Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,804
- 95,629
SwadaktaMkeo nae ana mchepuko wake unapiga bao 3
SwadaktaMkeo nae ana mchepuko wake unapiga bao 3
Swadakta
Sio lazima kwamba SHE WAS THE BEST OF THE BEST...!!!
Wat if huyo binti alimuona mshikaji ndo the best, then AKAENDA KUROGA...???
Mabinti siku hizi wanaroga sn mkuu. Yan wanasaka ndoa to the extent kwmb wanaona the only solution ni kuroga. Wapo sana kitaa na tunaona mkuu...!!
Wao wana picha mbili, ukimkuta aliyeshika dini, basi ameshika dini kwelikweli. Na ukimkuta mrogaji, kidume ni ngumu sana kupindua. Akikukamata kuchomoka kazi..!!!
Mwanaume usipokuwa na fujo kwenye ule mchezo andika umeumia!nimecheka sana jaman dah uvunguni?? hahhaha eti beki 3 awapishe hahaaha kisa tu kutafuta vibes !aisee hongeren ! siku mkalale hotelin mkeshe
hata mwanamkeMwanaume usipokuwa na fujo kwenye ule mchezo andika umeumia!
Heshima inaanzia nyumbani....! Sasa huyu sijui hajafundwa jandoniKaka shemeji usicheke eti, kuna mambo yanatia hasira ujue!!
Great, afu unajua wale wanaoroga mara nyingne wanaroga kwa kamba za marehemu alekufa kwa kuji_hunged, so siku mambo yakienda sivo either ujiuwe or umuue ajiue, kule igunga ipo sehemu , tarafa moja, uswahilnii, visa hivyo na hiyo mifumo ipo fwaàaaSio lazima kwamba SHE WAS THE BEST OF THE BEST...!!!