AshaDii
Platinum Member
- Apr 16, 2011
- 16,190
- 18,080
mdharau mwiba humchoma ni afadahali nikjihami mapema..........................huwezi kujua what goes on in human mind............hasa katika hii dunia ya kukomoana.................
Are you SERIOUS??? Yaani usiwe karibu na mwanamke kwa uoga wa kukatwa... au ushawahi jaribiwa? lol