Dua
JF-Expert Member
- Nov 14, 2006
- 3,236
- 675
Masatu kula 5,
Hapa JF kuna tradition ya kuangalia upande tu mmoja wa Shilingi...kukusoa tu zaidi!
Hapo nyuma kidogo nilitoa maoni tumwangalie BWM kwa ujumla wake..watu wakasema BWM ni mlafi! Well...wengi hapa JF tumekuwa tunalaumu mno.. yaani ni vigumu kuona chembe ya mazuri ya BWM!
I am yet to be convinced kama BWM alikuwa mbaya kiasi hicho.. so what was the alternative? Mara Mwinyi hakuweza.. BWM alikuwa mlafi.. sasa JK msanii! Well hii atitude saa ingine sii nzuri.
Kwa maoni yangu BWM is a better president than JK.. pamoja na mapungufu yake!
Nabii huwa hasifiwi nyumbani!
Ukishaingia kwenye ufisadi hakuna fisadi nafuu hawa wote ni vibaka sawa na wale wanaoiba kuku pale manzese au sehemu nyingine yoyote. Kuna mwizi nafuu kwa yule aliyeibiwa?