Mke napiga goli moja, mchepuko mpya goli 3-4 kwanini?

Mke napiga goli moja, mchepuko mpya goli 3-4 kwanini?

Itafika kipindi kwa wiki unampiga shoot moja! Unapoteza interest kwa mkeo pole pole.

Fanya haraka kujijenga kisaikolojia na kuwa karibu na mkeo. Zungumzeni...mpe compliment za kutosha. Ikifika point na yeye akapoteza interest kwako hapo ndani itakuwa balaa. Mtakuwa mnapishana tu kama mazombie.

Wanaume wajanja nje wanaonja...Nyumbani wanakula na kushiba. Heshima yako kama mwanaume inajengwa nyumbani sio huko barabarani.
Well said
 
Yaani alafu unataka mkeo akuheshimu km kichwa? Dharau kwa mke uanziaga hapo maana lazima umridhishi, lazima atoke tu nae apate wa kumkuna vizuri, sasa ww eti unajiita mume au uitwe bwege?

Ukisikia ulimbukeni ndio huu
Sasa mtu umle 40-45 min/goal asiridhike vp? Tofaut hapa sio duration, ni quantity
 
Kwanza mapenzi siyo idadi ya magoli , ukiwa mtalaamu wa kucheza na mkeo na kuandaana vema, goli moja linatosha sana, hilo ndo kosa tunalo fanya wanaume wengi na kibaya zaidi wake zetu hawatuambii kama tumebugi anakà kimya tu, ishu sasa apate mtaaluma hapo umeachwa kaka uwe makini hapo, ila nakuona kama unaharaka kama jogooo wewe
Kawaida napenda one goal but length ya muda iwe 30+ mins, sasa kwa mchepiiii "k" ukirest kidogo inaamsha dude, unlike kwa wyfu
 
Mchepuko huwa unajua kujishughulisha bana!!

Mlioolewa mmmmh!! Mjifunze kukatika na muwe wabunifu kwenye 5*6
Mi naona k mpya zna stimu mpya, KUMBUKA NIMESEMA nikirud tena kwa wife afta mchepoook, naeza pga tena the same bao , endapo wyf sijakutananae muda
 
Mkuu mleta mada wala usiwe na wasiwasi kupata bao moja Kwa mkeo that is the best practice Kwa wanaume wengi waliomo Kwenye ndoa! Wakati mwingine wanachochangia humu sicho wanachokiishi kivitendo ! Ni wazi kuwa uzoefu unaonesha wanaume wengi huishia bao moja tu Kwa wake zao wa ndoa! Ila nakushauri na kukusihi uachane na tabia Za kuchepuka siyo nzuri! Inawezekana kuishi na mkeo bila kuchepuka na utakuwa ukimfurahia Mke wa ujana wako Siku zote!
WEWE NI BABA PAROKO. REV. AU DOKTA LOVE. UMEEXPRES MPAKA NIMEJITATHMIN. THANKS
 
Mpo good?

Nawapenda.

Kama head inavoeleza hapo.

Nimebaini nikitoka nje nanogewa zaidi.

Na pia nikitoka kidogo nje ya ndo nikirudi kwa wife namfeel tena utamu unazidi.

Kwanini?

Vipi, anayekutwa na same situation au related to, atujuze kidogo.
KAZI UNAYO
 
Hivi hizi bao mnapigaga every one minute nini??? Mimi kwangu bao la kwanza ni 30 min la pili ongeza one hour Kama ni michepuko tayari keshakojoa Kama Mara nne hivi.
Hamna. Em piga picha nalala nae usiku wote. Gawa masaa ,unafanya bila kujihami hami, ni starehe io bob, right
 
Bao 3-4 mbona ndogo sana, ongeza ongeza kidogo.. Nipe namba ya mke wako, nitaleta mrejesho ni kwanini unapiga kimoja..!!

Halafu mambo ya ndani ya wewe na mkeo myamalize wenyewe!!

Hizo ni kwa mtu unayekutana naye mara moja katika maisha yako. Mke wako unaye kila siku kukurukakara za nini. What matters is reciprocal love.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom