Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

Nimeona neno msela nimekumbuka juzi kati binti yangu alikuwa anacheza nje ghafla akaja ndani anakimbia namuuliza kulikoni akadai ameona wasela nje😀😀.

Pole zake msela namuombea apone akawe funzo na kwa wenzake ila kama atakufa basi kifo kiwe cha polepole na cha mateso
 
Nimeona neno msela nimekumbuka juzi kati binti yangu alikuwa anacheza nje ghafla akaja ndani anakimbia namuuliza kulikoni akadai ameona wasela nje[emoji3][emoji3].

Pole zake msela namuombea apone akawe funzo na kwa wenzake ila kama atakufa basi kifo kiwe cha polepole na cha mateso
Wakinge wanao hasa wa kike dhidi ya wasela
 
Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na jana alifanyiwa operation ya pili, inauma na inaumiza sana kijana mdogo sana ambaye hata miaka 20 hajafikisha. Jamani mke wa mtu sumu.

Iko hivi, jamaa alipopata taarifa ya kwamba "msela nondo" anatoka kimapenzi na mke wake alimtafuta na kumuonya na alimtamkia kabisa ya kwamba usipoacha siku nikikufumania ntakumaliza,"msela nondo"alikataa katakata.

Siku ya siku ikafika, mida ya jioni jamaaa akamuaga mkewe ya kwamba anaenda kuangalia mifugo huko bondeni inakochungwa, ambapo kama kawaida ilitegemewa angelala huko. hawakujua kuwa siku hiyo ilikuwa mtego.

Mkewe bila hiyana akamtaarifu "msela nondo" kuwa jamaa hatakuwepo usiku hivyo aje, ni kweli "msela nondo" akatinga na moja kwa moja wakaanza mchezo.

Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya), kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "msela nondo". Katika hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "msela nondo" akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke(kosa Lingine kubwa alilofanya).

Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "msela nondo" kichwani, "msela nondo" akazima. Mwenye mke akaanza kutumia panga kumkata kata "msela nondo" kila sehemu mwilini, hasa kichwani ambako alikata panga za kutosha.

Mpaka alipohisi ya kuwa amemmaliza kabisa, akambeba juu juu na kumpeleka kwao, bahati yake.

Tumuombee msela nondo apone, huenda akapata nafasi ya kujifunza. Narudia kusema mke wa mtu sumu, inauma sana tena sana, naamini akipona hatarudia alichokifanya.
Nitaongea na wengi humu, najua nini ni wadogo. mkumbukeni Muumba wenu wakati bado mnayo nafasi, duniani tunapita kabisa. uzinzi ni dhambi, hata ufanye sana kuna arobaini yako utakuja kujuta tu. ajabu yake ni kwamba, watu wanaogopa waume zao au ukimwi au chochote cha dunia hii, wanashindwa kumwogopa Mungu wa mbinguni anayewaona wanavyofanya kila kitu, na anakataza hicho kitu. nilishafanya sana uzinzi, nikaja kujua kuwa namkosea sana Mungu tena kwa kuhofia wanadamu badala ya kumhofia yeye. Mungu anao uwezo kutoa dhabu kali kuliko hizo mnazoziogopa. Mwogopeni Mungu, Mwogopeni Mungu, Mumheshimu Mungu, iweni watakatifu hasa ninyi mnaobeba vyombo vya Bwana, na hata ninyi msiobeba vyombo vya Bwana jueni ya kuwa, dhambi ni uasi na usipotubu na kuacha, haitakuacha salama. Mungu awasaidie.
 
Kuna mke wa mangi mmja nimemla kwa bahati mbaya sikujua kuwa Ni mke wa mtu,dada ebwanaee anatako zito na utelezi wa kutosha,hivi nawaza nimpe milioni
 
Back
Top Bottom