Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya),kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "Msela nondo"katika Hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "Msela nondo"akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke (kosa Lingine kubwa alilofanya)

Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "Msela nondo"kichwani, Msela nondo akazima

Uyu mwanamke [emoji28][emoji119][emoji119]

Asa kwanini kampiga bae wake kichwani [emoji780][emoji3480]
Ni suala la uandishi tu,mkuu
 
Soma vizuri Kaka,Ni Mwenyemke siyo mwanamke
 
Kwa nini amemuumiza hivyo?Inasikitisha.Hakuwa na bastola huyo mwenye mke?Angemtandika risasi moja tu ya kichwa ili asimuumize sana.
 
Bado sijaelewa mantiki ya matumizi ya neno Msela nondo.

Au tatizo itakua umri.
Masela nondo ...... Wanapiga Ile mnaita "roughsex" ....anakunjwa kuunjwa tu. Inamishwa vvile ... Wakati mumeo anapiga kibaba Mchungaji.... lazima unikumbuke msela.
 
Ya haki vile Tena nimetoka kumchakAta mke wa mtu kimoja kbla ajaenda Kaz kwake Sasa HV kanipitia kunisalimia aisee sirudiii tena imekuwa to much smtaki Tena nisje mwagiwa tindikali mm hpn kwa kweli

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
😂😂Za mwiz sikuhiz Sio 40 Tena kutokana na matatizo ya tozo zimekuwa 20😂😂😂😂
 
Alitakiwa amjeruhi na mke wake,kutomfanya mwanamke chochote,ni dharau kwa wanawake,ilitakiwa mtaani hapo,wamama na wadada waandamane kwa kudharaulika huko.Kitendo cha kudili na mwanaume tu,ni cha kuonyesha kua mwanamke hajitambui,ni mjinga,mpumbavu n.k.
Japo kidogo
 
Mtu unawezaje kula mke wa mtu, mbona kinyaa sana aisee 🥸🥸. Ame kweli kuna watu wana akili za kutumia vibaya na wengine wana akili za kutumia vizuri
Hatar kwa kweli mm huyu ninae mtumiaga sijajuwa amekosa nn huko kwa bwan ake ingawa amesema anapita mkp miezi miwili haguzwi na akiguzwa kimoja kimetoka akijaribu kumfanyiaa bwana ake manyonyo. Jamaa ake anasema umejifunza umalaya eeh jamaa hataki hata kunyonywa hat kuwa romantic jamaa hataki full ukauzu tu na jamaa anamumbia mkewe kuwa umenepa Sana had unakosa mvuto Mara punguza unene dah Sasa ukimcheki mkeo Ni Ana kalio zuri tu na mm nadata nalo swafi ..ila ukweli roho inaniuma kwa jins ninavyopewa tunda la watu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Bado sijaelewa mantiki ya matumizi ya neno Msela nondo.

Au tatizo itakua umri.
Kwa huku kwetu dhana ya Msela nondo inashabihiana na watu wooote ambao hutafuta nafasi ya Wewe kutokuwepo na kuitumia nafasi hiyo kumpata mkeo
 
Sasa kama hafikishwi kunako unataka afanyeje?!
Tenganeni, kwani sikuizi sihamna shida. Unataka kula vya bure huku ukilalamika hufikishwi[emoji23][emoji23][emoji23]. Sasa kama hakufikishi siukinai kila kitu tujue kwamba kweli unauchungu, mtaka yote kwa pupa hukosa yote.
 
Hatar kwa kweli mm huyu ninae mtumiaga sijajuwa amekosa nn huko kwa bwan ake ingawa amesema anapita mkp miezi miwili haguzwi na akiguzwa kimoja kimetoka akijaribu kumfanyiaa bwana ake manyonyo. Jamaa ake anasema umejifunza umalaya eeh jamaa hataki hata kunyonywa hat kuwa romantic jamaa hataki full ukauzu tu na jamaa anamumbia mkewe kuwa umenepa Sana had unakosa mvuto Mara punguza unene dah Sasa ukimcheki mkeo Ni Ana kalio zuri tu na mm nadata nalo swafi ..ila ukweli roho inaniuma kwa jins ninavyopewa tunda la watu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Utashikwaa siku moja 😁😁
 
Ya haki vile Tena nimetoka kumchakAta mke wa mtu kimoja kbla ajaenda Kaz kwake Sasa HV kanipitia kunisalimia aisee sirudiii tena imekuwa to much smtaki Tena nisje mwagiwa tindikali mm hpn kwa kweli

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Acha kabisa ndugu yangu,Hakuna mwanamme dhaifu mbele ya mkewe
 
Back
Top Bottom