Chacha95
JF-Expert Member
- Aug 4, 2016
- 212
- 172
Goli moja kwa mke ni jingi sana
ko unamshauri apige robo sio moja[emoji23]
Goli moja kwa mke ni jingi sana
Yeeyyeueueueueue[emoji23] [emoji23]umetoka kwenye saccoss yako umechoka nikakutana na hawa rafiki zangu wawili! ni shida!!View attachment 606748 View attachment 606750
Itqkuwa wanqtumia mke nq mume akaunt moja smphn mojaHunter hapo kuna kitu hakipo sawa niamini mimi... Anajua kuigiza balaa... Leo anakuwa ME kesho KE...juzi yenyewe alitoa uzi unaomtambulisha kama ni KE leo kajivika majukumu ya ME....inasikitisha..kuna walakini mahali nadhani sio bure
Ulifikq 45+ 50+ unaanza kutetemeka kama Mohammed aliiiKuna waliobarikiwa Mkuu wao wawe na Mbunye ' Ndoa ' waliyoizoea au mpya Mbunye ' Mchepuko ' bao zao ni zile zile tu 7 mpaka 9 kwa kila usiku. Wenyewe wanasema mbele kwa mbele na kanyaga twende!
Labda mkuu, lakini mwandiko uleuleItqkuwa wanqtumia mke nq mume akaunt moja smphn moja
beef la nani?
Wengi hawafundwi ndio maana wanaonesha udhaifu sana, yaani mtoa mada inabidi apelekweHeshima inaanzia nyumbani....! Sasa huyu sijui hajafundwa jandoni
That's Carter right there...[emoji106]Itafika kipindi kwa wiki unampiga shoot moja! Unapoteza interest kwa mkeo pole pole.
Fanya haraka kujijenga kisaikolojia na kuwa karibu na mkeo. Zungumzeni...mpe compliment za kutosha. Ikifika point na yeye akapoteza interest kwako hapo ndani itakuwa balaa. Mtakuwa mnapishana tu kama mazombie.
Wanaume wajanja nje wanaonja...Nyumbani wanakula na kushiba. Heshima yako kama mwanaume inajengwa nyumbani sio huko barabarani.
Mi nikiwa na Nchepuko napiga goli 6 na nkirudi kwa nke wangu nagonga 2 times yani goli 12 ukijulimsha kwa siku napiga goli 18[emoji41] [emoji41] [emoji41]
We Jamaa liongo sana aisee
Mpo good?
Nawapenda.
Kama head inavoeleza hapo.
Nimebaini nikitoka nje nanogewa zaidi.
Na pia nikitoka kidogo nje ya ndo nikirudi kwa wife namfeel tena utamu unazidi.
Kwanini?
Vipi, anayekutwa na same situation au related to, atujuze kidogo.
jinsia gani wewe? badili hiyo avatar utatongozwa bureAfu kwer JMn ata mm nje napiga bao 3 mpaka 5 kwa wife daaa 1 kwa wiki
siku ya kwanza kwa mkeo ulipiga ngapi? tuanzie hapaaaMpo good?
Nawapenda.
Kama head inavoeleza hapo.
Nimebaini nikitoka nje nanogewa zaidi.
Na pia nikitoka kidogo nje ya ndo nikirudi kwa wife namfeel tena utamu unazidi.
Kwanini?
Vipi, anayekutwa na same situation au related to, atujuze kidogo.