NO kwenye utamu aisee!Hao wanawake nao tamaa imezidi.
Hawajui kusema NO
Aiseeee,Bora kichapoNyingine Kuna jamaaa alimfumania mkewe, na boda boda, kwenye nyumba yake chumbani kwao.
Alichokifanya aliwafungia akawaita wazazi wa Binti, na wazazi wake, ndugu wa huyo boda.
Akawambia Mtoto wenu huyu nikewarudishia aondoke.
Hakuwafanya chochote kibaya, baada ya wiki mbili, boda AKILI zikamluka, yule mwanamke AKILI zikamluka, wameweuka Hadi Leo nawafahamu. Wanashinda majalalani
Na nyie wanaume acheni kuzigawa gawa hizi nguvu zenu kwa michepuko muwashughulikie wake zenu. Ww unadhani mke akichoshwa na mchezo wa mumewe atatoka? Hapo na zungumzie watu kama sie tusiokua na pepo la ngono. Ukiona unamshughulikia mkeo vzr na akatoka basi jua huyo ni malaya na anapepo. Sasa hivi kesi za wanaume kushindwa kazi zimekua nyingi tunazisikia. So its better kuchukua hatua msishupaze shingoNi kweli KABISA
Hebu angalia Kwa mfano.
Mke Wa tajiri na Mfanyabiashara anachukuliwa na Shamba boy. Halafu Mke Wa Shamba boy huyo anachukuliwa na Dereva bodaboda. Na Mke Wa huyo bodaboda anachukuliwa na Muuza chips. Mkwe Wa muuza chips anachukuliwa na Mwalimu. Na mke Wa Mwalimu anachukuliwa na Daktari na MKE Wa Daktari anachukuliwa na Mpaka rangi za kucha na urembo. Na huyo mpaka urembo Hana MKE Wala Demu mana hawezi mikikimikiki ya kutunza familia.
HAPO ukiangalia utagundua kuwa ni tamaa tu na ulevi Wa ngono na Pepo la uzinzi limeikumba jamii. HAPO Kama wangekua mahiri kila mmoja angemridhisha MKE wake lakini kutokana na tamaa kila mmoja anatamani Mume au MKE Wa Mwenzake .
Kahadithi katamu, Nani alikuhadidhia na Kanatifinza nini mtoto mzuri,?Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na jana alifanyiwa operation ya pili, inauma na inaumiza sana kijana mdogo sana ambaye hata miaka 20 hajafikisha. Jamani mke wa mtu sumu.
Iko hivi, jamaa alipopata taarifa ya kwamba "msela nondo" anatoka kimapenzi na mke wake alimtafuta na kumuonya na alimtamkia kabisa ya kwamba usipoacha siku nikikufumania ntakumaliza,"msela nondo"alikataa katakata.
Siku ya siku ikafika, mida ya jioni jamaaa akamuaga mkewe ya kwamba anaenda kuangalia mifugo huko bondeni inakochungwa, ambapo kama kawaida ilitegemewa angelala huko. hawakujua kuwa siku hiyo ilikuwa mtego.
Mkewe bila hiyana akamtaarifu "msela nondo" kuwa jamaa hatakuwepo usiku hivyo aje, ni kweli "msela nondo" akatinga na moja kwa moja wakaanza mchezo.
Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya), kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "msela nondo". Katika hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "msela nondo" akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke(kosa Lingine kubwa alilofanya).
Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "msela nondo" kichwani, "msela nondo" akazima. Mwenye mke akaanza kutumia panga kumkata kata "msela nondo" kila sehemu mwilini, hasa kichwani ambako alikata panga za kutosha.
Mpaka alipohisi ya kuwa amemmaliza kabisa, akambeba juu juu na kumpeleka kwao, bahati yake.
Tumuombee msela nondo apone, huenda akapata nafasi ya kujifunza. Narudia kusema mke wa mtu sumu, inauma sana tena sana, naamini akipona hatarudia alichokifanya.
