Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

Jana tu huku kwetu mtu amechomwa kisu amefariki leo ahsubuhi.Chanzo inasemekana marehemu alikuwa anaongea na demu,mwenye demu alipowakuta akamwambia jamaa leo anamuua na kweli akamtia kisu.Muuaji amekamatwa leo akitaka kutoroka
 
Mkuu kuna level flan ya uasherat ukihitimu kinyaa kinapotea.. yaan ukiwa umeshachakata papuchi zaid ya 25 maishan mwako.. bas kinyaa hupotea kabisa.. ndomnaa kuna wamba wanawaendea had chumvin hao wake za watu na fresh tu
Unanitia moyo lkn sitaki Tena kula mke wa mtu mm acha nile Hawa kina Aisha tu na masingle maza ambayo pia Ni wengi mno

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kuna level flan ya uasherat ukihitimu kinyaa kinapotea.. yaan ukiwa umeshachakata papuchi zaid ya 25 maishan mwako.. bas kinyaa hupotea kabisa.. ndomnaa kuna wamba wanawaendea had chumvin hao wake za watu na fresh tu
Kumbe 25 ndio benchmark 🤔🤔🤔🤔
 
Jana tu huku kwetu mtu amechomwa kisu amefariki leo ahsubuhi.Chanzo inasemekana marehemu alikuwa anaongea na demu,mwenye demu alipowakuta akamwambia jamaa leo anamuua na kweli akamtia kisu.Muuaji amekamatwa leo akitaka kutoroka
Ni maeneo gani huko mzee na mm nichukuwe taadhari taja eneo marehemu ameuwawa kizembe san

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ila Kuna watu Wana roho ngumu sana
Kuna kaka mmoja, alioa Binti, akamchukua mkewe akaenda kuishi naye kwao wazazi wa mwanaume.
Bahati mbaya alikuwa na kazi nyingi migodini hivyo halali sana nyumbani
Siku Moja, akamfunania mkewe usiku wa manane, imagine mwanamke anapeleka hawara ukweni, na wakwe wamelala Ndani!
Yule Ni shetani Kama hil langu namgegeda halina akili anataka kumuacha muwe ili nilioe nimemuona mjinga wa kiwango Cha sgr

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
G
Hao wanawake nao tamaa imezidi.

Hawajui kusema NO
Haujafa haujaumbika temea chini mkuu.

Hata wewe mwenyewe kusema "no" yaweza kuwa ni mtihani kwako kutokana na mtu anayekukabili amejipangaje au anakujakujaje!
 
Siku ukudakwa ndipo utajua na wewe hua una utamu wako sehemu flani flani
Usiombee Hilo mkuu huyu mwanamke Ni mpumbafu sna tu haiweEkanai kuwa na goroko kama mm Hana kazi Wala hell Wal bodaboda. Yuko Yuko tu alfu ukubali kuliwa nae kirais HV yaani nimetoka kuchukua elf 14 amenipa nikanunue gas imeisha kwa kifupi huyu ninaedate nae han akili kbsa amekuwa mweu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wakati wanapambana mwanamke alichoropoka na kukimbilia kwao
Damnit!!!

Huyo ni malaya na yeye mpaka tunapoandika hapa alipaswa kuchinjwa kama panga nne kila upande wa kichwa,inauma mume anataka auwawe kisa ujinga wao na huyo mpumbavu mwenzake inabidi asizinduke tena ili iwe fundisho kwa tuliobaki.

Imenitia hasira sana hasa mgoni anapotaka kumuuwa mwenye nyumba yake.
 

Mithali 6:32​

Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.
Binadamu wa leo kuyaishi haya hatutaki tunakimbilia kusema hakuna Mungu huku yakitupata yaliyoandikwa kama hivi inakuwa too late.
 
Mwanaume Wa Kweli unaanzaje Kula Mke Wa mtu..?
Wakati Wanawake Kibao wanatafuta Waume..?
Wanawake Wamejazana huko kwa Manabii wapo kibao waombewe Waolewe....Wewe unaenda kula mke wa Mtu.?
Kwanza kuna mmoja hapo juu amecomment ni Kinyaa..kweli hiyo tabia ni kinyaa.
Kuna watu wanatabia za kishenzi sana. Hakuna Mwanaume anayekatazwa kuoa wake wengi Kwa SABABU wapo wengi . Hata akitaka kuoa Kumi wapo wamejazama kuanzia wasomi Mpaka machokoraa lakini MTU anaenda kuvunja Ndoa za watu na kuletea watu Kesi za mauaji au kujeruhi.
Kwa Sasa Kwa kweli mwendo Utakua ni kuuawa tu mana Kuna watu wanahangaika sana Kwa ajili ya kutunza wake zao ,ndugu Wa Upande Wa Mke na Watoto halafu anatokea MTU anatumia ulaghai na utapeli wanadanganyana na Mke Wa MTU wanavuruga familia ambayo Mwenzake ameweka malengo na anajinyima na Hata kukosa usingizi mpaka anakonda yeye anabeba tu mana tayari ameshatunzwa halali njaa. MTU kama huyo halafu anatokea mzinzi Mwingine anasema muache tu badala ya kumtembezea shika la kichwa. Na kutenganisha kiwiliwili.

Shenzi sana.
 
Usiombee Hilo mkuu huyu mwanamke Ni mpumbafu sna tu haiweEkanai kuwa na goroko kama mm Hana kazi Wala hell Wal bodaboda. Yuko Yuko tu alfu ukubali kuliwa nae kirais HV yaani nimetoka kuchukua elf 14 amenipa nikanunue gas imeisha kwa kifupi huyu ninaedate nae han akili kbsa amekuwa mweu
Unamuona mwehu siku inakuja atakugeuza marehemu au mlemavu!!!

Heshimuni vya watu life is too short na serious sana omba ufe ukitafuta chakula chako usife kizembe kisa mwanamke.
 
Back
Top Bottom