Mke napiga goli moja, mchepuko mpya goli 3-4 kwanini?

Mke napiga goli moja, mchepuko mpya goli 3-4 kwanini?

Tune your mind! Unadhani kwanini uliacha wanawake wote ukamuoa ulie nae? Ni kwa sababu she was best of the best...unless kama ulichaguliwa mke wa kuoa.

Mpende mkeo, rudisha ukaribu kama mwanzo kipindi mnaanza. Muheshimu na umthamini.
Sio lazima kwamba SHE WAS THE BEST OF THE BEST...!!!

Wat if huyo binti alimuona mshikaji ndo the best, then AKAENDA KUROGA...???

Mabinti siku hizi wanaroga sn mkuu. Yan wanasaka ndoa to the extent kwmb wanaona the only solution ni kuroga. Wapo sana kitaa na tunaona mkuu...!!

Wao wana picha mbili, ukimkuta aliyeshika dini, basi ameshika dini kwelikweli. Na ukimkuta mrogaji, kidume ni ngumu sana kupindua. Akikukamata kuchomoka kazi..!!!
 
NIKUKUMBUSHE TU KUWA MKEO HUKO NJE ANAPGWA BAO ZAID YA 3, HEAVY. TENA ANASIFIWA KUWA MTAMU, WENYEWE WANASEMA MKE WA MTU MTAMU. AHAHAH
 
uwe unahamahama sio unang'ang'ania kitanda tu km sanamu,mwenzio mi huwa nahama siku nyingine chooni,sebuleni,jikoni,uvunguni siku nyingine namwambia beki tatu atupishe kwake ili mradi kulinda ndoa yangu ingawa wife anaona km limbwata limekolea lakini hafikirii kuchepuka hata kidogo.


nimecheka sana jaman dah uvunguni?? hahhaha eti beki 3 awapishe hahaaha kisa tu kutafuta vibes !aisee hongeren ! siku mkalale hotelin mkeshe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom