Mkapa above the law?: Allegations

Mkapa above the law?: Allegations

Nimeanza kufunga nami baadhi ya vitu fulani fulani.Pamoja Mkapa...
 
(1) Hili la madeni ya nchi maskini huwa nina mtazamo tofauti. Hebu fikiria kwa level ya mtu na mtu. Ninakukopa fedha ili nikafanyie mradi fulani kwa minajili ya kupata faida halafu baadaye nikurudishie fedha zako. Unaniamini na kunipa fedha nilizokuomba. Sasa mimi badala ya kutumia fedha hizo kwenye mradi niliosema, nazitumia kufanyia shoppingi ya mke wangu huko ulaya. Inapofika wakati wa kulipa ninakumabia hapana hiyo siyo haki nitafunga kula ili nikushinikize nisikulipe deni hilo! upuuzi kabisa huo.

(2) Mkapa ni kati ya watu waliotumia fedha tulizokopeshwa kufanya "shoppingi ya mke wake huko ulaya" badala ya kuzitumia kwa manufaa ya nchi; mfungo huu ni uwongo na unafiki tu.
 
Mkapa hana lolote, badala ya kutaka tusamehewe madeni, arudishe pesa zetu alizofyonza.
 
"You borrow you pay" Mwalim Nyerere. Unajua hawa viongozi wa africa wanadhani hizi Bank kubwa zikiwakopa zinaweza kuyafidia madeni yao kwa kuprint more money. Hizo ni fedha za watu ambao nao wamezikopa hizo bank in form of Bonds. sasa you have to pay high interest rate ili na wao wawalipe walio wakopesha. Hakuna pesa za mchezo ambazo zimekaa tuu kwenye storage zinangoja wewe uje ukope.
 
Mkapa nipo pamoja nawe katika kufunga...!

Kibunango Ubarikiwe kumuunga mguu BM,
Tupe siri kidogo katika maombi yenu mtakuwa mnakutana faragha?
Msisahau kupitia msahafu hasa pale pa kurudisha mali....kwikwi..
 
"I tremble for my country when I reflect that God is just; that his justice cannot sleep forever. . . the Almighty has no attribute that can take side with us in such a contest." - Jefferson

I'm in Comrade Benjamin Netanyahu Mkapa
 
Alisema kuwa hivi sasa nchi maskini zinatumia dola mil 100 kwa siku moja katika kurejesha madeni wanayodaiwa na nchi tajiri, badala ya kusaidia katika elimu, afya na chakula katika nchi zao.

huyu mzee amepita njia ndefu sana; badala ya kufunga angetoa tu busara zake kwa raisi aliye madarakani kumshauri asikope hadi hela ya kukopesha wananchi(mamilioni ya JK), na ya kulipa kocha wa Stars... then kwa kutambua shida wanayopata wananchi, angeachia angalau baadhi ya mali zetu alizoiba, angalau zile nyumba za serikali mkewe alizonunua, zisaidie wafanyakazi

halafu huyu naye anafunga kwa imani ya dini ipi? si ni mwanachama wa ile nanihii iliyotutishia hapa? (kama ni kweli inavyodaiwa)
 
halafu huyu naye anafunga kwa imani ya dini ipi? si ni mwanachama wa ile nanihii iliyotutishia hapa? (kama ni kweli inavyodaiwa)

Atakuwa anafunga kwa hiyo hiyo anayo iamini! cha msingi ni kuamini kwamba amuombaye atajibu!
 
Duh!
Ama kweli Wabongo ni wadanganyika haswa!
Huyu Mkapa kwa nia gani anaweza kufunga?..afya yake tu akifunga atakwenda na maji maanake lazima maji ya ibilisi asubuhi, mchana na usiku.
Mchonga (marehemu Mwl) kisha mkuta nzwiii hajiwezi tena mapema asubuhi unaambiwa hata miwani alishindwa kuivaa utafikiri ile knock out ya Evander kwa Tyson.. akitafuta mouth piece! Leo akafunge kwa sababu ya fedha ALIZOKOPA na Kuziiba tusamehewe!.
Tutasamehewa kwa dua za wengine waliofunga lakini sio huyu anayeingia chooni na chupa ya whisky!
 
1.
mkapa tunakuunga mkono....pamoja na matatizo unayokandamiziwa,..kazi zako zinaonekana..


2.
Duh!
Ama kweli Wabongo ni wadanganyika haswa!
Huyu Mkapa kwa nia gani anaweza kufunga?..afya yake tu akifunga atakwenda na maji maanake lazima maji ya ibilisi asubuhi, mchana na usiku.


Whaaaaaat????????????????!
 
..ungekuwa na swawaabu zaidi kama ungefungwa kupunguza rushwa na kuzuia ufujaji wa fedha za kodi wanayotozwa watanzania!

..asaalamu aleykhum!
 
Duh!
Ama kweli Wabongo ni wadanganyika haswa!
Huyu Mkapa kwa nia gani anaweza kufunga?..afya yake tu akifunga atakwenda na maji maanake lazima maji ya ibilisi asubuhi, mchana na usiku.
Mchonga (marehemu Mwl) kisha mkuta nzwiii hajiwezi tena mapema asubuhi unaambiwa hata miwani alishindwa kuivaa utafikiri ile knock out ya Evander kwa Tyson.. akitafuta mouth piece! Leo akafunge kwa sababu ya fedha ALIZOKOPA na Kuziiba tusamehewe!.
Tutasamehewa kwa dua za wengine waliofunga lakini sio huyu anayeingia chooni na chupa ya whisky!

Duh!!
Nilishawahi kusikia jamaa alikuwa anakwenda sana kunywa pale Golden Tulip alafu alikuwa akishaanza kuwa matingasi basi akianza kucheka lazima watu wakae kimya.
 
Mkapa immunity: The questions arise

THISDAY REPORTER
Dar es Salaam

A fresh declaration by the head of the state-run Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), suggesting that retired presidents are immune from criminal investigation and prosecution, has triggered new questions regarding the legal and constitutional limits of the anti-graft watchdog.

Various lawyers and constitutional experts interviewed by THISDAY were of the general shared opinion that former presidents do not have any legal protection against official investigations into illegal activities they may have committed in their personal capacity while holding the presidency.

The comments come in the wake of remarks by PCCB director general Edward Hosea this week, to the effect that the national constitution contains clauses that restrict the Bureau from investigating allegations of corruption or abuse of office brought against incumbent or former presidents.

Hosea, himself a trained lawyer, told editors and senior journalists from various local media houses that certain clauses and provisions in the constitution make it virtually impossible for the anti-corruption watchdog to investigate ex-heads of state.

But the lawyers interviewed by THISDAY assert that although retired presidents do enjoy some degree of immunity from prosecution for possible offences committed in the course of executing their official duties, they do have to answer for crimes committed in their personal capacities.

''The constitution does indeed protect retired presidents with regard to offences emanating from their official duties,'' confirmed Dr Sengondo Mvungi, a lecturer with the University of Dar es Salaam (UDSM) specialising in constitutional law.

He said ex-presidents enjoyed immunity for such actions as assenting capital punishment or ordering the country to go to war against other countries, ''because all that is part and parcel of their presidential duties.''

''However, presidents are not immune from investigation and prosecution when it comes to theft, corruption or other outright criminal charges,'' said Dr Mvungi, a former dean of the university's Faculty of Law, who was also a presidential candidate in the 2005 general elections through the opposition NCCR-Mageuzi party.

Another seasoned lawyer, Mabere Marando, explained that article 46 of the national constitution cited by the PCCB boss prohibits criminal charges being brought against an incumbent head of state, but says nothing about retired presidents, hence leaving the door open for their possible prosecution.

''Nowhere in the constitution does it state that former presidents are immune from prosecution. In fact, the constitution is quite clear that it is only the incumbent president who cannot be prosecuted,'' Marando told THISDAY.

He criticised the PCCB for being largely ineffective in fighting high-level corruption, saying the Bureau's officials were ''merely looking for lame excuses to not do their job.''

Another prominent legal expert and human rights activist, Tundu Lissu, argued that corruption fighters in countries such as Chile, former Yugoslavia, Liberia and Zambia. ''just to name a few'', have gone ahead and prosecuted their former heads of state for corruption offences, despite having constitutions that guarantee immunity to incumbent presidents same as in Tanzania.

''We cannot allow leaders to go scot-free after plundering public resources on the excuse of presidential immunity,'' said Lissu.

He accused the PCCB of deliberately misinterpreting the presidential immunity clause in the constitution to cover up its own ''inefficiencies and cowardice to investigate big shots.''

Lissu cited corruption and abuse of office allegations levelled against former president Benjamin Mkapa and minister Daniel Yona over the dubious Kiwira coal mine privatisation deal in 2005.

''If PCCB considers Mkapa to be above the law and can't be prosecuted in any court of law with legal jurisdiction in Tanzania �then why don't they investigate Yona instead?'' he queried.


Hosea told local editors recently that investigating and prosecuting a former president in Tanzania requires a complex and protracted legal procedure.

The PCCB boss said only a constitutional amendment could give the anti-corruption watchdog ''powers'' to go after retired presidents.

Last month, Hosea stated on a live talk show programme aired by state television (TvT) and radio (Radio Tanzania) that the PCCB had no plans to investigate any allegations of wrongdoing against Mkapa because that would be going against public statements made by incumbent president Jakaya Kikwete.

Investigations by THISDAY have established that by virtue of their positions in government in 2005, Mr Mkapa (as president) and Yona (as minister for energy and minerals) jointly supervised the Kiwira coal mine 'fast-track' privatisation process, and oversaw the sale of majority shares in the mine to a newly-formed private company in which both of them had extensive, shareholding interests.

Various observers have described the PCCB as being erratic in its operations, and looking increasingly like it lacks the mettle to tackle grand corruption in the country.

At least two of the country's main development partners, including the United States and Britain , have of late publicly voiced - through their ambassadors to Tanzania - criticism of the PCCB's poor performance in fighting grand corruption.
 
he say, they say.. only the courts can determine what level of immunity is extended to former presidents..
 
mi namwona huyu hosea kama kilaza fulani hivi,kama sio hivyo basi ni msanii qualified...kwanza alisema kwenye tvt kuwa hawezi kumchunguza mkapa kwa vile muungwana alishasema "si vizuri kuwasumbua viongozi (kwa maana hiyo hata wezi wa mchana)wastaafu",baadaye anataja tena katiba kuwa inawalinda wastaafu aho dhidi ya uchunguzi na kushtakiwa mahakamani...

now from the above napenda huyu bwana anifafanulie mambo haya:

(a)kwa kusema kuwa katiba inawalinda viongozi wastaafu dhidi ya kushtakiwa je anataka kusema pia kuwa Katiba hiyo hiyo ndo inawaruhusu viongozi hao hao KUIBA,PLUNDERING public resources,ABUSING their offices,kula RUSHWA.etc?

(b)in what is his personal view on that issue ukichukulia kwamba yeye ni "trained lawyer"?

(C)alivyotaka kumchunguza Sumaye kipindi kile alikuwa amepata nguvu na uwezo huo kutoka wapi na kwa nani?kwa maana nyingine sumaye hakuwa miongoni mwa viongozi "wanaolindwa na katiba?"

nina maswali mengi sana kwa huyu mr. hosea maana naona anacofanya ni kusaniisha tu kazi yake,sasa hayo "meno" wanayolilia kila siku ni kwa ajili ya nini na kina nani?

dear friends,my head is spinning fast and I feel like kuzimia kabisa...mtu anaabuse office tena IKULU then he walks FREE!!!!wakati mjomba wangu huko Tunduru alipopewa hela ya kumsaidia kukamilisha siku (sio rushwa)na mgonjwa kwa maana huo mshahara wake haumfifkishi siku tano kwa mwezi,akatangazwa kuwa kalazimisha rushwa kwa mgonjwa na he is now languishing in jail while some guys like mkapa,yona,sumaye,etc are just breathing free air while sitting on bloody money of poor Tanzanians...what a shame to hosea,what a level of hipocrisy!!!...but ultimately God will serve justice to all...
 
Kuwa trained lawyer si tija. Hata Chenge ni trained lawyer lakini mnakumbuka alisema kuwa takrima ni legal? Hawa watu wanatafsiri sheria kukidhi mtazamo wao. Hapa ninakubaliana zaidi na Tindu Lisu.
Kama Zambia waliweza kumshitaki Chiluba, why not us?
 
Jasusi... tatizo ni kuwa bado hatujafikia mahali pa kuamini kuwa Mahakama wajibu wake ni kutafsiri sheria na zaidi ya yote kuonesha kama kitendo fulani kimetendwa kwa mujibu wa sheria. Wakati Karamagi alipojibu hoja za Zitto kuhusu sheria ya Capital allowance na mabadiliko yaliyo"fanyika".. alitumia maneno ya mabadiliko ya sheria ya fedha ya 2001 "yana maana".... kuwa capital allowance ilifutwa na kurudishwa. Niliuliza wakati ule kuwa nani alisema kuwa Waziri ana uwezo wa kutafsiri sheria ina maana gani?

HIlo linatuleta kwenye tatizo la Hosea na wanasheria wengine wanapojaribu kuelezea "maana ya sheria fulani au Katiba fulani". Sisi sote hatuwezi kupinga kuwa Hosea amekosea au sisi tumepatia maana ya tafsiri ya sheria fulani au kipengele fulani cha Katiba. Hivyo unapotokea utata kati ya wahusika mbalimbali kuhusu maana ya kifungu fulani cha sheria au Katiba, watu hawaendi Bungeni kutafuta "maana ya sheria hiyo", watu wanakwenda mahakamani.

Hivyo kifungu cha 46 chote bado hakijawahi kujaribiwa katika Tanzania. Kama unakumbuka hapa Marekani wakati wa kesi ya Rais Bill Clinton mmojawapo ya mijadala mikubwa ilikuwa kama kosa la Clinton lilikuwa "impeachable offense" na kama limefikia kiwango cha "high crimes and misdemenour". Sasa, kama ilivyo Marekani na nchi nyingine zenye demokrasia ya kibunge, ni rahisi zaidi kumshtaki Rais aliyetoka madarakani kuliko aliyeko madarakani na hii ina sababu.

Ukifanya kuwa Rais kumuondoa Rais Madarakani unakaribisha chaos. Hivyo nchi nyingi (ikiwemo Tanzania) zimeweka mchakato wa kuchosha katika kujaribu kumuondoa Rais Madarakani kwa taratibu za Kibunge (impeachment). Siyo vigumu kumuondoa Rais bali pia Majaji wa Mahakama Kuu. Unajua Rais hawezi kukurupuka na kumwachisha jaji wa mahakama kuu kazi hata kama ni yeye alimteua?

Swali ambalo ni la msingi na linahitaji kuamuriwa na mahakama ni wakati gani Rais anatenda kama Rais na ni wakati gani anatenda kama mtu binafsi? Kwa mfano, RAis anatembelea mji fulani na anapoita ripoti ya maendeleo ya mahali hapo, ripoti hiyo haimridhishi na anaanza kumgombeza mtendaji aliyeleta ripoti hiyo. Yule mtendaji anajaribu kuelezea kwa nguvu zote lakini Rais hasira zinazidi kumpanda na kwa jazba anamchapa kibao cha nguvu mama yule, mdomo mama unampasuka na jino moja linang'oka... what do we do to the president.. did he assault the woman in his personal capacity or as a president while conducting his constitutional duties?
 
Back
Top Bottom