Mke anapoung'oa uume kwaashiria nini?

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
Nimekuwa nikisoma habari ndani na nje ya nchi (hata Ulaya/Marekanihttp://www.guardian.co.uk/commentisfree/2011/jul/14/rupert-murdoch-man-lost-penis) baadhi ya wanawake hukimbilia kuukata uume wa mpenzi wake na nimekuwa nikijiuliza ni kwa sababu zipi?

Kwa nini asimng'ake sikio mpenzi wake huyo korofi machoni pake..................bali hukimbilia kuukata uume????????????

Nionavyo ule uume ndiyo unasababisha yeye kukumbana na kero na mateso kutoka kwa mpenzi wake na akiung'oa ngoma itakuwa ni drooooooooooooooooooooooooooo.......................................................................lol
 
Ni kwa sababu huo uume ndiyo unamfanya aitwe mwanaume na kumtia jeuri, kwa hiyo ili kuondoa hhiyo jeuri, wanawake wanaamua kuingóa hiyo dudu.
Kwa hapa kwetu, kama una mke anatoka Kilimanjaro (mk.....), Arusha (mm.....) na Singida (mn.......) halafu akakufumania na totos ingine, hakikisha unalinda sana hiyo dudu yako hata ikiwezekana lala na jeens na usipige ulabu kwa wiki nzima vinginevyo hiyo kitu itangólewa.
 
Rutashubanyuma... if you have no Junior.... Are you man??

Ukipata jibu you will know kua ogopa a woman scorned.
 
ha ha ha.... mbavu sina mimi.... hiii kali.... jeans... Dah!
 
Without that dudu atatulia tu nyumbani! Dah sasa mfano ikatokea.....,let me stop thnking abt that manake.,!

jamani yaani humwonei mwenzio hata huruma???????????????????????????unammallzia hivihivi ukiona......................ninaamini kuna njia nyingine ya kumrekebisha kama waona kakosea...............................lol
 
Wala usicheke, hii ni tool muhimu hata kuliko mikono, sasa ikingólewa utatumia nini kufanya kazi zako muhimu?

Hii ni kweli akiisha nyang'anywa hiki kifaa basi kwisha habari yake hata uchangamfu wote haupo.........................he is no longer a man.................that is too bad hata akitulia memsapu hatakuwa na raha naye..................
 
Rutashubanyuma... if you have no Junior.... Are you man??

Ukipata jibu you will know kua ogopa a woman scorned.

mimi huwa nalala mwenyewe...........I fear the wrath of a woman.........................nisije nikaachwa kwenye mataa...........................because without my juniour I m finished kaputi kabisa........lol Muumba apishilie mbali hilo balaa...................
 
Ni kwa sababu huo uume ndiyo unamfanya aitwe mwanaume na kumtia jeuri, kwa hiyo ili kuondoa hhiyo jeuri, wanawake wanaamua kuingóa hiyo dudu.
Kwa hapa kwetu, kama una mke anatoka Kilimanjaro (mk.....), Arusha (mm.....) na Singida (mn.......) halafu akakufumania na totos ingine, hakikisha unalinda sana hiyo dudu yako hata ikiwezekana lala na jeens na usipige ulabu kwa wiki nzima vinginevyo hiyo kitu itangólewa.

Am glad these type of women are not part of my life until now..............lakini kumbe nao wao wanajua ya kuwa without our little boy we are finished........lol
 
Wala usicheke, hii ni tool muhimu hata kuliko mikono, sasa ikingólewa utatumia nini kufanya kazi zako muhimu?

Najua saaana ni tool muhimu... kilichonichekesha ni ile hali mwenye nayo kuilinda mpaka kulalia Jinsi... ukifika that stage si bora usepe....lol
 
mimi huwa nalala mwenyewe...........I fear the wrath of a woman.........................nisije nikaachwa kwenye mataa...........................because without my juniour I m finished kaputi kabisa........lol Muumba apishilie mbali hilo balaa...................

Bana kung'olewa ni rare cases... alafu from your profile Rutah you are
in an age u player unaisha hata kwa player, hua yuko cottent na mwanamke mmoja

sasa kama mpaka leo wamchanganyia.... then hapo sawa... yaani ulale peke yako
hupendi the comfort of someone close to you??
 
Rafiki yangu ruta sasa ndo umeleta nini? Hapa tuna mademu zetu ambao kwa namna mmoja au nyingine huenda hawakuwa na hayo mawazo, nahisi kwa hizo taarifa wataanza kufanya. Mh mi nawaogopa na kuwaheshimu sana hawa viumbe, wakiamua kufanya kitu huwa wanafanya kweli, baadhi yao huwa hana hata chembe ya huruma.
 
Najua saaana ni tool muhimu... kilichonichekesha ni ile hali mwenye nayo kuilinda mpaka kulalia Jinsi... ukifika that stage si bora usepe....lol

mdharau mwiba humchoma ni afadahali nikjihami mapema..........................huwezi kujua what goes on in human mind............hasa katika hii dunia ya kukomoana.................
 
Na yeye mwanamke akinifanyia uhuni nampiga Supa glu. So ngoma inakuwa droo

supa glu itaenda kuondolewa na kazi bado ataendelea nayo.lakini wewe ni alamsiki.............................labda uwahi katika masaa 24 madakitari bingwa ambao sina uhakika hawa walevi wetu wa gongo kama wataweza kumrudisha askari nambari one mahali pake na kuwa mkakamavu kama enzi zile na hata kuwafanya mademu kukufuatilia kwa kasi ....lol..................
 
Rafiki yangu ruta sasa ndo umeleta nini? Hapa tuna mademu zetu ambao kwa namna mmoja au nyingine huenda hawakuwa na hayo mawazo, nahisi kwa hizo taarifa wataanza kufanya. Mh mi nawaogopa na kuwaheshimu sana hawa viumbe, wakiamua kufanya kitu huwa wanafanya kweli, baadhi yao huwa hana hata chembe ya huruma.

waswahili husema knowledge is power.................waache wapange lakini na sisi tupange namna ya kujihami....................lol
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom