Continental Ground
JF-Expert Member
- Jun 16, 2016
- 1,943
- 4,025
Nikikukuta na mke wangu lazima Nile utumbo
Hakuna mtu anayejutambua anayetumia lugha ya wavuta bangi.Ni dhana tu Mkuu,umri wangu mkubwa pengine hata kuliko ww,sema tu Hilo jina linatumika Sana na watu wa Rika zoooote
Aisee ukaamua kutumia ID nyingine kujaza uchafu hapa JF??Masela nondo ...... Wanapiga mbupu Ile mnaita "roughsex" ....anakunjwa kuunjwa tu. Inamishwa vvile ... Wakati mumeo anapiga kibaba Mchungaji.... lazima unikumbuke msela.
Mkuuu,lugha unayotumia Ni Kali mnooooo,inaonekana Ni miongoni mwa wale wazee ambao ujanani walitumia mda wao kucheza mziki na warembo wakati wengine wakishika viwanja Dar!!! Jf Ni ya maadili matusi na kejeli hapa mwiko,stress zako ziishie kwakoHakuna mtu anayejutambua anayetumia lugha ya wavuta bangi.
Kwahiyo hapo mlipo mnashinda vijiweni kupeana mbinu za kutongoza wake za watu??
Fanya kazi kijana ona kilichomkuta mwenzako.
Mda si mrefu unafuatia wewe.
Acha mara mojaHuu Uzi ufutwe jmn sijisiki POA kbsa kwa habar hi lolote namm naweza kunipa japo sijapewa onyo
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
hao vijana hata uwaambie vipi huwa hawaelewi, na huwa wanajifanya wajanja sana. though mwanamke naye ni mbaya sana, ataishi na icho kidonda kwamba alisababisha mamdhara kwa kijana huyo kwasababu ya umalaya wake. Mungu amsaidie huyo mtoto.Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na Jana alifanyiwa operation ya pili,inauma na inaumiza Sana kijana mdogo Sana Ambaye hata miaka 20 hajafikisha Jamani mke wa mtu sumu
Iko hivi,jamaaa alipopata taarifa ya kwamba "msela nondo" anatoka kimapenzi na mke wake alimtafuta na kumuonya na alimtamkia kabisa ya kwamba usipoacha siku nikikufumania ntakumaliza,"Msela nondo"alikataaa katakata
Siku ya siku ikafika,mida ya jioni jamaaa akamuaga mkewe ya kwamba anaenda kuangalia mifugo huko bondeni inakochungwa ambapo Kama kawaida ilitegemewa Angelala huko,hawakujua kuwa siku hiyo ilikuwa mtego
Mkewe bila hiyana akamtaarifu "Msela nondo"kuwa jamaa hatakuwepo usiku hivyo aje, Ni kweli "Msela nondo" akatinga na moja kwa moja wakaanza mchezo
Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya),kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "Msela nondo"katika Hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "Msela nondo"akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke (kosa Lingine kubwa alilofanya)
Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "Msela nondo"kichwani, Msela nondo akazima,Mwenye mke akaanza kutumia panga kumkata kata "Msela nondo"kila sehemu mwilini,hasa kichwani ambako alikata panga za kutosha,
Mpaka alipohisi ya kuwa amemumaliza kabisa,akambeba juu juu,na kumpeleka kwao"Bahati yake
Tumuombee Msela nondo apone Huenda akapata nafasi ya kujifunza,NARUDIA KUSEMA MKE WA MTU SUMU,INAUMA SANA TENA SANA,NAAMINI AKIPONA HATARUDIA ALICHOKIFANYA.
biologically, the more unapoongezeka umri, the more nguvu ya kufanya ngono inapungua. watu kuanzia miaka 45 and above, 50 huko, sayansi inasema hata usimamaji wa maumbile ni dhaifu kuliko wa vijana wa miaka ya 20s. kipimo chake wanasema ni mkojo wa kawaida, ukikojoa ukarusha mbaliiii izo ni enzi za ujana ndio urijani wenyewe, ukiona unalowesha suruali mkojo haufiki mbali ndio hivyo umeshaanza kuzeeka. worse enough, sijui kama kweli, inasemakana wanawake wakifika menopous (miaka 50 hadi 55 hapo) wanakuwa na hamu kupita maelezo wakati baba ndio imeshakuwa jioni. akienda kwa kakijana maombile yake yanasimama mno na anapata anachotafuta, ndio maana wamama wengi wanalea viserengeti boys.Masela nondo wanajua kukojoza ndio maana mke wa mtuu alikuwa anataka
Ah mie mbona wala sina shida ya kuokoka. Dhamira yangu ilishanishuhudia kuwa mie ni wa motoni na motoni nitaungua. Am ok with that na wala sitataka kwenda tofauti na hukobiologically, the more unapoongezeka umri, the more nguvu ya kufanya ngono inapungua. watu kuanzia miaka 45 and above, 50 huko, sayansi inasema hata usimamaji wa maumbile ni dhaifu kuliko wa vijana wa miaka ya 20s. kipimo chake wanasema ni mkojo wa kawaida, ukikojoa ukarusha mbaliiii izo ni enzi za ujana ndio urijani wenyewe, ukiona unalowesha suruali mkojo haufiki mbali ndio hivyo umeshaanza kuzeeka. worse enough, sijui kama kweli, inasemakana wanawake wakifika menopous (miaka 50 hadi 55 hapo) wanakuwa na hamu kupita maelezo wakati baba ndio imeshakuwa jioni. akienda kwa kakijana maombile yake yanasimama mno na anapata anachotafuta, ndio maana wamama wengi wanalea viserengeti boys.
wasichojua ni kwamba, hii miili tunayoringia ni mabua tu, ni takataka tu. ni Kweli Mungu ametubariki na miili hiii na tunapaswa kumshukuru na kuitunza, ila tujue ni udongo tu. leo nilitembelea hospitali ya Banjamin Mkapa, kuna jamaa anaumwa yupo icu. nimefika pale nikavua viatu nikaingia kumwangalia, nimekuta vitanda kadhaa vya watu pale kila mtu anahangaika kwa nafasi yake peke yake peke yake. miili yao haina msaada wowote, hawaongei, wanapumulia mashine. nikakumbuka kwamba hao pia wanatamani wangekuwa wazima ili waishi kwa kufuata mapenzi ya Mungu.
tunamshukuru Mungu ametuumba na miili yenye afya, binafsi namshukuru Mungu, ni rijani haswa though nipo kwenye early 40s. kuna wakati hadi waifu anaomba tuweke tu ratiba kwasababu akifanya mchezo naweza fululiza jumatatu hadi jumapili. hilo kwangu ni jambo la kumshukuru Mungu kwaababu najua wapo wanaoenda hadi kwa waganga wa kienyeji wapate nguvu za kiume lakini mimi Mungu amenipa bure. kwa umri huu bado nikiamka asubuhi kitu kipo juuuu kama nilivyokuwa kwenye 20s.
pamoja na hayo, tuishi tukijua kwamba pamojana utamu wa ngono ulivyo, Mungu hajatuumba ili tufanye uzinzi, bora ukose hata kitu kizuri sana lakini usimkosee Mungu. bora usifanye ngono hata miaka 10 au hata maisha yako yote kama ngono hiyo itakufanya uukose ufalme wa mbinguni.
Biblia inasema, kama jicho lako ndio huwa linakukosesha, likate litupe bora ubaki kipofu anayeingia mbinguni kuliko kuwa na mamcho yako mawili ukaingia motoni. unaweza kuwa na kitu fulani kizuri, chene faida, kinachokusaidia, unachofurahia n.k lakini kama hicho kitu kinafanya umkosee Mungu bora uachane nacho ili umpate Mungu kuliko kuingia motoni na icho unachokifurahia. simaanini kwasababu unafurahia ngono ung'ofoe viongo unavyofanyia ngoni, la hasha, ila bora uukose utamu wa ngono, bora ukose pesa, bora ukose mwanamke, bora ukose mtoto, bora ukose chochote kila kama kukipata icho kitu kutakutenga na Mungu wako.
