu..awe mtamu asiwe mtamu..haijalishi bado ni mke wa mtu..madhara yake ni makubwa sana na mifano mbalimbali inatolewa humu JF na kwingineko..watu wanakatwa nyeti watu wananatana na kutia aibu..kiufupi si suala la kuliongelea na hata kufikiria kumtongoza mke wa mtu..kama ulikosea ukaoa mwanamke unadhani si mzuri kwako basi tafuta wanawake au wadada wasio na waume na endele kujivinjari kwa nafasi yako..but mke wa mtu forget about it..!!!!
 
Back
Top Bottom