Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

Kama unapigiwa mke na dogo ambae hana miaka ishirini wewe ni boya sana na unatakiwa kujitafakari mno uanaume wako mkuu.

= Najua ni wewe
Ni jirani yangu mkuu!!!
 
No nyingi sana huwa nazisema my son
Mimi siyo "son" ama "juvenal", mimi ni kimbabu ujue!

Ninayoongea nina uzoefu nayo.

Ninazijua mbinu za approach halali na haramu, hasa kuchezea saikolojia za mlengwa.

Hivi mtu akikutokea halafu ukatumia hiyo "no" yako kirahisi rahisi halafu yeye akakwambia " kama haunitaki tutaona", je, utaendelea na hamsini zako bila kuwa na mawazo tele kichwani ukibashiri lolote baya linaloweza kukupata?

Nikwambie sasa, uongo, ulaghai wa kuchumbia ama kuoa, vitisho, hongo kubwa, fitina, makuwadi masalia, mahubiri ya madhehebu ya dini nk nk yavutiavyo hisia za wanawake!

Hivyo ni vihunzi vichache nimekupa ambavyo kuvichomoa mpaka "ujifunge vikaze" na "no" pekee bila mbinu za kijanja za "kumtolea nje" mtu haiwezi kukusaidia.
 
Sasa kama msela nondo alifanikiwa kumchoma kisu jamaa,Huyo jamaa alipata wapi nguvu za kushika kiti na kumpiga nacho msela nondo??
 
Adhabu kubwa ya kumpa mwanaume ambaye anatoka na mkeo ni kumuacha amuoe huyo mwanamke wako. Atajuta maana raha ya penzi la wizi ni pale mkiwa hamjajulikana ila mkishajulikana inakuwa ni kero na excitement inapungua.

Wataaanza kuonana wa kawaida na hatimae wataanza kuonana kuwa ni tatizo kila mtu atamuona mwenzake tatizo maana excitement inakufa na kuzoeana na kuonana kila siku hakuna kitakachoendelea hapo zaidi ya kushuka kwa hisia za mahaba na kuonana wa kawaida then majuto halafu kuchukiana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui hua ni upuuzi gani watu wanakua nao yani mbususu hiyo hiyo mme wake anaimiminia wagiriki usiku kucha then asubuhi na wewe unaenda kutumbukiza mjegeje wako humo humo[emoji21][emoji21][emoji21][emoji21]
 
Huyu mwenyemke ni mzaifu ushagundua kwamba mkewako anakusaliti unabaki nae wanini kashaanza kula mihogo karoti haziwezi piga chini tafuta wa saizi yako mungu ana makusudi ya pekeake kuwaleta wengi tufurahie radha tofauti tofauti mjanja harushi hata ngumi
 
Usikute msela nondo ndo ww upo bugando unachati ukiwa mahututi
 
Ah mie mbona wala sina shida ya kuokoka. Dhamira yangu ilishanishuhudia kuwa mie ni wa motoni na motoni nitaungua. Am ok with that na wala sitataka kwenda tofauti na huko
Nakubali sana mtu wangu, we ushaamua kuwa baridi hutaki kuwa mnafki mambo ya vuguvugu[emoji16][emoji16]
 
Mwanaume Wa Kweli unaanzaje Kula Mke Wa mtu..?
Wakati Wanawake Kibao wanatafuta Waume..?
Wanawake Wamejazana huko kwa Manabii wapo kibao waombewe Waolewe....Wewe unaenda kula mke wa Mtu.?
Kwanza kuna mmoja hapo juu amecomment ni Kinyaa..kweli hiyo tabia ni kinyaa.
Nakazia ✍️✍️✍️
Unakuwa na manzi ambaye huna uhuru wowote naye.. full kujificha ficha kama digi digi..
Na mumewe akigundua, kichwa chako kinakuwa rehani🙄
Mzinzi wa mke wa mtu siyo wa kuhurumia
 
Back
Top Bottom