Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

He! He! He! mweee jamani! Kwani hela za bara bara na shule ni zake kama Ndesamburo? Mbona hata mtandao wamejenga shule na bara bara?

...kwa namna jina mkapa linavyoandikwa makapa...ni dalili ya hoja za kichabiki...

...najua madarasa yamejengwa kila kijiji hayana walimu..thats why imebidi hata mpango wa diepensari uwe suspended kwa kuwa proved no medical paractiotioners.....simply naomba nitajie barabara moja aliyomaliza kujenga kikwete!!!!
 
Sijuhi inabidi tuanze kuulizana madarasa ya shule. Hoja unazotoa ni za emotion na mapenzi yako .

Kwa mfano: Clinton aliacha nchi ina surplus na kwa hesabu zilizopo sasa Bush ataacha nchi ikiwa deficit.

Vilevile hesabu zako za reserve kutosha miezi 10 sio sahihi. Kama dollar billioni 2 zilitosha miezi 10 mwaka 2005 b

Kama kutakuwa na uchunguzi au mashitaka dhidi ya Mkapa hawezi kujitetea kwa kusema aliacha reserve, alijenga barabara, alijenga shule mpya au uwanja wa taifa.

..binti maryam hewala barrister...that is really personal attack..i can say below the belt kwa sababu hoja hapa si elimu yangu..hoja inajulikana ....neverthless busara ya mtu haijalishi elimu.....mbona hizi hoja zipo wazi!!..hata hivyo napenda kukuakikichia IQ yangu ni moja ya nzuri...usiwe na shaka!!!!

...national reserve is one of the determinats of economic indicators..uliza mchumi yoyote...

...rule of law haipingiki ...nikuulize je kikwete anaiheshimu...tangu aliponza kutuhumu kuanzia watu wa unga,majambazi hadi sasa mafisadi...nani kafikishwa mahakamani ....!!???
 
Mkuu Philemon,

Heshima mbele, kwenye jimbo la Zitto hakuna bara bara ambayo imejengwa na matandao? maana nakumbuka kuna wakati alisema yeye mwenyewe hapa, Kama ni shule hata mtandao wako mbele sana mkuu, halafu ni wajibu wa serikali na wananchi, wala sio kiongozi yoyote yule, kwa sababu nafikiri unajua kuwa Kilimanjaro mkoa wenye shule nyingi kuliko zote bongo, hazikujengwa na serikali wala Mkapa, wala muungwana,

Nakumbuka one time uliwahi kusema kuwa Rupia ni msafi, na sasa unasema Mkapa ni msafi, wote hawa wana one thing in common wake zao ni wachagga!, Ahsante mkuu.

Otherwise, wabunge wa CCM na hasa Kimaro, shemeji yake Mkapa wamepania kutimiza kiu yetu wananchi ya kutaka Mkapa atinge kwenye mikono ya sheria, na sio mbali mkuu maana hata mabalozi kutoka nje wanatusaidia kwenye hili, kama walivyotusaidia kwenye ishu ya Chenge, wananchi hatuwezi kushindwa na fisadi Mkapa, hata atetewe na watu kama wewe,

Wananchi hatuwezi kutishiwa nyau ma mafisadi period, tutakula nao sahani moja tu, mpaka kielweke!
 
KAMANDA MKUU ..FM..HESHIMA YAKO HAPA FORUM NI KUBWA SANA KUANZA KULETA HOJA ZA KIKABILA KAMA mswahili.....[member],

mimi hata dakika moja ninapoandika hapa siandiki kuwa aligned na kabila au ushemeji au lolote ....

..najua kigoma ni moja ya mikoa yenye barabara mbovu,...kama mnaongelea barabara zinazojengwa na halmashauri za mitaa au changarawe sikatai ..ZIMEJENGWA ...barabara ninazotaja hapa ni zile muhimu kiuchumi TRUNK ROAD ...siongelehi barabara za mwananyamala kwa kopa!!!

..hayo madarasa yaliyojengwa hayana walimu ,...does it worthy to be called schools.....lets be serious na elimu jamani....ndio maana mitihani ya form two imefutwa kwa kuwa shule za kata wangefeli wote..hawana walimu!!!

HESHIMA MBELE!!!!!!
 
Philemon ,

Argument zako nyingi zimejaaa fallacy mkuu , simply kwa kuwa Mkapa aliacha reserve sio sababu inayomruhusu yeye kuiba hela sijui kama tunakubaliana katika hilo. Hii hoja ni ya kitoto , Mkuu Philemon wazungu wanasema " Two wrongs don't make a right ".

Ngoja nikuulize maswali machache

1. Je ni kweli kwamba Mkapa alishindwa kuitetea katiba ya jamhuri ya muungano.

2. Je unafikiri itakuwa ni sahihi kutokana na vitendo alivyovifanya itakuwa ni sahihi kumwita Mkapa mwizi.

Ninauliza hayo kwa makusudi kwa sababu inawezekana tunakuargue mambo makubwa hapa wakati kuna vitu ambavyo ni basic ambavyo hatukubaliani.
 
THE family of the late Mwalimu Julius Kambarage Nyerere intends to summon ex-president Benjamin Mkapa to Butiama Village next month to discuss widespread allegations of corruption and abuse of office now besetting the former head of state.

Hapo tu kwanza huyo mwandishi kakosea,alitakiwa atumie neno clan(ukoo),na pia asimuusishe Mwalimu Nyerere kwenye hilo.Waliomualika Mkapa kwenye ukoo ni familia ya Wanzagi kutokana na shinikizo la Butiku,familia ya Mwalimu haikuhusika kabisa na hilo,ndio maana hata kwenye hio report hapo hatuoni jina hata moja la mtoto wa Mwl Nyerere,au mkewe for that matter likihusishwa na huo mwito.
Kwanza Mkapa aliitelekeza sana familia ya Mwalimu,na Mama Maria likuwa bitter sana nae,na ndio maana alimuembrace JK tokea mwanzo.Serikali ya Mkapa ilitakiwa kujenga ukuta wa kuzunguka eneo zima pale msasani,na yule mama maskini alizungushwa mwishowe akamua ajenge ule ukuta mwenyewe,walivyosikia wakina Mary Nagu at the time kuwa Mama Maria kaamua kujenga ukuta mwenyewe,ndio wakamkimbilia ili wajenge,sasa sijui kama walimalizia wao au ni yeye mwenyewe.
Na wale wanaosema Mkapa alikuwa ni chaguo la Nyerere,pia hio sio sawa! Chaguo lake lilikuwa Salim,na Salim aligoma akitoa sababu kuwa anataka kumalizia kazi zake OAU kwanza,na atagombea baada ya hapo,ofcoz yeye akijua Nyerere angekuwa bado yuko hai.
Waliomshinikiza Mkapa agombee ni Warioba,Salim,Butiku na jamaa mmoja anaitwa Adam Marwa,na hao ndio waliomfuata Nyerere ili amuendorse Mkapa. Ndio maana Salim mpaka leo amesema hawezi kamwe kumsamehe Mkapa kwa vitendo alivyofanyia Dodoma siku ya uchaguzi wa kutafuta mgombea wa CCM.Hana kinyongo na JK kabisa.
Pia Nyerere alimshangaa sana Mkapa kumpa uwaziri Lowassa,na huo ujumbe ulimfikia Mkapa.Mtu akitaka ukweli wa haya amuulize Butiku! Butiku alitegemea mengi kutoka kwa Mkapa,kubwa likiwa ni mchango mkubwa wa fedha kwenda Nyerere Foundation.Mkapa baada ya kuchangia wakati wa uhai wa Mwalimu na baadae(baada ya Mwalimu kufariki) kugundua ,obviously, pesa zinapigwa alisitisha,na Mandela(baada ya ku-take over) kusema kuwa atatfuta pesa for specific events only,kama mikutano n.k.(kukawa hakuna pesa za kupiga tena)
Chuki rasmi kutoka kwa Butiku zilianza baada ya Nyerere kufariki, ingawa baadae zilipungua kidogo kwa kumwingiza kwenye ukoo.Mkapa alikuwa hana sababu ya kukataa kwa sababu alikuwa ni rafiki wa karibu wa mmoja wa wadogo zake Mwalimu,pia mke wake wa zamani Butiku ni wa familia ya Muganda,na tunajua familia ya Muganda ilivyo close na familia ya Mkapa...kutoka hapo ni rahisi ku connect the dots.
Hivyo kama kuna mtu anaitwa Peter Wanzagi kasema hayo,haina maana hayo ni maoni ya familia ya Mwalimu Nyerere, na sidhani kama ni fair kwa kuihusisha,mpaka watu wengine wanasema 'who the hell do they think they are!'Well,they have the name,and it ends there.Wana nini zaidi ya hapo? I feel they are being victimised for something which has nothing to do with them at all,lakini tatizo ni kama alivyosema mchangiaji mmoja humu,ni mwandishi mwenyewe wa hio article.
 
Philemon ,

Argument zako nyingi zimejaaa fallacy mkuu , simply kwa kuwa Mkapa aliacha reserve sio sababu inayomruhusu yeye kuiba hela sijui kama tunakubaliana katika hilo. Hii hoja ni ya kitoto , Mkuu Philemon wazungu wanasema " Two wrongs don't make a right ".

Ngoja nikuulize maswali machache

1. Je ni kweli kwamba Mkapa alishindwa kuitetea katiba ya jamhuri ya muungano.

2. Je unafikiri itakuwa ni sahihi kutokana na vitendo alivyovifanya itakuwa ni sahihi kumwita Mkapa mwizi.

Ninauliza hayo kwa makusudi kwa sababu inawezekana tunakuargue mambo makubwa hapa wakati kuna vitu ambavyo ni basic ambavyo hatukubaliani.

,,,kimsingi nakubaliana na wewe ...mwizi hana jina lingine zaidi ya mwizi.....call SPADE A SPADE....

...ambacho tunashindwa kuafikiana na wengi hapa ni kuwa ...pamoja na wizi woote...serikali ya awamu ya tatu ilionesha uhai kiuchumi..kuliko hii ya jangala....nahisi kwa mwendo wa serikali hii tutaendelea kupiga marktime huku muda unaenda kazi haifanyiki...

..ningependa kama serikali ...ingeachia vyombo vyake kushughulikia haya na yenyewe IKAZANE KUTEKELEZA AHADI...

wote mnaona tunapelekwa pelekwa tu......WAKATI MAJAMBAZI NA WAUZA UNGA,WATU WA EPA ,NA SAASA KINA MKAPA NA WATU WA RICHMOND TU wanaishiwa kutajwa na hakuna hatua inayochukuliwa ...jamani hamuoni huu ni usanii wa kutupotezea muda.....MBONA HATUDAI MAISHA BORA TULIYOAHIDIWA ...WHY ...KWA NINI!!!!???
 
Philemon ,

1. Je ni kweli kwamba Mkapa alishindwa kuitetea katiba ya jamhuri ya muungano.

2. Je unafikiri itakuwa ni sahihi kutokana na vitendo alivyovifanya itakuwa ni sahihi kumwita Mkapa mwizi.

Ninauliza hayo kwa makusudi kwa sababu inawezekana tunakuargue mambo makubwa hapa wakati kuna vitu ambavyo ni basic ambavyo hatukubaliani.

Tena hapa sio kushindwa kuitetea tu bali na kuivunja pia! Mkapa was a bad leader for the democracy of our country. Hakuna shaka pia kwamba Mkapa alikuwa mwizi na aliiba sana. The question is was/is he different from other CCM scoundrels? And will our country be healed by just singling out some few CCM swindlers and leaving others continuing with their business as usual? We should not forget that our very "dear" president was at the very top of the list of shame. Now, in this case, are we dealing with an individual or a systemic problem? Can we also start to address the systemic nature of the corruption in our country as we drag the Mkapas into courts ( if at all they will)?

Most importantly, CCM should never be allowed to use the Mkapa cases to cleanse itself from the eyes of the public. The message should always be clear that the Mkapas are not an isolated case in CCM; it is rather only a small but significant identified part of a very large network of villains conceived, born and rared by the very CCM.

Philemon is, of course, right that, despite all his ill disgusting deeds while in office, Mkapa left a lasting legacy in bringing about tangible leadership performance based on reall seeable results. In fact, it is partly on the basis of Mkapa's performance that JK was able to sail through so easily in the 2005 election. So, to me, downplaying Mkapa's legendary performance in office, in comparison with the previous and present leadership, is as naive and myopic as downplaying his scandalous misuse of his powers as president of our country.
 
Sijuhi inabidi tuanze kuulizana madarasa ya shule. Hoja unazotoa ni za emotion na mapenzi yako lakini ni utumbo katika uwanja wa sheria na ethics. Serikali kutumia na kuacha reserve haina kitu au negative sio kosa la jinai. Na kiongozi hashitakiwa kwa kuacha hazina haina kitu.

Kwa mfano: Clinton aliacha nchi ina surplus na kwa hesabu zilizopo sasa Bush ataacha nchi ikiwa deficit. Pamoja na peformance yake katika uchumi, watu hawakumwachia Clinton kuendeleza ufuska wake akiwa kama rais.

Vilevile hesabu zako za reserve kutosha miezi 10 sio sahihi. Kama dollar billioni 2 zilitosha miezi 10 mwaka 2005 basi dollar millioni 800 zitatosha zaidi ya miezi minne mwaka 1995 na hiyo ni hesabu ya mashine za matendo tu.
[/B]
Kama kutakuwa na uchunguzi au mashitaka dhidi ya Mkapa hawezi kujitetea kwa kusema aliacha reserve, alijenga barabara, alijenga shule mpya au uwanja wa taifa. Itabidi ajitetee kwa kuonyesha sheria za nchi zilivyompa ruhusa kufanya kile alichofanya.

Na wewe kama mtetezi wake tuletee misingi ya sheria kuonyesha alichofanya kilikuwa katika misingi ya kisheria

shukrani yangu imelenga kutambua udhaifu wako mkubwa ktk kupambana kwa hoja na jazba za matusi na dharau ya kijivuni,si mjuaji bali mdini uliyekosa hoja ya kupambana na mzee PM, tupe facts achana na mentality za udini ktk kumshikisha mtu adabu,tambua "HAKUNA HAKI ISIYO NA WAJIBU" JK ALIKIRI MWENYEWE KUWA ANAYO HAZINA YA KUTOSHA NA AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU TANGANYIKA IJITAWALE,TUAMBIE WEWE NI DOLAR KIASI GANI? NI KULALAMA NA KUTUKUNA. MKO WENGI MNAONG'ANG'ANIA MKAPAxxxxx70 LAKINI ZINAPOWEKWA HOJA ZA KITAALAMU HAPA MNAISHIA KUTUKANA NA KUWAHUKUMU WENZENU ETI SI WAZALENDO, NCHI HII IMEPITIA MAMBO MENGI, MWALIMU ANGELIWEZA KUSHITAKIWA KWA KUIPELEKA NCHI VITANI KAGERA, MWINYI KAMA MKAPA ANGERUHUSU RIPOTI YA WARIOBA ITOKE HADHARANI YANGELIKUWA MENGINE HAPA, TUNAPASWA TUWE WAKWELI JAMANI, TUJIULIZE NI NANI ASIYE NA HATIA KATI YETU NA AWE WA KWANZA KUMTUPIA MAWE MKAPA? JE NI KAWAWA? MSUYA? SALIMU? MWINYI? KIKWETE? LOWASA?SUMAYE? BUTIKU? NI NANI HASA KATI YAO? TUOMBEANE HERI TU NA KWA SASA TUIANGALIE KATIBA YETU KAMA INAWEZA KUREKEBISHWA NA KUJIBU SHIDA ZETU KWA MAANA YA KUTUFANYA SOTE TUWE SALAMA NA SI KUMKOMOA MTU FULANI. UNADHANI NI KWANINI CLINTON ALISALIMIKA KAMA SIYO PERFOMANCE YAKE NA MISIMAMO YAKE ILIYOKUWA WAZI KTK SERA YA NJE YA MAREKANI ,REPUBLICAN NA MAYAHAUDI WALITAKA KUMNG'OA PALE KWA SABABU YA AGENDA ZA CAMP DAVID NA SI HIYO YA KULA MAPAPAI IKULU,WAKATUMIA NGUVU NA HILA SASA UMEONA MPENDA SIFA KICHAKA ALIVYOWAACHA SOLEMBA,NCHI IMEYUMBA SANA KWA KUMUACHIA MHUNI WA TEXAS ,STAY FOCUSED
 
Kuna baadhi yetu hapa bado tunafikiri kiongozi akijiuzulu kufuatia tuhuma fulani ni kwamba anakubaliana na tuhuma hizo, this is not right at all.
 
..binti maryam hewala barrister...that is really personal attack..i can say below the belt kwa sababu hoja hapa si elimu yangu..hoja inajulikana ....neverthless busara ya mtu haijalishi elimu.....mbona hizi hoja zipo wazi!!..hata hivyo napenda kukuakikichia IQ yangu ni moja ya nzuri...usiwe na shaka!!!!

...national reserve is one of the determinats of economic indicators..uliza mchumi yoyote...

...rule of law haipingiki ...nikuulize je kikwete anaiheshimu...tangu aliponza kutuhumu kuanzia watu wa unga,majambazi hadi sasa mafisadi...nani kafikishwa mahakamani ....!!???

Phillemon, kuwa focused na usichanganye mambo!

Hoja zilizopo sio shindano la nani zaidi! Naona unawashindanisha JK na Mkapa kwa nguvu zako zote kwa nia yakututoa kwenye hoja. Hatuko kwenye nani zaidi hapa!

WanaJF wengi waliochangia hoja hii wamejitahidi kukupa "shule" ya umuhimu wa kuwawajibisha wezi wetu bila kulazimika kuangalia wamefanya mazuri gani na mangapi! Tunaowapa nafasi ya kuongoza nchi au taasisi wanatakiwa wafanye kazi zao kwa ufanisi na uadilifu mkubwa, hivyo mazuri kama aliyoyafanya Mkapa ni sehemu ya wajibu wake na sio kinga dhidi ya madhambi aliyoyafanya!

Naamini umenipata na utachangia kwa busara zaidi! usilete mapenzi au ushabiki hapa!
 
Mimi nimeorodhesha ufisadi ninaoufahamu kuhusu Mkapa na timu yake hapa,wadau mnaweza kuongeza:
1 Meremeta $155M
2 Epa $133M

3 Inflated cost on Radar amounting to
($40M-$10M)= $30M

4 Inflated cost on BoT twin
Towers amounting to ($340M-$340M/4)= $255M

5 Kiwira issue:
i Underpayment of
Kiwira Tsh 4Bn- Tsh 70M= Tsh 3.93Bn = $3.2M

ii Kiwira capacity charges(analipwa hata asipoza
lisha umeme kwa siku Tsh146M@day=Tsh365x146@yr
=$ 45Millions per year x 20yrs= $900M

Total......................................$1,476.2M
The above cash is enough to finance Stieglier’s Gorge hydropower project on the Rufiji river, the project that can produce more than 1200 MW which is more than we need in Tanzania.

http://www.rubada.org/pages/basin_potential/hydropower.php
 
Inasemekana Mkapa na Kigoda wana mgodi wao wa dhahabu, sijui ni maeneo yapi ya nchi yetu. Kigoda alipokuwa waziri katika awamu ya Mkapa alikuwa akipita katika nchi mbali mbali za magharibi kutafuta makampuni ya uchimbaji wa dhahabu ili yaingie mkataba na Mkapa na Kigoda wa kuchimba dhahabu katika mgodi huo. Pia kama mtakumbuka Mkapa alimpigia debe sana Kigoda katika kinyang'anyiro cha mgombea Urais toa CCM.
 
shukrani yangu imelenga kutambua udhaifu wako mkubwa ktk kupambana kwa hoja na jazba za matusi na dharau ya kijivuni,si mjuaji bali mdini uliyekosa hoja ya kupambana na mzee PM, tupe facts achana na mentality za udini ktk kumshikisha mtu adabu,tambua "HAKUNA HAKI ISIYO NA WAJIBU" JK ALIKIRI MWENYEWE KUWA ANAYO HAZINA YA KUTOSHA NA AMBAYO HAIJAWAHI KUTOKEA TANGU TANGANYIKA IJITAWALE,TUAMBIE WEWE NI DOLAR KIASI GANI? NI KULALAMA NA KUTUKUNA. MKO WENGI MNAONG'ANG'ANIA MKAPAxxxxx70 LAKINI ZINAPOWEKWA HOJA ZA KITAALAMU HAPA MNAISHIA KUTUKANA NA KUWAHUKUMU WENZENU ETI SI WAZALENDO, NCHI HII IMEPITIA MAMBO MENGI, MWALIMU ANGELIWEZA KUSHITAKIWA KWA KUIPELEKA NCHI VITANI KAGERA, MWINYI KAMA MKAPA ANGERUHUSU RIPOTI YA WARIOBA ITOKE HADHARANI YANGELIKUWA MENGINE HAPA, TUNAPASWA TUWE WAKWELI JAMANI, TUJIULIZE NI NANI ASIYE NA HATIA KATI YETU NA AWE WA KWANZA KUMTUPIA MAWE MKAPA? JE NI KAWAWA? MSUYA? SALIMU? MWINYI? KIKWETE? LOWASA?SUMAYE? BUTIKU? NI NANI HASA KATI YAO? TUOMBEANE HERI TU NA KWA SASA TUIANGALIE KATIBA YETU KAMA INAWEZA KUREKEBISHWA NA KUJIBU SHIDA ZETU KWA MAANA YA KUTUFANYA SOTE TUWE SALAMA NA SI KUMKOMOA MTU FULANI. UNADHANI NI KWANINI CLINTON ALISALIMIKA KAMA SIYO PERFOMANCE YAKE NA MISIMAMO YAKE ILIYOKUWA WAZI KTK SERA YA NJE YA MAREKANI ,REPUBLICAN NA MAYAHAUDI WALITAKA KUMNG'OA PALE KWA SABABU YA AGENDA ZA CAMP DAVID NA SI HIYO YA KULA MAPAPAI IKULU,WAKATUMIA NGUVU NA HILA SASA UMEONA MPENDA SIFA KICHAKA ALIVYOWAACHA SOLEMBA,NCHI IMEYUMBA SANA KWA KUMUACHIA MHUNI WA TEXAS ,STAY FOCUSED

Oh, nimebakiwa na ? naomba mkalimani!
 
...umuhimu wa kuwawajibisha wezi wetu bila kulazimika kuangalia wamefanya mazuri gani na mangapi! Tunaowapa nafasi ya kuongoza nchi au taasisi wanatakiwa wafanye kazi zao kwa ufanisi na uadilifu mkubwa, hivyo mazuri kama aliyoyafanya Mkapa ni sehemu ya wajibu wake na sio kinga dhidi ya madhambi aliyoyafanya...

Dume La Mbegu, bonge la point.

Sitaki kutoka nje ya mada lakini umesema kitu nilicho bishana na ndugu zangu humu kwenye thread nyingine ambamo watu wanatetea shutuma za mauaji dhidi ya marehemu Ditopile kwa sababu tu alikuwa muadilifu katika uongozi wake. Vitu viwili tofauti. Na huo ndio wajibu wake. Hupewi zawadi kwa kufika kazini on time kila siku!
(Hata hivyo kuna mengine natafautiana katika hilo tundiko lako, lakini hapo juu umeteta.)
 
Kuna mtu kauliza, je Mkapa angeiweka wazi ripoti ya Warioba/angeamua kuchukua hatua za kisheria je kina Mwinyi wangepona?

mimi nauliza kwa nini iwe Mkapa tu? kwani utawala wa Mwinyi ulikuwa safi? kwa nini na mikataba iliyowekwa kipindi cha Mwinyi isichunguzwe ili ikiwezekana wote mkapa na mwinyi wafikishwe mahakamani?(just curious tu wana ndugu)
 
You cant be this certain as if umefanya research Mkandara, mimi ni mmoja wa watanzania wengi ambao tungependa kumona akiozea jela!

Mimi pia nikotayari hata kumtwanga risasi ya kichwa nikiipata nafasi hiyo, ajili yeye ndiye matokeo ya UFISADI huu wa sasa usio hata na aibu machoni. alianzisha kwa ile ya 500milioni(sisemi ufisadi haukuwepo kabla, ila ulikuwa na ka-aibu kidogo) wengine wakaona hiyo ndio dili. sasa kila apata fursa anajizolea vijisenti.
 
Kuna mtu kauliza, je Mkapa angeiweka wazi ripoti ya Warioba/angeamua kuchukua hatua za kisheria je kina Mwinyi wangepona?

mimi nauliza kwa nini iwe Mkapa tu? kwani utawala wa Mwinyi ulikuwa safi? kwa nini na mikataba iliyowekwa kipindi cha Mwinyi isichunguzwe ili ikiwezekana wote mkapa na mwinyi wafikishwe mahakamani?(just curious tu wana ndugu)

Hii ni sawa na kujitetea kwa kusema mbona jana fulani kaiba hamsemi lakini leo mimi kujaribu tu mnanitia hatiani.
 
Hii ni sawa na kujitetea kwa kusema mbona jana fulani kaiba hamsemi lakini leo mimi kujaribu tu mnanitia hatiani.

si tunataka kukomesha ufisadi lakini au?
sasa kwa nini iwe yeye na kundi lake tu na wengine katika awamu ya mwinyi je?. au wale wa awamu ya mwinyi wako juu ya sheria?.
 
Back
Top Bottom