Mkuu Ni kweli lkn mm kwasa huyu wangu namtema mazimaPenzi la wizi linautamu fulani amazing hivi ambao unaleta ile appetite ya kutafuna mtu mzima mzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
...Na Kwa Mwanaume inakuwa Zaidi. Anakuwa anamuwaza Mwanamke kwamba Iwapo lichepuka na Mimi akiwa kwenye Ndoa, SI anaweza lichepuka na Wanaume wengine mi nikiwa Nae??Adhabu kubwa ya kumpa mwanaume ambaye anatoka na mkeo ni kumuacha amuoe huyo mwanamke wako. Atajuta maana raha ya penzi la wizi ni pale mkiwa hamjajulikana ila mkishajulikana inakuwa ni kero na excitement inapungua.
Wataaanza kuonana wa kawaida na hatimae wataanza kuonana kuwa ni tatizo kila mtu atamuona mwenzake tatizo maana excitement inakufa na kuzoeana na kuonana kila siku hakuna kitakachoendelea hapo zaidi ya kushuka kwa hisia za mahaba na kuonana wa kawaida then majuto halafu kuchukiana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu unaujua moto wewe? [emoji23][emoji23]Ah mie mbona wala sina shida ya kuokoka. Dhamira yangu ilishanishuhudia kuwa mie ni wa motoni na motoni nitaungua. Am ok with that na wala sitataka kwenda tofauti na huko
Tutaujua tukiwa tunaungua🤣🤣🤣🤣Mkuu unaujua moto wewe? [emoji23][emoji23]
tuokoke kamanda peponi kwa waislamu kuna papuchi za kufa mtu half haina kutuma nauli, UTI free, HIV free, STDs free ni wewe tuTutaujua tukiwa tunaungua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Inaombwaje?Ha
Haiombwi hivyo msela nondo
[emoji1787]tuokoke kamanda peponi kwa waislamu kuna papuchi za kufa mtu half haina kutuma nauli, UTI free, HIV free, STDs free ni wewe tu
Muite msela mavi, maana ndiyo wanakua na Tabia za kunyea kwenye sahani wanazolia[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na jana alifanyiwa operation ya pili, inauma na inaumiza sana kijana mdogo sana ambaye hata miaka 20 hajafikisha. Jamani mke wa mtu sumu.
Iko hivi, jamaa alipopata taarifa ya kwamba "msela nondo" anatoka kimapenzi na mke wake alimtafuta na kumuonya na alimtamkia kabisa ya kwamba usipoacha siku nikikufumania ntakumaliza,"msela nondo"alikataa katakata.
Siku ya siku ikafika, mida ya jioni jamaaa akamuaga mkewe ya kwamba anaenda kuangalia mifugo huko bondeni inakochungwa, ambapo kama kawaida ilitegemewa angelala huko. hawakujua kuwa siku hiyo ilikuwa mtego.
Mkewe bila hiyana akamtaarifu "msela nondo" kuwa jamaa hatakuwepo usiku hivyo aje, ni kweli "msela nondo" akatinga na moja kwa moja wakaanza mchezo.
Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya), kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "msela nondo". Katika hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "msela nondo" akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke(kosa Lingine kubwa alilofanya).
Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "msela nondo" kichwani, "msela nondo" akazima. Mwenye mke akaanza kutumia panga kumkata kata "msela nondo" kila sehemu mwilini, hasa kichwani ambako alikata panga za kutosha.
Mpaka alipohisi ya kuwa amemmaliza kabisa, akambeba juu juu na kumpeleka kwao, bahati yake.
Tumuombee msela nondo apone, huenda akapata nafasi ya kujifunza. Narudia kusema mke wa mtu sumu, inauma sana tena sana, naamini akipona hatarudia alichokifanya.
Unafumania unakula "Kisamvu" unabaki na UKIMWI. Hivyo alivyofanya ndio sawa sawa japo na mke nae alitakiwa apewe kilema cha kudumu.Mimi sijui nimeumbwa tofauti nikifumania sina shida na yeyote napiga chini tu
Ashukuru pia hajaliwa kisamvu