Mke anapoung'oa uume kwaashiria nini?

mdharau mwiba humchoma ni afadahali nikjihami mapema..........................huwezi kujua what goes on in human mind............hasa katika hii dunia ya kukomoana.................

Are you SERIOUS??? Yaani usiwe karibu na mwanamke kwa uoga wa kukatwa... au ushawahi jaribiwa? lol
 
ya nini umkate akifa je si utakuwa umejifunga mwenyewe??kuna mtu ametuchekesha kwenye sehemu yetu ya kutafutia rizki eti anatafuta dawa mume wake akienda nje tu mtarimbo unalala doro,hiyo mnaionaje si afadhali eeeeeeee....... kuliko kukatwa jamani au!
 
Are you SERIOUS??? Yaani usiwe karibu na mwanamke kwa uoga wa kukatwa... au ushawahi jaribiwa? lol

No Am only kidding..................................women are the best thing that happened to a man's lonely soul.......................
 
ya nini umkate akifa je si utakuwa umejifunga mwenyewe??kuna mtu ametuchekesha kwenye sehemu yetu ya kutafutia rizki eti anatafuta dawa mume wake akienda nje tu mtarimbo unalala doro,hiyo mnaionaje si afadhali eeeeeeee....... kuliko kukatwa jamani au!

Tatizo la ushirikina ni kuwa utakuwa ummemroga...............na hiyo ni mbaya zaidi afadhali umwachie afanye aonavyo hadi atakapokinai atarudi nyumbani...............................kwani there is no place like home.........................
 
Ni unyama na ukatili wa hali ya juu..marriage terrorist,lol!!

ni kweli lakini kuna watu wameumbwa kukomoa wenzao kwa visingizio kibaoo................
 
Akijifanya bingwa wa kuitembeza unaifyeka kwa nia nzuri tu ya kumfanya atulie nyumbani maana hiyo ndio iliyokuwa inamsumbua na kumuongezea nyendo. Ukiifyeka hata afya yake itarudi maana mwili utakuwa na excess storage ya protein. lol.)
 
playing GOD aren't you..................why destroy something you incapable of creating???????????????????????
 
Sawa ameung'oa, nitatulia nyumbani, Je yeye atahudumiwa nani nyumbani akihitaji?. Hizo ni hazira tuu za wakati huo lakini ninaamini kuwa ataijutia baada ya muda mfupi.
 
Mtu akiiba, akatwe mkono. Akitoka nje ya ndoa akatwe.......! Isn't that right?

ancient culture...............usihukumu ili usjie nawe ukahukumiwa..........
 
Sawa ameung'oa, nitatulia nyumbani, Je yeye atahudumiwa nani nyumbani akihitaji?. Hizo ni hazira tuu za wakati huo lakini ninaamini kuwa ataijutia baada ya muda mfupi.

hapo ndipo kigugumizi kilipo.......itabidi arudie yaleyale yaliyokuwa yakimadhaisha......................kwa kutafuta kidume nje ya ndoa ili kimhudumie..............
 
Uwiii! Hivi uking'olewa ule mwanaume anaweza kuendelea kusurvive?

kwa shida sana.............................na makovu yasiyotibika ndani ya moyo wako...................lakini ikiisha kutokea basi itabidi ujikaze kisaburi...........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom