Kitila Mkumbo
JF-Expert Member
- Feb 25, 2006
- 3,355
- 1,984
Rufiji et al.,
Tupo pamoja. Sote tungependa kabisa Mkapa na wenzake ifike mahala wapande kwenye witness box. Ninachojaribu kujenga hoja hapa ni kwamba this thing is not as simple as ABC as you tend to suggest. Sheria zetu zilivyo ni kwamba hii inatoa haki hii na kuna sheria nyingine ambayo inaifuta haki hiyohiyo! Sasa kama akina JK na bunge letu kweli wana nia ya kumfikisha Mkapa mahakamani kwa nini miaka mitatu tangu wawe madarakani hawajapeleka bungeni sheria ya kufuta hiyo sheria inayotoa kinga ya kushtakiwa kwa rais mstaafu? Na JK alikuwa na maana kutangazia duniani nzima, kumbuka alisema hili akiwa nje ya nchi, kwamba tumuache mzee Mkapa apumzike? Kwa hiyo tuamini kauli ya JK au ya Pinda?
It is good, of course, to be optimistic of the outcome of every effort, but you can at least dare to be critically optimistic and skeprical!