Mungu anatupenda sana, anatujali, anatulinda, ameshikilia pumzi zetu, na hata unapoenda kuzini huwa ni yeye ameshikilia pumzi yako, anakuona, tunapaswa kuona aibu kwasababu jicho la Mungu linaona kila mahali hakuna pa kujificha. bora uogope Mungu, usiogope mwanadamu, usiogope ukimwi, usiogope chochote, ogopa Mungu anayeweza kuua mwili na roho na kukutupa moto wa milele.
jueni leo enyi nyote msomao hapa ya kwamba, wazinzi wote, waasherati, wachawi, wafiraji, waabudu sanamu na wote wanaofanya yale yanayofanana na hayo, hawataurithi ufalme wa mbingu/Mungu. Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana, mwiteni maadamu yu karibu, mtu mwovu na aache njia yake mbaya na mtu asiye haki aache mawazo yake, na amrudia Mungu wake naye atamrehemu, arejee kwa Mungu naye atamsamehe kabisa. usisubiri uwekwe ICU ndio uanze kutafuta uso wa Mungu, unaweza usimpate kwasababu mazingira yanaweza yasiruhusu, pengine hata uwezo wa kuinua ulimi useme Mungu nisamehe hautakuwa nao. kuna jamaa juzi alikuwa kwenye shughuli zake za kila siku, amepata ajali, yupo icu, hata hajitambui, nafasi ya kutubu hana kwasababu alishtukizwa, usifikiri shetani anatamani kukupatia nafasi ya kumrudia Mungu katika maisha yako, okoka leo, wala usisite. Haleluya to the Lamb of God!
ndani yako kuna roho ya uasi, roho ya shetani, na utakula matunda ya maneno yako kama hautabadilika mapema. Mungu ameweka mbele yeko njia mbili, njia ya uzima wa milele, na njia ya moto wa milele, Mungu wetu sio dictator, ndio maana pamoja na kwamba yeye ndiye ameshikilia pumzi yako bado unamdhihaki na kuona haumhitaji saaana yeye aliyeshikilia pumzi yako hata kukufanya uandike hapo, unachagua moto wa milele. utakipata unachokitafuta.Ah mie mbona wala sina shida ya kuokoka. Dhamira yangu ilishanishuhudia kuwa mie ni wa motoni na motoni nitaungua. Am ok with that na wala sitataka kwenda tofauti na huko
Nilishachagua njia ninayo iona njema machoni mwangundani yako kuna roho ya uasi, roho ya shetani, na utakula matunda ya maneno yako kama hautabadilika mapema. Mungu ameweka mbele yeko njia mbili, njia ya uzima wa milele, na njia ya moto wa milele, Mungu wetu sio dictator, ndio maana pamoja na kwamba yeye ndiye ameshikilia pumzi yako bado unamdhihaki na kuona haumhitaji saaana yeye aliyeshikilia pumzi yako hata kukufanya uandike hapo, unachagua moto wa milele. utakipata unachokitafuta.
mbele yako kuna mauti na uzima, chagua uzima upote, fuata mauti uangamie. upo huru.
Sawa mkuu naacha na nataka niame mkoa kbsaAcha mara moja
Sasa Kosa langu nn😂😂😂nasoma maoni ya wasela nondo😂😂😂 sasa Sophy huku umeanza kuwa stalker!
yanayotusumbua yamefungwa kwenye UJINGA NA UMASKINI baada ya hapo tunakufa kwa MARADHI.WATANZANIA UKIACHANA NA UJINGA, MARADHI, UMASIKINI
TUNASUMBULIWA NA WIVU, CHUKI NA NYEGE
Salama kabisa Kwa kweli🤜Nipo,
Kwema?
Chini ya miaka 20,hapo huwa hatuchagui tundu...hata la mbuzi twende,mke alikua na shida na shoo za enzi za nuhu..orijinoHao wanawake nao tamaa imezidi.
Hawajui kusema NO
Kumbe Kuna mauno kwenye biblia!!Huyo sio mke, apewe jina stahiki
UFUNUO 2:19-23
19 Nayajua matendo yako na upendo na imani na huduma na subira yako; tena kwamba matendo yako ya mwisho yamezidi yale ya kwanza.
20 Lakini nina neno juu yako, ya kwamba wamridhia yule mwanamke Yezebeli, yeye ajiitaye nabii na kuwafundisha watumishi wangu na kuwapoteza, ili wazini na kula vitu vilivyotolewa sadaka kwa sanamu.
21 Nami nimempa muda ili atubu, wala hataki kuutubia uzinzi wake.
22 Tazama, nitamtupa juu ya kitanda, na hao wazinio pamoja naye, wapate dhiki kubwa wasipotubia matendo yake;
23 nami nitawaua watoto wake kwa mauti. Na makanisa yote watajua ya kuwa mimi ndiye achunguzaye viuno na mioyo. Nami nitampa kila mmoja wenu kwa kadiri ya matendo yake.