Mke napiga goli moja, mchepuko mpya goli 3-4 kwanini?

Mke napiga goli moja, mchepuko mpya goli 3-4 kwanini?

NIKUKUMBUSHE TU KUWA MKEO HUKO NJE ANAPGWA BAO ZAID YA 3, HEAVY. TENA ANASIFIWA KUWA MTAMU, WENYEWE WANASEMA MKE WA MTU MTAMU. AHAHAH
Hapigwi, nimemlea kwa mfumo wa Kim jong un [emoji23] [emoji23] [emoji23] , ni self guard
 
nimecheka sana jaman dah uvunguni?? hahhaha eti beki 3 awapishe hahaaha kisa tu kutafuta vibes !aisee hongeren ! siku mkalale hotelin mkeshe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ntachora imoj yenu. Na kwel environment updates ihusike , quoteeeed!
 
Wewe ndo mkeo ananisumbua kila cku huku mtaani!
 
Una tatzo mkuu.. tafuta sababu kwanin nje 3 ndani kamoja, ukiipata ifanyie kazi..

Kuna ulazima gani mpaka uchepuke means ndani kuna tatizo..
Nililuwa tu na kamtndo eti"diet changes"
 
toeni namba za wake zenu wakaridhishwe
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] hatujawashindwa, tatizo ni quantities, ila duration ni 45mins/bao for both wife and diversion
 
View attachment 606631 HAYA MAMBO YA SACCOSS NA UJASILIAMALI NI HOVYO KABISA! MKE ANARUDI AMECHOKA TOKA SACCOSS, MAOMBI, VIKUNDI HAMU HANA,YAANI MNAKUWA KAMA MNALIMA SHAMBA,HUYU MCHEPUKO ANAKUWA ANATUMIA FURSA VIZURI KWANI ANAKUWA YUPO KAZINI
Na wanaanzaga nyodo hao wakishàanza kushika v mia mia, K ana mind mind kutoa
 
Baki njia kuu acha uzinzi.
1c222550e2afb43cea27b5ffef97ffdb.jpg

Njia kuu[emoji89]
 
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] hatujawashindwa, tatizo ni quantities, ila duration ni 45mins/bao for both wife and diversion
Huo mda nao ni uongo coz cku znatofautiana na pia labda utumie DKK 20 kuchezeana lakn kama unapiga peda haizidi nusu saa kwa bao,hata mwanamk wa kuhimili hiyo time xjui kama yupo
 
Mlio kwenye ndoa tulieni na wake zenu tafadhali...
Kma hivyo kwann mlioaa?
 
na waki
Na wanaanzaga nyodo hao wakishàanza kushika v mia mia, K ana mind mind kutoa
shakuwa na vihela vya saccoss basi yaani muda mwingi anafikria biashara tu na anasahau hata mtu aliyekuwa anapigana mapaka wakafikia hapo.wakinamama hamjui kumbe hata kutoa kiu nayo inasaidia ndoa kukaa sawa, kuelewana na kupunguziana na stress.ayaa mbaki na saccoss zenu na sisi mnatufanya tunaenda kwenye pombe au michepuko na sio lazima kusaidia ndugu wote waache nao wapigane na maisha,panda kitandani tupumzike au nikacheze BIKO he he
 
HALAFU SHIDA JAMII FORUM NI KAMA TUPO WANAUME TU.HIZI SACOSS KWAKWELI ZINATUHARIBIA NDOA ZETU! KUNA KINA MAMA WAKIAANZA KUPATA MAREJESHO YA SACCOSS MZEE NI SHIDA HUO MDOMO HATA MZEE ANAWEZA ASISIMAME! WANA NYODO HAWA JAMAA.MICHEPUKO HIZO STORI HAKUNA UNAENDA KITU NI MNARA CHUMA NA BENDERA CHUMA
 
Ni maumbile ya mwanadamu ndivyo yalivyo kutamani vipya kila mara.
Mchele Una mapishi mangapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom