Nimefungwa kimapenzi na mke wa mtu nifanye nini?

Southern Giant

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
321
550
Mimi ni kijana sina mke,

Tangu mwaka 2017 nimekuwa katika mahusiano ya kimapenzi na msichana niliyekutana nae katika daladala, mwaka 2020 nikaja kugundua kuwa ni mke halali wa mtu mara baada ya kugundua hilo nikamwambia tuachane sababu si vuzuri kuwa katika mahusiano na mke wa mtu yeye alichukia swala hilo la kukatisha mapenzi yetu.

Nikafuta mpaka namba zake lakini yeye akawa ananiganda kwa kunipigia na kutaka tuonane mimi nikawa sipokei wala kijibu meseji zake.

Mwaka huohuo 2020 baada ya kumkaushia muda mrefu nikaja kugundua nikiamka asubuhi uume wangu hausimami sikuweza kufikiria mengine nikiwa najua labda ni ubize wangu ndio unasababisha hali hiyo lakini ilinishtua zaidi mara baada ya kukutana na mwanamke mwingine uume pia ukawa hausimami.

Baada ya kugundua kuwa ni tatizo kubwa nikampatia hadithi hii mzee mmoja hivi akanuambia nimeshachezewa mchezo maana wanawake w pwani hiyo ndio michezo yao huku akinishauri nirudiane nae huyo mke wa mtu, mara tu baada yakurudiana nae uume wangu ukawa unafanya kazi kama zamani.

mwaka huu mwezi wa saba mumewe amehisi namchukulia tunda lake mara baada yakukuta meseji katika simu ya mke wake alinipiga mikwara mizito, cha ajabu zaidi huyu mwanamke hazipiti siku mbili bila yakunitumia meseji na nikichelewa/kutokujibu huwa ananilaumu.

Mimi nataka nimuache huyu mwanamke ila naogopa kupoteza uwezo wangu wa kusimamisha uume.

Nipeni ushauri nifanye nini maana nimekua katika kifungo hiki muda mrefu sana.
 
unapenda kutumia kilainishi gani wakati unafumwa.
na hivi vitakavo kukuta:-
*grease ya magari
*mafuta ya mgando vaseline
*mafuta ya uzazi wakati kujifungua
*mafuta ya cheleani
*mafuta kulainisha gearbox
*mafuta nazi
*mafuta ya mawese
*mafuta ya karanga
*mafuta samuli
*mafuta ya alizeti.

chagua haya niliyokupa kunusuru kijambio chako
 
Mimi ni kijana sina mke,

Tangu mwaka 2017 nimekuwa katika mahusiano ya kimapenzi na msichana niliyekutana nae katika daladala, mwaka 2020 nikaja kugundua kuwa ni mke halali wa mtu mara baada ya kugundua hilo nikamwambia tuachane sababu si vuzuri kuwa katika mahusiano na mke wa mtu yeye alichukia swala hilo la kukatisha mapenzi yetu.
Chagua kimoja uume kutosimama au uendelee na mke wa mtu ili huyo jamaa aje aukate uume wako.

Halafu hiz story za uongo kwamba unamwanake miaka mitatu hujui ni mke wa mtu.
 
Chagua bora ukatafuta tiba ya tatizo lako au ukaendelea kula mke wa mtu halafu ukija kushikwa upigwe au uliwe utumbo mkubwa..?
 
Hilo tatizo linatibika sana kama mwanzoni ungegundua na kuwahi kwa wataalam. Pia wakati wa sex, uwe unakwepa kutumia vitendea kazi vyake kama vile chupi, kitambaa, khanga etc kipindi cha kujisafisha maana hivyo huenda kutunzwa kwa utaalam kipindi ukizingua.
Wataalam wapo mtaani kwa tatizo la aina hiyo, au tumia akili kwenda nae mdogo mdogo (punguza mazoea yale ya karibu) na kama mnakaa karibu hamia sehemu nyingine, mfano kama upo Mbezi hamia Tegeta/Boko/Gongolamboto/Mbagala ili kuwa mbali na Mme wake.
Pia kama utafanikiwa kuhama hakikisha humfuati wewe, awe anakufuata yeye na mnaenda mbali na nyumbani mfano toka Kimara nenda Kigamboni kupoteza direction, hii itakuepusha na matatizo na familia au Mme wake. Hakikisha hukai wilaya moja na huyo demu mpaka pale urafiki utakapo vunjika.
 
Yeye yupo Dar ila mimi kwasasa niko nje ya Dar
 
Chagua kimoja uume kutosimama au uendelee na mke wa mtu ili huyo jamaa aje aukate uume wako.

Halafu hiz story za uongo kwamba unamwanake miaka mitatu hujui ni mke wa mtu.
Hakuna uongo hapo ni ukweli mtupu, labda ndio kwanza umesikia leo ishu kama hizi za kufanyiwa hivi na wanawake
 
Back
Top Bottom