Mke napiga goli moja, mchepuko mpya goli 3-4 kwanini?

Mke napiga goli moja, mchepuko mpya goli 3-4 kwanini?

Utakuja kuwa hvo utanambia, we c umeoa juz
Mwaka wa ishirini Na mbili sasa... Ukifanya kama kukomoa, kila siku sawa. Kuwe na mapumziko. Kila bàda ya siku tatu hivi. Usiwe kama Dawa za mseto. Utakufa, utakosa hamu, kiuno kitauma.
 
Ndo mwanaume ukila nje ukarud kwa mkeo anakua mtam zaid
 
Ushauri oa mchepuko acha mkeo, afu mkeo mgeuze mchepuko ili umpige magoli 6
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom