Mke wa mtu sumu: Msela nondo anapigania uhai wake Bugando

Ni kweli KABISA
Hebu angalia Kwa mfano.
Mke Wa tajiri na Mfanyabiashara anachukuliwa na Shamba boy. Halafu Mke Wa Shamba boy huyo anachukuliwa na Dereva bodaboda. Na Mke Wa huyo bodaboda anachukuliwa na Muuza chips. Mkwe Wa muuza chips anachukuliwa na Mwalimu. Na mke Wa Mwalimu anachukuliwa na Daktari na MKE Wa Daktari anachukuliwa na Mpaka rangi za kucha na urembo. Na huyo mpaka urembo Hana MKE Wala Demu mana hawezi mikikimikiki ya kutunza familia.
HAPO ukiangalia utagundua kuwa ni tamaa tu na ulevi Wa ngono na Pepo la uzinzi limeikumba jamii. HAPO Kama wangekua mahiri kila mmoja angemridhisha MKE wake lakini kutokana na tamaa kila mmoja anatamani Mume au MKE Wa Mwenzake .
Ni kweli .. .. Kila mtu anatamani mke wa mwenzake

Kwa sisi wanawake kutulia ni uamuzi.

Mtu usipoamua UTULIE huwezi kutulia maana hakuna mwanaume alokamilika.
 
Nyingine Kuna jamaaa alimfumania mkewe, na boda boda, kwenye nyumba yake chumbani kwao.
Alichokifanya aliwafungia akawaita wazazi wa Binti, na wazazi wake, ndugu wa huyo boda.
Akawambia Mtoto wenu huyu nikewarudishia aondoke.
Hakuwafanya chochote kibaya, baada ya wiki mbili, boda AKILI zikamluka, yule mwanamke AKILI zikamluka, wameweuka Hadi Leo nawafahamu. Wanashinda majalalani
Uchawi
 
Mkuu hiyo ya Wafiraji, Daaaah...Daaaah... Daaah.....Mbona unatishia........imekaaje hiyo......ni wale wanaowafira wanaume wenzao tu, au hata wanaokula TIGO za Wanawake? Hebu iweke sawa kidogo.....
ufiraji wote ni dhambi, kwa mwanamke na kwa mwanaume. ni uchafu uliofanya Mungu ateketeza sodoma na goroma, anaweza kuwateketeza na ninyi pia.
 
Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na jana alifanyiwa operation ya pili, inauma na inaumiza sana kijana mdogo sana ambaye hata miaka 20 hajafikisha. Jamani mke wa mtu sumu.

Iko hivi, jamaa alipopata taarifa ya kwamba "msela nondo" anatoka kimapenzi na mke wake alimtafuta na kumuonya na alimtamkia kabisa ya kwamba usipoacha siku nikikufumania ntakumaliza,"msela nondo"alikataa katakata.

Siku ya siku ikafika, mida ya jioni jamaaa akamuaga mkewe ya kwamba anaenda kuangalia mifugo huko bondeni inakochungwa, ambapo kama kawaida ilitegemewa angelala huko. hawakujua kuwa siku hiyo ilikuwa mtego.

Mkewe bila hiyana akamtaarifu "msela nondo" kuwa jamaa hatakuwepo usiku hivyo aje, ni kweli "msela nondo" akatinga na moja kwa moja wakaanza mchezo.

Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya), kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "msela nondo". Katika hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "msela nondo" akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke(kosa Lingine kubwa alilofanya).

Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "msela nondo" kichwani, "msela nondo" akazima. Mwenye mke akaanza kutumia panga kumkata kata "msela nondo" kila sehemu mwilini, hasa kichwani ambako alikata panga za kutosha.

Mpaka alipohisi ya kuwa amemmaliza kabisa, akambeba juu juu na kumpeleka kwao, bahati yake.

