Mkataba wa Taikon na Mchungaji Jonathan Kanjunju kuhusu ushirika wangu katika kanisa lake

Lakini haujasema kama baada ya kuuupokea huo mkataba aliusaini au aliishia tu kwenye kuusoma na baada ya kuona upuuzi wote uliomo ndani yake akakurudishia.

Upuuzi wote uliopo kwenye mkataba hasa ahadi unatoka kwake. Huo nimeamua kuiweka kimaandishi katika mkataba ili huko mbele tusigeukane
 
Hebu tuwe watu wazima jamani sio kila linalopita kichwani unalirusha humu...muda mwingine tumia akili uheshimike..

Heshima gani unataka hapa kwa Watu usiowajua Mkuu.
Mtu anayetaka kukuheshimu atakuheshimu tuu. Usitafute kuheshimiwa heshima inakuja tuu yenyewe.

Karibu kanisani
 
Nimejifunza kitu mkuu!!

Kwamba makanisa ya kisasa yanatumia waumini kama bidhaa ya kuuza vile Ili kukuza umaarufu na kipato Cha mwenye kanisa !!!

Hapa unatusanua mapema kwamba unapojiunga na kanisa IPO haja ya kusaini mkataba hasa matumizi ya mapato!!!
 
Back
Top Bottom