William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,464
Habari nilizozipata leo according to the dataz ni kwamba sasa makapa, Yona, na chenge wameamua kumtumia the same defence lawyer, sasa ni ana madhumuni yao ni nini hasa kama sio kujaribu ku-coordinate namna ya kuuficha na kuuuhalalisha ufisadi wao?
Rais mzima wa zamani wa taifa na jamhuri, anatafuta nini kwenye kutafuta wanasheria na mawaziri wake wa zamani? Na huko sheria tunazo habari kwamba mtoto wa makapa aliwekwa huko kwa makusudi ili aje avuruge uchunguzi, kwa hiyo tunawa-pressure wabunge wadai aondolewe mara maoja huko tuendelee na kazi ya wananchi!
Sasa kwa wale mlionao karibu huko Lushoto, na kwenye wazee wa vijisenti, tafadhalini waambieni kuwa wananchi tuko one step ahead, na tuko nao bega kwa bega, ni kwamba tutakula nao sahani moja mpaka
Mpaka kieleweke!
Wallahi siku za mwizi ni arobaini, sasa zimafikia mwanangu mpaka watinge tu kwenye mahakama ya wananchi Kisutu, tena tunamkumbusha waziri mkuu Pinda kwamba hawa wasipelekwe mahakama kuu, maana kesi yao ni sawa tu na ya wa wezi wa mbuzi na kuku, msiwape kichwa bure wakadhani tuhuma zao ni za kii-intellectualism na politicalism, no hawa ni wadokozi wakubwa yaani kwa jina lingine ni mijizi isiyokuwa na huruma na wananchi kabisaa, sasa kwa nini sisi wananchi tuwaonee huruma!
Hawa ni kuwaweka hapa Sanamu Monument ili wananchi tuwapige mawe, tena mchana kweupe! Off course hayana huruma haya wewe lijitu linaweka mihela yote nje, huku wananchi wanakufa na njaaa, dawa ni kuyapiga mawe!