Tumuombee msela nondo apone, huenda akapata nafasi ya kujifunza. Narudia kusema mke wa mtu sumu, inauma sana tena sana, naamini akipona hatarudia alichokifanya.
Najuliza kama nchi zilizoendelea kuna mauaji dhidi ya wagoni wao
 
Ishu c mke wa mtu sumu… shida iko kwene ndoa yenyewe! sasa apo mwanamke ndo cyo muaminifu uyo jamaa ataua watu wangap?? na kwa muda gan?
 
Tarehe 3:10:2022,mwingine Kara kipigo huku,mke wa mtu sumu
 
Hivi, huyo msela nondo ana kosa gani? Kama kaja, si kaitwa? Mwenye kosa ni aliyemuita.
 
Mtu unawezaje kula mke wa mtu, mbona kinyaa sana aisee 🥸🥸. Ame kweli kuna watu wana akili za kutumia vibaya na wengine wana akili za kutumia vizuri
😆😆😆😆Eti kinyaa! We jamaa Yaan unavyo ongea utadhani wanawake wote unao watia wewe ni mabikra unaanza nao mwenyewe,😆😆😆 ,wakati hata wewe hao mademu zako huna tofauti na wanao tia wake za watu tena unaweza kuta bora hata wake za watu kuliko hiyo micharuko
 
Amefanyiwa operation ya kwanza kichwani wiki iliyopita na jana alifanyiwa operation ya pili, inauma na inaumiza sana kijana mdogo sana ambaye hata miaka 20 hajafikisha. Jamani mke wa mtu sumu.

Iko hivi, jamaa alipopata taarifa ya kwamba "msela nondo" anatoka kimapenzi na mke wake alimtafuta na kumuonya na alimtamkia kabisa ya kwamba usipoacha siku nikikufumania ntakumaliza,"msela nondo"alikataa katakata.

Siku ya siku ikafika, mida ya jioni jamaaa akamuaga mkewe ya kwamba anaenda kuangalia mifugo huko bondeni inakochungwa, ambapo kama kawaida ilitegemewa angelala huko. hawakujua kuwa siku hiyo ilikuwa mtego.

Mkewe bila hiyana akamtaarifu "msela nondo" kuwa jamaa hatakuwepo usiku hivyo aje, ni kweli "msela nondo" akatinga na moja kwa moja wakaanza mchezo.

Muda si mrefu mwenye mke akatinga(walikuwa wanamuita boya), kugonga mlango ukaitika moja kwa moja chumbani, uso kwa uso na "msela nondo". Katika hali ya kujitetea apate nafasi ya kuchomoka "msela nondo" akamchoma kisu tumboni jamaa mwenye mke(kosa Lingine kubwa alilofanya).

Mwenye mke akashika kiti na kumpiga nacho "msela nondo" kichwani, "msela nondo" akazima. Mwenye mke akaanza kutumia panga kumkata kata "msela nondo" kila sehemu mwilini, hasa kichwani ambako alikata panga za kutosha.

Mpaka alipohisi ya kuwa amemmaliza kabisa, akambeba juu juu na kumpeleka kwao, bahati yake.

Tumuombee msela nondo apone, huenda akapata nafasi ya kujifunza. Narudia kusema mke wa mtu sumu, inauma sana tena sana, naamini akipona hatarudia alichokifanya.
Daaah
 
😆😆😆😆Eti kinyaa! We jamaa Yaan unavyo ongea utadhani wanawake wote unao watia wewe ni mabikra unaanza nao mwenyewe,😆😆😆 ,wakati hata wewe hao mademu zako huna tofauti na wanao tia wake za watu tena unaweza kuta bora hata wake za watu kuliko hiyo micharuko
Mwanamke nikijua analiwa na mtu flani siwezi nakuwa na kinyaa tu automatic. Najua wanaliwa ila nisijue anae mla
 
Mwingine Huku sasa, kakutwa ndani chumbani akiwa na mke wa rafiki yake kabisa

Jamaaa mwenye mke kaishia kumwambia naomba usirudie Kum...... Mke wanguuu
 
Back
Top Bottom