Mke napiga goli moja, mchepuko mpya goli 3-4 kwanini?

goodfool

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2016
Posts
1,668
Reaction score
996
Mpo good?

Nawapenda.

Kama head inavoeleza hapo.

Nimebaini nikitoka nje nanogewa zaidi.

Na pia nikitoka kidogo nje ya ndo nikirudi kwa wife namfeel tena utamu unazidi.

Kwanini?

Vipi, anayekutwa na same situation au related to, atujuze kidogo.
 
Itafika kipindi kwa wiki unampiga shoot moja! Unapoteza interest kwa mkeo pole pole.

Fanya haraka kujijenga kisaikolojia na kuwa karibu na mkeo. Zungumzeni...mpe compliment za kutosha. Ikifika point na yeye akapoteza interest kwako hapo ndani itakuwa balaa. Mtakuwa mnapishana tu kama mazombie.

Wanaume wajanja nje wanaonja...Nyumbani wanakula na kushiba. Heshima yako kama mwanaume inajengwa nyumbani sio huko barabarani.
 
We jamaa nipe namba ya mkeo nitakuja kukusimulia magoli huenda anakuona ww bwege tu unamchosha
 
Itafika kipindi kwa wiki unampiga shoot moja! Unapoteza interest kwa mkeo pole pole.

Fanya haraka kujijenga kisaikolojia na kuwa karibu na mkeo. Zungumzeni...mpe compliment za kutosha. Ikifika point na yeye akapoteza interest kwako hapo ndani itakuwa balaa. Mtakuwa mnapishana tu kama mazombie.

Wanaume wajanja nje wanaonja...Nyumbani wanakula na kushiba. Heshima yako kama mwanaume inajengwa nyumbani sio huko barabarani.
Thanks mkuu, further more assistance
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom