Mke wa mtu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mke wa mtu.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by PakaJimmy, May 11, 2009.

 1. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Hi..
  Tokea zamani kuna msemo kwamba mke wa mtu ni mtamu...Je kuna ukweli katika Jambo hilo? Kama ni kweli, ni kwa vipi anatofautiana na mamsap?
   
 2. M

  MzalendoHalisi JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2009
  Joined: Jun 24, 2007
  Messages: 3,869
  Likes Received: 116
  Trophy Points: 160
  Haugopi kupigwa au kukatwa panga ndugu yangu??
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2009
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  MODS muwe mnachuja thread zinazotua hapa. Nyingine haziisaidii jamii hata chembe na hii ni mojawapo..sorry!
   
 4. K

  Kakalende JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2009
  Joined: Dec 1, 2006
  Messages: 3,259
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 135
  Utauwawa wewe!
   
 5. Madam Koku

  Madam Koku Senior Member

  #5
  May 11, 2009
  Joined: Feb 16, 2009
  Messages: 113
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Anaeuliza hili swali Sasa ukishapata jibu, then what? some questionsa are neither ethicaly nor logicaly right.
   
 6. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #6
  May 11, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  Huyo mke wa mtu ukimla naye lazima atakuwa anataka kuliwa.....
   
 7. Yo Yo

  Yo Yo JF-Expert Member

  #7
  May 11, 2009
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 11,247
  Likes Received: 73
  Trophy Points: 0
  mkuu siku hizi mjini ndio fashion wake za watu ni kama wamefungwa mashine huko chini zinawatekenya.......kuna mshikaji alikuwa kapanga kuoa kama wiki 2 baadae akawa bar si akaona mke wa rafiki yake anajivinjari na msela tena wamekaa pembezoni mamaa anashika mike ya msela kila wakati......jamaa alihairisha ndoa mpaka leo.....
   
 8. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #8
  May 11, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...Mtindiowaubongo huenda nimemuelewa vingine mwalyambi.

  Kwa mujibu wa swali lake, yumo katika ndoa. Lakini kun jambo linalomsumbua ndio maana kaliuliza hapa, kwamba iwapo mke wa mtu ni mtamu, iweje atofautiane na (utamu) wa mkewe?

  mwalyambi, kwa kifupi naomba nikujibu;

  ...ridhika na 'huo' wa Mkeo, usijaribu kutafuta 'tofauti'...kuna UKIMWI!
   
 9. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #9
  May 11, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,670
  Likes Received: 35,418
  Trophy Points: 280
  wala simlaumu maana hata mimi nigefanya hivyo hivyo.....
   
 10. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #10
  May 11, 2009
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  No comment
   
 11. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #11
  May 11, 2009
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Hii thread sijaona mantiki yake....kwani K zinatofauti ?
   
 12. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #12
  May 12, 2009
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  ...labda tofauti yake ni 'Caps' K, na 'lower-case' k...
   
 13. Pretty

  Pretty JF-Expert Member

  #13
  May 12, 2009
  Joined: Mar 19, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 135
  Mke wa mtu hafai, kwanza alichonacho mkeo na huyo mke wa mtu naye si hicho hicho?
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  May 12, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  hehehe mkuu mke wa mtu kweli mtamu na ninakubaliana na wewe kabisaaa ni mtamu haswa unajua hii inatokana na nini kwa sababu mnafanya penzi kwa kificho na kwa wizi na siku zote penzi la kificho yaani la kuibia iwa linakuwa taamu mpaka kupitiliza. Alafu huyo mke wa mtu kuna vitu unakuwa umevutiwa navyo labda mke wako hana alafu isitoshe wake za watu walio wengi maswala ya kujiexpress unajisevia tu tena bila bughudha kama kweli kakupenda yaani kakufia....hawa bada unamega kaskazini na kusi.
   
 15. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #15
  May 12, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Wakuu tahadhali mimi mkiniibia shemeji yenu nikikumata utajuuuuuuuuta kunifahamu....inauuma sana unakuta mshikaji mwenyewe yupo yupo tu alafu wadau wanakupa data kamshikaji kanamega wife wako.
   
 16. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #16
  May 12, 2009
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,526
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Ukitaka kujua alivyo mtamu jaribu kujua mkeo kaliwa na jamaa.
   
 17. WomanOfSubstance

  WomanOfSubstance JF-Expert Member

  #17
  May 12, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 5,465
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 0
  Fidel,
  Hebu jisome hapo juu halafu ulinganishe na ulichosema hapa chini in bold!
  Kumbuka - Mwosha huoshwa!
  Ukichukua vya watu na vyako vitachukuliwa .

  Na wewe unapomega vya watu pia unakuwa " kamshikaji" au unadhani wewe thamani yako ni kubwa kuliko ya hao wengine?Ikiwa thamani yako ni kubwa kiivo, basi kaa mbali na vya wenzio.
   
 18. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #18
  May 12, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkubwa
  Ingawa Pepsi na Mirinda zote ni soda, lakini flavour zake ni TOFAUTI.
   
 19. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #19
  May 12, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  tofauti
   
 20. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #20
  May 12, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 145
  Nashukuru WOS kwa wosia ndo maana mi nikatoa angalizo ni heri nisijue si unajua mkuki kwa nguruwe.......inauuma sana kama wewe ukijua mzee ana mega house girl jilinganishe thamani yako na huyo binti umemtoa kijijini anakuja anakugeuka.
   
Loading...